John Okello
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 459
- 207
Awali ya yote napenda kukueleza mambo makuu kadhaa ambayo unashindwa kuyajua na kamwe huto yajua kwa sababu hata utayari wa kuyajua hauna.
1. Safari ya matumaini
maana ya safari ya matumaini hujaielewa kwani Lowassa hajawahi tamka kinyume na safari ya matumaini, safari hii ina elezea kwa kina mahitaji ya watanzania kama upatikanaji wa huduma ya afya bora, elimu kwa watanzania wote , uboreshaji na ujengaji wa miundo mbinu, kilimo chenye tija na mahitaji mengine muhimu kwa watanzania na si kugombea uraisi kwa hiyo jaribu kuwa tayari wa kujifunza na si kubeba yale bosi aliyo kutuma.. kama safari ya matumaini itabidi Lowassa aombe ridhaa kwa watanzania ili aweze kukamilisha basi watanzani hatuto sita kumueleza na kumshawishi afanye hivyo.
2. Hakuna kiginngi cha kamati kuu
Pia unapaswa kufaahamu ccm ni taasisi tena inayoongozwa na demokrasia haupaswi kujipa matumaini sawa na bosi aliokupa uje kuyasema bali fikiri pia katika upande hasi na chanya wa mawazo hayo, hivyo demokrasia ya chama itaamua tuu pale lowassa atakapo amua kugombea ila kwa sasa anapambana na dhiki na matatatizo ya watanzaia kwa ujumla na si mgombea uraisi na watanzania tukiamua afanye hivyo tutaamini hato sita kufanya.
3. Mwl. Nyerere hakuwahi kumkataa Lowassa
yapaswa wewe kujua kwani ndani ya chama cha mapinduzi kuna malezi ya viongozi tangu mwaka 1977 mwl. aliwalea Lowassa ,Jakaya na wengine kama kina chiligati na aliwaamini na ndio maana hata jakaya yalimkuta haya haya unayoyazungumza , jua kuwa nyerer katika watu alio wahi kuwaamini kupita maelezo ni jakaya na Lowassa kwani walikua wasikivu hadi kuwatuma katika kumwakilisha yeye mwenyewe katika taswira za kimataifa pitia historia si kuubana ubongo wako kufikiri katika nafasi hasi na chanya.
4. Lowassa si mgonjwa
hakuna ukweli wowote katika hilo labda lowassa ashikwe na malaria asubuhi ya leo maana ndio ugonjwa unaotusumbua sub sahara lakini jua fika huyu kiongozi ana afya njema na ni mzima tayari ameaanza safari ya ukombozi wa maisha ya mtanzania.
naomba waza tena galiya

Last edited by a moderator: