OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Lowassa hana mpinzani ,ndani ya ccm na nje ya ccm
nipe certificate of evidence kuthibitisha kuwa lowassa ni fisadi. Don't work on rumours and speculation.
Kaka NJIA KUU
Mbona IPENZI CHENU LO-RUSHWA akipewa za uoso mnakimbilia KUMLAUMU MEMBE?? Kweye hiyo habari hapo juu kuajina la MEMBE? WHY ALWAYS HIM?
Mkuu, yawezekana pia Uzi huu umeandaliwa na Team Lowasa ili kuwaghilibu wapinzani wake na wale wanaoanika maovu yake anayofanya usiku na mchana hususan matumizi ya fedha za ufisadi kifisadi
Mkuu galiya, japo hili ni bonge la promo, lakini kutaja jina la mtu mmoja more than 40 times kwenye post moja ni madness!.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha! Jiandae kufa kwa presha sasa anakuja mtu ambaye hukuwahi kumdhani wala siyo membe kama wewe unavyodhani siku zote atakuja mtu mwingine kabisa,kikubwa usibadili aid zako uwe nazo zilezile mnili funza na laki si pesa ili baada ya matokeo tukukumbushe.
Uchambuzi mzuri
Kwa post zako unajidhihirisha kwamba thread umeitunga kwa maslahi unayoyajua wewe mwenyewe na waliokutuma,hongera kwa utunziLowasa awe rais???? Labda rais wa wafungwa achukue cheo cha nguza viking. Lowasa kwake ni segerea au keko 2015