Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
Ninachojua Kanisa lina utaratibu wa kualika viongozi wa serikali katika matukio kama haya wale ambao kwa mujibu wa majukumu yao wanapaswa kuwepo nafasi zinapowaruhusu. Viongozi hao ni pamoja na Mkuu wa nchi, Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa wilaya ambao tukio lipo ndani ya eneo lao kikazi. Haya ya Lowez ni ya kujipelekapeleka ili kutafuta mwanya wa kuungwa mkono kuwania kupenya nafasi ya kugombea kuiangia Ikulu.