Lowassa hatimaye kujitoa kinyang'anyiro cha urais 2015

Lowassa hatimaye kujitoa kinyang'anyiro cha urais 2015

Hili suara la afya inabidi katiba ijayo itamkwe wazi kuwa kila mgombea anaye taka urais wa nchi hii lazima afanyiwe vipimo vya afya.
 
Hakuna wa kubishana na Lowasa. Wengine wanafosiwa na makundi yenye malengo yao binafsi, japo wao wenyewe wanajijua kua hawana uwezo wa kuongoza.Lowasa juuu!!!! Hilo ndilo jembe la kuendeleza mazuri ya JK

Jk hakuna mazuri aliyoyafanya kwa walala hoi labda kwa wakubwa wenzake na familia zao,ila Lowasa anafaa kuwa kiongozi wa nchi hii.
 
hata chadema walishawahi kumuomba lowassa agombee uraisi kupitia chama chao. ndesamburo anampenda sana lowasa ndio maana anatoa matamko ya kumkampenia EL

wanasema anaumwa ni ugonjwa gani unao msumbua lowasa?
 
Hakuna wa kubishana na Lowasa. Wengine wanafosiwa na makundi yenye malengo yao binafsi, japo wao wenyewe wanajijua kua hawana uwezo wa kuongoza.Lowasa juuu!!!! Hilo ndilo jembe la kuendeleza mazuri ya JK

Kitu pekee kizuri naona toka kwa JK Ni SURA yake pamoja na ule Weupe, basi.
 
Ila huko mitaani ukisikiliza watu kwenye viunga vya magazeti na kahawa huwezi kuamini mawazo yao! Wanasema nchi inahitaji rais mkali na mwenye msimamo. Hii imetokana na mambo mengine kwenda shaghalabaghala na kukosa maamuzi magmu.

Watamtaja Dr. Slaa au Lowasa kwamba ndio wanaweza kuibadilisha hii nchi kwa sababu wana msimamo na wanachukua maaumuzi. kwa dr dr. salaa historia yake ya kupambana na ufisadi inambeba. Watz. kwa sasa wananchukia sana ufisadi.
Kwa Lowasa wanasema japo ni mzee wa dili lakini huwa ana uwezo mkubwa wa kuchukua maamuzi bila kumuangalia mtu usoni. Yaani sio mtu wa kuahirisha kuchukua maamuzi. Ambalo ndilo watz wengi wanataka kwa sasa. pamoja na tuhuma za kuhusika kwenye madili ya richmondi lakini watu wanasema ni mchapakazi na wanaunganissha hilo na damu ya kimasai ambalo pia hilo Slaa analo. Wanasema bora upige dili lakini kazi ionekane sio na sio ucheka cheka tu. Huibi wala hufanyi kazi,.

Watz amini usiamini hawataki tena rais legelege anechekacheka na wahalifu na asiye na msiamo km huyu tuliye naye sasa. ndio maan mtu km membe hawavutii watu wengi anapotajwa kwenye urais kwasabu ana tabia zilezile za kikwete.
Umenena ukweli mtupu. Ndiyo mazungumzo yaliyotawala vijiwe vingi. Watu wamechoka na viongozi wasiokuwa na maamuzi. Ukiangalia kwa mfano CDM kama siyo msimamo wa Dr. Slaa Zitto angekiharibu kile chama moja kwa moja.
 
Hoja uchwara yenu ya afya ya Lowasa haitawafikisha popote.Lowasa hata kama atatuongoza kwa mwezi mmoja tangu kuchaguliwa urais sawa tu.
Kwa CCM hii ya leo iliyooza ambayo hata Mangula anaigwaya haina Presidential material tofauti na lowasa.
Kama kutakuwa na sura mpya ndani ya CCM tofauti na lowasa basi 2015 nchi lazima ibebwe na UKAWA kwa asilimia zaidi ya 90.
 
pole, tumekusoma lakini tumegundua ndio wale wale timu wama, pole sana, piganeni huko huko
 
Uchambuzi mzuri
Analysis ya kipumbavu daima hushabikiwa na wapumbavu... Angalia jinsi ambavyo Kinana na Nchemba walivyo wachambua wagombea na kuwasilisha kwa M/kiti wenu:
SWOT ANALYSIS YA KWA WAGOMBEA WA CCM
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]Mgombea
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Strength
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Weakness
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Opportunity
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Challenge
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Rank
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Lowassa
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Mchapakazi, Ana Maono ya Kimaendeleo, Ana Maamuzi, Ana Kubalika na Rika zote, ni Kiongozi
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Ana Hasira
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Ana Nafasi kubwa ya kuwa Rais atakaewaletea Watanzania Maendeleo ya kweli
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Vatican na nchi Wahisani/Nyang’anyi wanahofu ya kuvunjiwa Mikataba yao kama alivyofanya kwa City Water, KASHWASA na Mapendekezo yake ya kuing’oa Richmond/Dowans/SYMBION
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]1
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Membe
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Amesomea Fitna, Majungu, Anauwezo mkubwa wa kuwashughulikia maadui zake via majungu mfano Lowassa, Mudhihir, Mudhihir Mohamed, Ghasia, Anna Abdallah
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Mpishi wa Majungu na Fitna
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Ana nafasi nzuri ya kuchakachua via TISS na Familia ya Rais, Nchi Nyang’anyi/wahisana wanaona ni afadhali yeye kuliko Lowassa
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Hana Hulka na Sifa za Kiongozi
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]2
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Makamba Jr
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Celebrity
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Muuza Sura
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Ujana Wake Una nafasi ya kumpatia sifa asizostahili, Nchi Wahisani Zimemjenga kwa maslahi yao
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Hana product ya kuwaonyesha Watanzania, so far ameshindwa kuwalazimisha makampuni ya Simu kulipa kodi kiasi cha kuzidiwa hata na Rwanda yenye watu wachache kuliko Bongo
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]3
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Sumaye
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Ana tawalika hivyo wahafidhina wanaweza kumuendesha remotely
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Miaka 10 ya PM alishindwa ku-deliver
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Hayuko kwenye Makundi hasimu hivyo kumfanya neutral na mwepesi kutumika bila madhara hivyo kumfanya Ideal candidate kwa wenye nchi hii
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Mgumu Kuuzika kwa Wananchi ingawa nchi Wahisana wanaona atawafaa kwani itakuwa ni muendelezo wa Sera za Mkapa
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]4
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Wassira
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Mzuri wa Porojo na mikakati ya kuwazima wapinzani hususan CHADEMA
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Kura za akina mama waliomchagua JK atazikosa
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Nchi wahisana wanamkubali kutokana na kukubaliana na projections feki za kiuchumi
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Ngumu kumuuza kwa akina mama, hana product tangible ya kuwaonyesha wananchi
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]5
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Kigwangala
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Ana courage ya kubwabwaja hata kisichokuwa na msingi
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Hawezi kusoma ktkt ya mistari
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Vita na Makundi ndani ya CCM vina kumnadi ingawa hana sifa za kuwa Kiongozi
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Kupenda sifa na kujikweza havina correlation na Urais, ana kazi ya ziada kuwashawishi wananchi napia nchi wahisani
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]6
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Pinda
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Loyal kwa Vatican na mzuri wa kusimamia programu za LIWALO na LIWE by hooks n cooks
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Amezoea kutumwa kutokana na ukweli kuwa amkuwa mhudumu Magogoni toka awamu ya kwanza hivyo kumfanya kuwa mhudumu zaidi ya kuwa kiongozi
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Rahisi kutumika remotely ndani na nje ya nchi …
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Kama PM mpaka sasa ameshindwa kabisa ku-deliver zaidi ya usanii wa machozi na kuwadhibiti mahasimu wake via LIWALO na LIWE program
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]6
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Ngeleja
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Loyal kwa Mabosi zake wa ndani na nje ya nchi
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Hana sifa za Kiongozi
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Kama waziri wa nishati na madini alisaidia sana kuendeleza ukwapuaji via mikataba ya kishenzi – Wahisani wana muamini
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]Kuna hitajika kazi ya Ziada kumnadi kwa wananchi
[/TD]
[TD="width: 103, bgcolor: transparent"]6
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mkuu, usijitie upofu kwa kushindwa kuuona ukweli. Japo sina hakika ya ukweli wa kujitoa kwa Lowasa, maelezo au sababu za kujitoa ni za msingi sana

Safari hii,EL ndio mgombea kwenye chama lenu la Magamba,hakuna wa kumzuia na huo ndio ukweli japo ni mchungu kuumeza.
 
Ni nani ndani ya CCM sio mwizi, sio fisadi aanze kumnyooshea mkono Lowassa. Nyie mnampinga Lowassa sio kwa ufisadi wake bali kwa maslahi yenu binafsi, ndio maana watanganyika tunamuonea HURUMA. Mbona Chabruma anatembelea V8 hamumsemi kuwa fisadi

Kikwete mwenyewe alinywea kwenye ule mkutano wa kuvuana magamba.Ambapo nilitegemea Lowasa angeadhibiwa lkn bada ya Lowasa kujitetea wote wakaufyata mmojawapo akiwa mheshimiwa Rais.Mpaka leo hakuna aliyevuliwa gamba
 
Lowassa hakuna kurudi nyuma wabananishe hao mafisadi wenzako hakuna mwenye ubavu wa kupambana na wewe.
Wewe tunakusubiria huku na ukawa tukusulubu na ccm yako.
CCM kama siyo Lowassa basi hakuna mwingine.
 
Kikwete mwenyewe alinywea kwenye ule mkutano wa kuvuana magamba.Ambapo nilitegemea Lowasa angeadhibiwa lkn bada ya Lowasa kujitetea wote wakaufyata mmojawapo akiwa mheshimiwa Rais.Mpaka leo hakuna aliyevuliwa gamba
Eti ulitegemea unategemea kitu amabcho kiko kichwani kwa mwanaume mwenzako unajua yeye anawaza nini we kitasa kweli.
 
Lowassa hakuna kurudi nyuma wabananishe hao mafisadi mwenzako hakuna mwenye ubavu wa kupambana na wewe.
Wewe tunakusubiria huku na ukawa tukusulubu na ccm yako.
CCM kama siyo Lowassa basi hakuna mwingine.
Imani ya barafu kulikabili jua unadhani nini kitatokea.
 
Back
Top Bottom