Lowassa hatimaye kujitoa kinyang'anyiro cha urais 2015

Lowassa hatimaye kujitoa kinyang'anyiro cha urais 2015

Dume la panya hufa likipanda
Men always strugles to the last tone, it is you who says that he can't surender easily. Don cheat tanzanian halaf kabla huu haujaisha tupia kitu sauti ya nyerere tumsikilize usitudanganye hapa. Unalipwa wewe fisadi tu hauna jipya, unakimbia kimbia tu na taarifa za kulishwa hauna msimamo. Kalale huko
 
Mbona tunaambiwa wewe ni mwenyekiti mteule wa ile Alliance for Cowards and Traitors ACT,,, aka Wavua migebuka

Watu wanafikiri muujiza ni mpaka kutembea juu ya maji kwa miguu peku kama alivyo Yesu. Hiki kirefu cha hili jina kina sbabihiana fika na tabia mienendo ya wenye chama. Hasa huyo wa mgebuka. Mungu akisema sasa basi anakuumbua hata ufanyeje huponi.
 
Hivi mtu unaweza kutangaza kujitoa kabla ya kutangaza kuingia!!
 
Inawezekana kabisa hii habari ni kweli tupu, lakini kutokana na huyu jamaa kuutaka Urais kwa udi na uvumba kwa sasa nitasubiri mpaka nimsikie mwenyewe akitamka hili au mkewe kwamba Lowassa hatakuwemo katika vita vya kuwania nafasi ya kuwa mgombea wa MACCM na hatimaye kupambana na wagombea wa upinzani katika safari ya kuelekea Ikulu.

 
Ndio mnavyojidanganya?

Ninasikitika sana kuwa hivyo ndivyo itakavyokuwa. Usidhani Pinda alipenda kuendelea na siasa. Zilishamchosa kabisa haswa akiangalia matendo ya wanaoitwa viongozi anaumia moyo na inasemekana kuna kipindi alitaka kuandika barua ya kujiuzulu ila akabembelezwa sana. Unajua huyu bwana amekuwepo kwenye system muda mrefu na amekuwa na marehemu Nyerere na anazielewa codes za kiongozi. Kama kapotoka ni kuanzia alipoteuliwa nafasi aliyo nayo. Nina imani hata kutangaza nia ameshawishiwa na safu ya uongozi wa juu ili awalinde wao na mali zao watakapotoka madarakani. Huyo wa visiwani kama sio raisi alie madarakani basi ni Karume sr. Majina ya kina Migiro na mwenzie hiyo ni ku-balance gender ila hawafiki mbali. Mbinu nyingi zimeshafanyika na zitaonekana wazi wazi kuanzia mwakani za kumchafua Lowasa eti anakosa sifa kwani ni fisadi. Ufisadi wake umethibitishwa na kikao gani au mahakama ipi?Nipe jina la kiongozi yeyote wa ccm aliye madarakani au mstaafu ambae ni msafi na hana kashfa yoyote.Kwani kwenye vikao vya juu vya chama mbona Lowasa aliwaeleza wajumbe ni kipi angeweza kukifanya yeye kama waziri mkuu kisiwe na kibali cha mkuu wake? Mbona mapema kabisa inasemekana baada ya kugundua richmond wenyewe hawakuwa na uwezo alimwarifu mkuu wake kuwa anawatimua na kuambiwa amsubiri hadi arudi toka safari? Nini kilichoendelea? Kwa nini aonekane ni fisadi kuliko wengine? Hivi sio bora fisadi anaefanya kazi inavyostahili, kutoa maamuzi,majibu na miongozo,kukuza uchumi wa nchi na wananchi na kuisimamia nchi yake kwa kila jambo kuliko kuwa na raisi fisadi na asiejiweza kwa maendeleo ya nchi yake. Ccm mkifanya kosa la kumhujumu Lowasa kwa unafiki na upendeleo wenu athari yake kwenye chama chenu mtaijutia kwa kipindi kirefu na mtaipa upenyo ukawa kushika hatamu za nchi. Mwisho mleta uzi ni mamluki tu katumwa kupima upepo kwenye kambi ya Lowasa. Wana jamvi wala msielezwe lolote eti afya ya mheshimiwa ni ya mgogoro.Lowasa ni mzima kuliko mnavoweza kuaminishwa. Mmasai jasiri hakati tamaa wala hashindwi kumaliza safari. Mamluki wamekosa sera wanaeneza eti Lowasa anagawa laki mbili mbili kwa wajumbe wote wa mkutano mkuu. Lowasa ni msomi mzuri nchini hapa na kampeni anazijua miaka mingi. Hawezi kugawa hela zote hizo na mchakato haujaanza. Anakubalika kwa wajumbe wote kwanini agawe hela? KAMBI FANYENI KAZI KWA MSHIKAMANO SIJAONA KUNDI TISHIO.
 
Kimbunga wanaonaje Team EL wakimweka reserve Maghufuli asimame badala yake!!
Of cause hawezi mpeleka lupango akimpa hiyo opotunity!!
 
Last edited by a moderator:
Mnyisanzu "Nipe certificate of evidence kuthibitisha kuwa Lowassa ni fisadi. Don't work on rumours and speculation." Supported. Narudia tena. Richmond in wenyewe. Tajeni ufisai wa Lowassa. Full stop!

Bwana Japhet ndani ya ccm hayupo anaeweza kuuthibitisha ufisadi wa Lowasa wala udhaifu wa afya yake kama asivyokuwepo yeyote kwenye chama hicho anaeweza kusimama na kueleza usafi wake mwenyewe. Jembe ni jembe tu haliwezi kuwa koleo.
 
Mkuu, kwani nani kakuambia kuwa Membe ndo mpinzani wa Lowasa?

Ajabu kweli. Mkuu Hao wafuasi wa mamvi wanachachawa tu, Membe anaingiaje hapa.Yaani off point. Wao wanaamini fisadi ataingia ikulu tutake tusitake. Hawana sababu ya kuhangahika na Membe wasubiri muda wampigie kura bosi wampeleke ikulu yao ya mafisadi ila Ikulu ya Magogoni wataiona kw mbali wakiwa wanaenda Kigamboni
 
Mpaka kufikia mwakani tutakuwa tumesikia mengi. Maana hii vita ya makundi hasimu ndani ya CCM inatisha.Yaani ni kuchafuana kwa kwenda mbele...! Leo kundi la ANT-LOWASA limekuja na propaganda hii juu ya LOWASA.Mda si mrefu ANT-MEMBE nao watakuja na Propaganda yao...!Utasikia MEMBE KWISHA KAZI....!PESA ZA GADAFI ZAWA MFUPA ULIOMSHINDA FISI...IKULU KWAKE NI NDOTO ZA RINACHA....Kazi kwenu sisi tunawachora tu....Hapo bado ANT-TYSON nao watakuja na lao...Utasikia UTATA WA SURA WAMKOSESHA USINGIZI MGOMBEA URAISI....! WAPAMBE WAMSHAURI AKAGOMBEE KULE GOMBE...!tehe tehe tehe...! kazi kweli kweli...!
 
"Kama wanasema Lowassa
ni mzima, naomba akakimbie
uwanja wa Taifa azunguke
hata mara moja kama
hataishia ICU" DIALO (PHD)
 
GREAT THINKERS,
I have been RELIABLY informed nammoja wa watu walio ndani kabisa ya TEAM LOWASA kwamba Mh. EDWARD NGOYAI LOWASAaliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania ambaye alisifika kwa uchapa kazi na utendajibora wa kazi ulioambatana na utoaji wa maamuzi magumu mara moja na bila kusitana hivyo kujitofautisha na 99% ya Viongozi wa Tanzania ambao wengi wao kazi yaoni kulialia, kuchekacheka na kuwa waoga wa kutoa maamuzi magumu, muda wowoteatatangaza kujitoa kwenye kinyanganyiro cha kuelekea Magogoni.

Hii ni kutokanana Kikao cha watu wa ndani kabisa wa TEAM LOWASA ambacho kilikaa mjini Idodomiana kutafakari kwa kina hatma ya mgombea huyo katika Safari yake ya matumaini.Sababu zilizopelekeaTEAM LOWASA
kufikiauamuzi huo mgumu ni hizi zifuatazo:



  1. KIGINGICHA KAMATI KUU (CC)
TEAM LOWASA katika uchaguziuliopita wa CCM kule Idodomia ilifanikiwa kuweka “Watu wake” kwenye NEC kwa 65%ya Wajumbe wa NEC. Ikumbukwe kwamba NEC ndicho chombo chenye mamlaka ya kuyapokea majina 5 yaliyowasilishwa mbele yakena Kamati Kuu (CC) na kisha kuyapigia kura na kuyapeleka majina 3 kwenyeMkutano Mkuu.

TEAM LOWASA inaamini NEC haitakuwa kikwazo kwake na hata MkutanoMkuu nako hakutakuwa na tatizo kwani 85% ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu ni NJAAKALI. Tatizo kubwa kwa LOWASA ni CC. Hii CC mpya ina wajumbe wapya walioshindaambao imebainika wengi wao hawampendi kabisa LOWASA mfano akina Jerry Slaa etc na wamekuwa wakielezea hivyo hadharani bila woga wala kumungunya maneno.

Aidha,kana kwamba hiyo haitoshi, Wajumbe wengine wengi wa CC ambao waliteuliwa naMwenyekiti wa CCM Mh JK nao pia ni ANTI-LOWASA. Juhudi za chinichini zakuwaweka sawa wajumbe hao hadi sasa zimekwama. Ni kutokana na hali hii, TEAMLOWASA imeoana kwamba kupenya kwenye CC itakuwa kazi kubwa mno

2. KIGINGICHA SECRETARIAT YA MAADILI
TEAM LOWASA inaamini kwamba 98%ya Wajumbe wa Secretariat ya Maadili ya CCM imejaa wajumbe ambao niANTI-LOWASA. TEAM LOWASA inaamini hata kufungiwa kwa wale waTanzaniawalioonyesha nia ya kutaka Urais ni danganya toto kwani mlengwa alikuwa niLOWASA kutokana na michango yake lukuki aliyokuwa akiitoa kwa jamii na kasi yakimbunga aliyokuwa akienda nayo iliyokuwa ikiwatimulia vumbi vibaya sana wagombeawengine.

Inaaminika LOWASA angepewa adhabu yeye peke yake ingeonekana SECRETARIATwako biased hivyo ikaamuliwa wapewe adhabu wote ndio maana watu waliokuwahawana hata kosa moja mfano Mh. Fredrick Sumaye walilalamikia sana adhabu hiyo.

3. FAILILA LOWASA
TEAM LOWASSA inaamini kwamba faili la Lowasa litakuwa limechafuka sana kutokana na tuhuma mbalimbali ambazozimeenezwa dhidi yake. Aidha, TEAM LOWASA imegundua kwamba mgombea waoanafuatiliwa kwa karibu na kuna watu wamepandikizwa kwenye team yao ambaohurekodi matukio yote machafu ya TEAM LOWASA kwa lengo la kuyapeleka Kamati yaMaadili ili watakapokuwa waoa marks kwa kila mgombe na kwa jina la LOWASA wawena ushahidi wa kutosha ili kusiwe na malalamiko toka kundi la TEAM LOWASAwatakapomchinjia baharini.

Kutokana na jambo hili, wajumbe wa TEAM LOWASAwalizozana mno kwamba miongoni mwao kuna Mamluki na kukatokea na mtiti mkubwabaina yao.

4. MWALIMUNYERERE
Mwaka 1995 Mwalimu Nyerere bilakumungunya maneno aliasema wazi kwamba LOWASA kijana mdogo wa miaka 42 alikuwani FISADI hivyo hafai kabisa kuwa kiongozi. TEAM LOWASA inaona kwamba minutesza Kikao hicho cha Kamati Kuu bado zipo na upo uwezekano mkubwa zikatumiwa naCC kumngoa kama ilivyofanyika kwa Mh. John Malecela ambaye nae Mwalimu alisemahafai kuwa Kiongozi.

5. UGUMUWA KUUNGWA MKONO NA VIONGOZI WASTAAFU
TEAM LOWASA wamepata shida sanakuweza kuwavuta Viongozi wastaafu wa ngazi za juu wa CCM ili wawe upande waokutokana na sifa ya Ufisadi ya mgombea wao, ingawa viongozi hao walisema LOWASAanaweza kugombea kama mwanachama yeyote wa CCM lakini hawakuonyesha kumuungamkono kwa dhati kwa maana ya kuwa tayari kumfanyia kampeni. Viongozi haowanaona kwamba mtu kama LOWASA akiwa ndiye anaeibeba bendera ya CCM basi chamakitakuwa kama kinakubaliana na maovu ya LOWASA.

TEAM LOWASA inaona mgombea waoanaonewa tu kwa tuhuma za UFISADI ambazo hakuna mahakama iliyozithibitisha.TEAM LOWASA imeenda mbali zaidi na kusema iwapo CCM ilisema ANDREW CHENGE naeni FISADI mbona kapewa nafasi nyeti mfano CHENGE ni MWENYEKITI wa Kamati nyetiya Uchumi ya Bunge na pia ni MWENYEKITI wa Kamati nyeti ya Uandishi wa KATIBAmpya sasa iweje LOWASA nae asipewe madaraka?

6. AFYAYA LOWASA
TEAM LOWASA ililijadili jambohili kwa kina sana na kulikuwa na ubishanaji wa hali ya juu. Ilifikia mahali madaktarimbalimbali watoe expert opinion kuhusu afya ya LOWASA. Aidha, experts haowaliulizwa iwapo LOWASA angweza kuhimili mikikimikiki ya kuzunguka nchi nzimakutafuta kura na akifanikiwa kuvuka kikwazo hicho kama ataweza kuiongozaTanzania hadi 2025.

Suala hili liliumiza mno vichwa vya TEAM LOWASA lakiniLOWASA mwenyewe aliwaambia kwamba yeye yuko Gado kama chuma cha pua.
Baada ya kuyatafakali mambo yotehaya kwa kina sana, TEAM LOWASA ambayo ilkuwa imefika mbali sana katika kumuuzamgombea wao, kwa shingo upande ikamshauri aite waandishi wa habari ili atangazekwamba yeye akuwemo kwenye kinyanganyiro cha Urais. Hata hivyo, LOWASA alieonekanakutofurahia uamuzi huo kutokana na muda na hela zote alizotumia hadi sasakuusaka Urais na hivyo aliwambia TEAM LOWASA kwamba ataenda kuongea na mkeweMama Regina Lowasa na wanawe kisha atakutana na TEAM LOWASA.

HIVYO, GREAT THINKERS
STAYTUNED!!!

Hii ni minutes ya kikao chako na familia yako na wala sip minutes ya team LOWASA, CCM lzm itoe mgombea anayekubalika na kuhitajiwa kwa wananchi, LOWASA ndio chaguo letu watanzania, fikisha huu ujumbe kwa huyo jerry slaa wako na yeyote aliyekutuma
 
"Kama wanasema Lowassa
ni mzima, naomba akakimbie
uwanja wa Taifa azunguke
hata mara moja kama
hataishia ICU" DIALO (PHD)

Diallo ni mwehu ndio maana wana mwanza wakampiga chini ubunge
 
Mpaka kufikia mwakani tutakuwa tumesikia mengi. Maana hii vita ya makundi hasimu ndani ya CCM inatisha.Yaani ni kuchafuana kwa kwenda mbele...! Leo kundi la ANT-LOWASA limekuja na propaganda hii juu ya LOWASA.Mda si mrefu ANT-MEMBE nao watakuja na Propaganda yao...!Utasikia MEMBE KWISHA KAZI....!PESA ZA GADAFI ZAWA MFUPA ULIOMSHINDA FISI...IKULU KWAKE NI NDOTO ZA RINACHA....Kazi kwenu sisi tunawachora tu....
 
Nyie mnataka wapambe wafe kwa njaa,wapambe hawatakubali Mamvi ajitoe,ajitoe?wao wakale wapi.
 
Ajitoe? Haiingii akilini. Kwa Lowassa, suala la kugombea Urais, ni suala la kufa na kupona!!!!!!
 
Back
Top Bottom