acha mas ala wewe. Nchi hii sio shamba la bibi. 2015 watanzania twamuhitaji prof. Anna tibaijuka kuikoa nchi hii kwa ufisadi na umasikni. Tusifanye ushabiki tuu wa kisiasaGREAT THINKERS,
I have been RELIABLY informed nammoja wa watu walio ndani kabisa ya TEAM LOWASA kwamba Mh. EDWARD NGOYAI LOWASAaliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania ambaye alisifika kwa uchapa kazi na utendajibora wa kazi ulioambatana na utoaji wa maamuzi magumu mara moja na bila kusitana hivyo kujitofautisha na 99% ya Viongozi wa Tanzania ambao wengi wao kazi yaoni kulialia, kuchekacheka na kuwa waoga wa kutoa maamuzi magumu, muda wowoteatatangaza kujitoa kwenye kinyanganyiro cha kuelekea Magogoni.
Hii ni kutokanana Kikao cha watu wa ndani kabisa wa TEAM LOWASA ambacho kilikaa mjini Idodomiana kutafakari kwa kina hatma ya mgombea huyo katika Safari yake ya matumaini.Sababu zilizopelekeaTEAM LOWASA kufikiauamuzi huo mgumu ni hizi zifuatazo:
TEAM LOWASA katika uchaguziuliopita wa CCM kule Idodomia ilifanikiwa kuweka Watu wake kwenye NEC kwa 65%ya Wajumbe wa NEC. Ikumbukwe kwamba NEC ndicho chombo chenye mamlaka ya kuyapokea majina 5 yaliyowasilishwa mbele yakena Kamati Kuu (CC) na kisha kuyapigia kura na kuyapeleka majina 3 kwenyeMkutano Mkuu.
- KIGINGICHA KAMATI KUU (CC)
TEAM LOWASA inaamini NEC haitakuwa kikwazo kwake na hata MkutanoMkuu nako hakutakuwa na tatizo kwani 85% ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu ni NJAAKALI. Tatizo kubwa kwa LOWASA ni CC. Hii CC mpya ina wajumbe wapya walioshindaambao imebainika wengi wao hawampendi kabisa LOWASA mfano akina Jerry Slaa etc na wamekuwa wakielezea hivyo hadharani bila woga wala kumungunya maneno.
Aidha,kana kwamba hiyo haitoshi, Wajumbe wengine wengi wa CC ambao waliteuliwa naMwenyekiti wa CCM Mh JK nao pia ni ANTI-LOWASA. Juhudi za chinichini zakuwaweka sawa wajumbe hao hadi sasa zimekwama. Ni kutokana na hali hii, TEAMLOWASA imeoana kwamba kupenya kwenye CC itakuwa kazi kubwa mno
2. KIGINGICHA SECRETARIAT YA MAADILI
TEAM LOWASA inaamini kwamba 98%ya Wajumbe wa Secretariat ya Maadili ya CCM imejaa wajumbe ambao niANTI-LOWASA. TEAM LOWASA inaamini hata kufungiwa kwa wale waTanzaniawalioonyesha nia ya kutaka Urais ni danganya toto kwani mlengwa alikuwa niLOWASA kutokana na michango yake lukuki aliyokuwa akiitoa kwa jamii na kasi yakimbunga aliyokuwa akienda nayo iliyokuwa ikiwatimulia vumbi vibaya sana wagombeawengine.
Inaaminika LOWASA angepewa adhabu yeye peke yake ingeonekana SECRETARIATwako biased hivyo ikaamuliwa wapewe adhabu wote ndio maana watu waliokuwahawana hata kosa moja mfano Mh. Fredrick Sumaye walilalamikia sana adhabu hiyo.
3. FAILILA LOWASA
TEAM LOWASSA inaamini kwamba faili la Lowasa litakuwa limechafuka sana kutokana na tuhuma mbalimbali ambazozimeenezwa dhidi yake. Aidha, TEAM LOWASA imegundua kwamba mgombea waoanafuatiliwa kwa karibu na kuna watu wamepandikizwa kwenye team yao ambaohurekodi matukio yote machafu ya TEAM LOWASA kwa lengo la kuyapeleka Kamati yaMaadili ili watakapokuwa waoa marks kwa kila mgombe na kwa jina la LOWASA wawena ushahidi wa kutosha ili kusiwe na malalamiko toka kundi la TEAM LOWASAwatakapomchinjia baharini.
Kutokana na jambo hili, wajumbe wa TEAM LOWASAwalizozana mno kwamba miongoni mwao kuna Mamluki na kukatokea na mtiti mkubwabaina yao.
4. MWALIMUNYERERE
Mwaka 1995 Mwalimu Nyerere bilakumungunya maneno aliasema wazi kwamba LOWASA kijana mdogo wa miaka 42 alikuwani FISADI hivyo hafai kabisa kuwa kiongozi. TEAM LOWASA inaona kwamba minutesza Kikao hicho cha Kamati Kuu bado zipo na upo uwezekano mkubwa zikatumiwa naCC kumngoa kama ilivyofanyika kwa Mh. John Malecela ambaye nae Mwalimu alisemahafai kuwa Kiongozi.
5. UGUMUWA KUUNGWA MKONO NA VIONGOZI WASTAAFU
TEAM LOWASA wamepata shida sanakuweza kuwavuta Viongozi wastaafu wa ngazi za juu wa CCM ili wawe upande waokutokana na sifa ya Ufisadi ya mgombea wao, ingawa viongozi hao walisema LOWASAanaweza kugombea kama mwanachama yeyote wa CCM lakini hawakuonyesha kumuungamkono kwa dhati kwa maana ya kuwa tayari kumfanyia kampeni. Viongozi haowanaona kwamba mtu kama LOWASA akiwa ndiye anaeibeba bendera ya CCM basi chamakitakuwa kama kinakubaliana na maovu ya LOWASA.
TEAM LOWASA inaona mgombea waoanaonewa tu kwa tuhuma za UFISADI ambazo hakuna mahakama iliyozithibitisha.TEAM LOWASA imeenda mbali zaidi na kusema iwapo CCM ilisema ANDREW CHENGE naeni FISADI mbona kapewa nafasi nyeti mfano CHENGE ni MWENYEKITI wa Kamati nyetiya Uchumi ya Bunge na pia ni MWENYEKITI wa Kamati nyeti ya Uandishi wa KATIBAmpya sasa iweje LOWASA nae asipewe madaraka?
6. AFYAYA LOWASA
TEAM LOWASA ililijadili jambohili kwa kina sana na kulikuwa na ubishanaji wa hali ya juu. Ilifikia mahali madaktarimbalimbali watoe expert opinion kuhusu afya ya LOWASA. Aidha, experts haowaliulizwa iwapo LOWASA angweza kuhimili mikikimikiki ya kuzunguka nchi nzimakutafuta kura na akifanikiwa kuvuka kikwazo hicho kama ataweza kuiongozaTanzania hadi 2025.
Suala hili liliumiza mno vichwa vya TEAM LOWASA lakiniLOWASA mwenyewe aliwaambia kwamba yeye yuko Gado kama chuma cha pua.Baada ya kuyatafakali mambo yotehaya kwa kina sana, TEAM LOWASA ambayo ilkuwa imefika mbali sana katika kumuuzamgombea wao, kwa shingo upande ikamshauri aite waandishi wa habari ili atangazekwamba yeye akuwemo kwenye kinyanganyiro cha Urais. Hata hivyo, LOWASA alieonekanakutofurahia uamuzi huo kutokana na muda na hela zote alizotumia hadi sasakuusaka Urais na hivyo aliwambia TEAM LOWASA kwamba ataenda kuongea na mkeweMama Regina Lowasa na wanawe kisha atakutana na TEAM LOWASA.
HIVYO, GREAT THINKERS STAYTUNED!!!
Tangazo la kujitoa linategemewa muda wowote wiki hii
lowasa HAWEZI KUSHIKA KIKOMBE KWA DK 3
Majanga mpeni Dr slaaaaaaaaaaaaaa
Hatuwezi kumchagua mtu yeyote kutoka ccm hatakama kazaliwa leoGREAT THINKERS,

Kwa sasa Ccm hawana uwezo wa kutupa raisi mwenye dira ya kulivusha Taifa kutoka kwenye umasikini uliotopea.Huu ni mwisho wa Chama cha mapinduzi kukaa madarakani,kinahitaji kupumzika na kufanya chama reformation!!! la sivyo huko tuendako ccm yaweza kukosa hata mkuu wa wilaya mwenye sifa stahiki!!!!
acha mas ala wewe. Nchi hii sio shamba la bibi. 2015 watanzania twamuhitaji prof. Anna tibaijuka kuikoa nchi hii kwa ufisadi na umasikni. Tusifanye ushabiki tuu wa kisiasa