mjepo
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 4,913
- 919
Tanzania ipi mkuu usituletee uchafu mkuu.Lowasa ni rais wa ajae wa Tanzania.. Hizo propaganda zenu za kitoto haziwezi kumzuia kamwe
Tanzania ipi mkuu usituletee uchafu mkuu.Lowasa ni rais wa ajae wa Tanzania.. Hizo propaganda zenu za kitoto haziwezi kumzuia kamwe
Nimeamua kuachana na siasa nakwenda kuwa mwalimu wa kufundisha chuo cha uchumi.
Tanzania ipi mkuu usituletee uchafu mkuu.
Mkuu, yawezekana pia Uzi huu umeandaliwa na Team Lowasa ili kuwaghilibu wapinzani wake na wale wanaoanika maovu yake anayofanya usiku na mchana hususan matumizi ya fedha za ufisadi kifisadiKatika Team Lowasa siamini kama kuna mtu ambaye alikuwa na uthuubutu wa kutamka kwamba Lowasa aongee na waandishi wa habari kutangaza kwamba hatagombea.
Pia mimi naamini kwamba katika team yoyote lazima kuwe na reserve, mbona hiyo team Lowasa haijasema ni nani atachukua nafasi ya Lowasa? Au ndio team inasambaratika moja kwa moja?
Una kazi kweli Mkuu. Pole sanaJamhuri ya muungano wa tanzania
Ni kweli Mkuu. Hakuna ushahidi kwenye uzu huu. Ila pia tusiupuuze. Yote yanawezekanauhalisia huambatana na ushahidi wa wazi. lakini hopo kwenye post sijaona hilo.
Lowasa ndio kiongozi pekee anaefaa kuiongoza Tanzania kwa sasa
Mkuu, usijitie upofu kwa kushindwa kuuona ukweli. Japo sina hakika ya ukweli wa kujitoa kwa Lowasa, maelezo au sababu za kujitoa ni za msingi sanaLowasa ni rais wa ajae wa Tanzania.. Hizo propaganda zenu za kitoto haziwezi kumzuia kamwe
Mkuu, yawezekana pia Uzi huu umeandaliwa na Team Lowasa ili kuwaghilibu wapinzani wake na wale wanaoanika maovu yake anayofanya usiku na mchana hususan matumizi ya fedha za ufisadi kifisadi
Mkuu, kumbe na wewe ni ukoo wa Mafisadi? Poleni sana. Mmefanikiwa kuiondoa TAKUKURU kwenye Katiba Mpya. Ila kazi mnayohakuna Wa kumzuia mzee wetu lowasa kuwa raisi ajaye, watanzania wanampenda sana
Mkuu, usijitie upofu kwa kushindwa kuuona ukweli. Japo sina hakika ya ukweli wa kujitoa kwa Lowasa, maelezo au sababu za kujitoa ni za msingi sana
hakuna Wa kumzuia mzee wetu lowasa kuwa raisi ajaye, watanzania wanampenda sana
Lowassa ajitoe kugombea uraisi kwa kumuogopa JERRY SILAA,,, WTF THREAD...
Lowassa ameanza uanachama toka TANU Leo hii ajiangushe mapema kwa kuogopa chui wa kuchora. Ama kweli Joka la Mdimu anajitekenya na kucheka mwenyewe. Alhaji Abdulben Membe kamwe hatakuwa raisi wa Tz
Mmekura ya mbuzi kamwe hamtoki hata iweje hakuna fisadi kuwa kiongozi wa tanzania jueni hivyo.Taifa la Tanzania linamsubiri kwa hamu rais mpya mheshimiwa Edward Lowasa
Kwa kawaida kuna mchakato wa ndani na nje ya chama kabla ya kumpata Rais, huyo wa kwako amepitia mchakato gani?Taka usitake lowasa ndio rais ajae wa Tanzania
TEAM LOWASA katika uchaguziuliopita wa CCM kule Idodomia ilifanikiwa kuweka Watu wake kwenye NEC kwa 65%ya Wajumbe wa NEC. Ikumbukwe kwamba NEC ndicho chombo chenye mamlaka ya kuyapokea majina 5 yaliyowasilishwa mbele yakena Kamati Kuu (CC) na kisha kuyapigia kura na kuyapeleka majina 3 kwenyeMkutano Mkuu. TEAM LOWASA inaamini NEC haitakuwa kikwazo kwake na hata MkutanoMkuu nako hakutakuwa na tatizo kwani 85% ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu ni NJAAKALI. Tatizo kubwa kwa LOWASA ni CC. Hii CC mpya ina wajumbe wapya walioshindaambao imebainika wengi wao hawampendi kabisa LOWASA mfano akina Jerry Slaa etc na wamekuwa wakielezea hivyo hadharani bila woga wala kumungunya maneno.
- KIGINGICHA KAMATI KUU (CC)
Aidha,kana kwamba hiyo haitoshi, Wajumbe wengine wengi wa CC ambao waliteuliwa naMwenyekiti wa CCM Mh JK nao pia ni ANTI-LOWASA. Juhudi za chinichini zakuwaweka sawa wajumbe hao hadi sasa zimekwama. Ni kutokana na hali hii, TEAMLOWASA imeoana kwamba kupenya kwenye CC itakuwa kazi kubwa mno
!