Lowassa hajaalikwa kwenye harambee yetu ~ Kanisa Katoliki

Ninashangaa mara nyingi tunaojiita great thinkers tunavyoshindwa kujua vitu vidogo.Askofu msaidizi alisema kanisa katoliki haliwaaliki wanasiasa kwenye shughuli za moja kwa moja zinazolihusu juu ya mambo ya kanisa per se kama mwanasiasa awe mgeni rasmi kwenye kuweka askofu,upadrisho,utoaji sakramenti,au kama hili la kuanzisha jimbo na kutawadha askofu.mgeni rasmi hawezi kuwa mlay,awe lowasa,sita membe mkapa hata mwl nyerere angekuwepo asingealikwa mgeni rasmi.ila shughuli za kanisa zisizohusu moja kwa moja its divine constitution kama ujenzi wa shule,hospitali,na shughuli nyingne za maendeleo hapo wanaweza kumwalika yeyote hata mwislamu kuwa mgeni rasmi.
 
you do not need to have it.
Ukitaka kujua njoo hapa Arusha, pale Ngaramtoni kuna Nyumba inaitwa Masonic Lodge, mara kwa mara wanakutana pale, Rais wetu Mtarajiwa EDO ni muumini mzuri wa jumba lile pamoja na Jk na the so called Ngurumo ya upako

Panaitwa Duka la Njano; jirani na kituo cha Maili Sita
 
Hana jeuri ya kuligawa kanisa katoliki huyu jambazi hata kidogo. Kanisa katoliki ni serikali ndani ya serikali jamaa yangu. Hata nchi kubwa kama USA na wenzake wanatia adabu kwalo. Lina mfumo tofauti na vikanisa vyote uvijuavyo mkuu. Usiwe na shaka nalo hata kidogo. Ndiyo maana wana Pope ambaye ni kama presdaa.


Na kuheshimika kwa Poppe kama mkuu wa kanisa katoliki huwezi linganisha na kuheshimika kwa kikwete kama mkuu wa Tz. Rais anatoas tamko ambalo hata mkuu wake wa wilaya anaalipinga!
Lowasa kuligawa Kanisa Katoliki ni sawa na wewe kukausha bahari kwa kikombe tena maji uyajaze kwenye kishimo ulichochimba pembeni yake.
Acheni fikra finyu, RC siyo kama NGO za akina Mwingira na wenzie.
 
Hivyo hata kama lowasa atahudhuria shereehe izo ataenda kama mtu binafsi au kumsindikiza mkewe regina, ambaye ni mkatoliki.QUOTE]

Huyo mke wake Lowassa anatoka parokia ya Ifakara? Na kule mwanza Lowassa alimsindikiza mkewe pia? Au kanisa linamwalika mama Lowassa then mume anamsindikiza? how clever? Niseme tu, Lowassa ataligawa kanisa katoliki, tayari watu wanaongea vibaya kwenye jumuiya it is only a matter of time watatapika nyongo.

Mke wa Lowassa anaweze udhuria sherehe hizo kwa utashi wake kama wakatoliki wengine wanavyoweza udhuria,kanisa katoliki halina utamaduni kua watu wa jimbo fulani ndio wanaostahili pekee kuudhuria shughuli za jimbo lao,ni mtu yeyote yule kutoka sehemu yeyote ile duniani anaweza udhuria shughuli yeyote ya kanisa bila hata mualiko maalum
 
Hivyo hata kama lowasa atahudhuria shereehe izo ataenda kama mtu binafsi au kumsindikiza mkewe regina, ambaye ni mkatoliki.QUOTE]

Huyo mke wake Lowassa anatoka parokia ya Ifakara? Na kule mwanza Lowassa alimsindikiza mkewe pia? Au kanisa linamwalika mama Lowassa then mume anamsindikiza? how clever? Niseme tu, Lowassa ataligawa kanisa katoliki, tayari watu wanaongea vibaya kwenye jumuiya it is only a matter of time watatapika nyongo.[sahau ndugu labda kwa kakobe lakini si kanisi hili lenye misingi imara]
 
Mungu habangui ila anachukizwa na dhambi ambazo mwanadamu hufanya kwa makusudi,hivi huelewi kuwa Lowas ana wezake ndo wamepelekea vifo vya akina mama na watoto wasio na hatia,rai yangu kwa kanisa katoliki ni kuhakikisha kuwa alitumii divai iliyochacha(fisadi) litabomoka,hivi wana JF tunataka siasa hata kanisani,ingekuwa busara endapo Lowasa angetumia kwenda ifakara kufanya toba kwa Mungu na kuwaomba msamaha watanzania wengi waliowahanga wa matendo yake maovu hapa nchi,kwani wapo walio wagonjwa hadi leo kwa sababu yake wameshikilia roho mkononi.

Lowasa anaweza kuendesha harakati zake pale atakapotubu na kuwafidia wale wote aliowaibia mali na maisha yao pia kuwaomba msamaha watanzania wote.
 
1. Kwamba Lowassa hajaalikwa lakini atashiriki kwa kuwa mkewe ni mkatoliki
2. Kwamba Lowassa hajaalikwa lakini atashiriki kwa kuwa mkewe anatokea parokia ya Ifakara
3. Kwamba Lowassa hajaalikwa lakini atashiriki kwa kuwa anatafuta huruma za wakristo kuingia ikulu
HIVI?
Mke wa Lowassa siyo Mrangi? Most of this tribe wanatokea kwa mama mdogo
 
Hakuna mtu anayembagua, wala hazuiliwi na mtu yeyote kwenda isipokuwa ni makosa makubwa kusaema amealikwa wakati hajaalikwa anajiendea kivyake na mke wake.
Watu wengi sana wamealikwa kwa kadi na EL amealikwa kwa kadi kuhudhuria kusimikwa kwa Askofu. Hakualikwa kama mgeni rasmi wala pale hamna harambee. Lakini kualikwa kaalikwa na leo ameonekana maeneo ya Morogoro akielekea huko.
 
Ninachojua Kanisa lina utaratibu wa kualika viongozi wa serikali katika matukio kama haya wale ambao kwa mujibu wa majukumu yao wanapaswa kuwepo nafasi zinapowaruhusu. Viongozi hao ni pamoja na Mkuu wa nchi, Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa wilaya ambao tukio lipo ndani ya eneo lao kikazi. Haya ya Lowez ni ya kujipelekapeleka ili kutafuta mwanya wa kuungwa mkono kuwania kupenya nafasi ya kugombea kuiangia Ikulu.

Pamoja na kuwa anataka kutumia nafasi hiyo kujinufaisha kisiasa, naambiwa amealikwa katika list ya wale viongozi wa zamani wa serikali. Wamealikwa wengi akiwamo Mkapa, Mwinyi na wengine. Tatizo ambalo lipo ni kutaka kutumia nafasi hiyo kujinufaisha kisiasa hasa baada ya Kanisa Katoliki kukataza waumini wake kumtumia Lowassa katika harambee ya kuchangisha fedha iliyokua ifanyike Machi 7, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya waumini wa Katoliki Ifakara. Ukweli ni kwamba leo ndio siku ambayo Kanisa Katoliki litaonyesha/limeonyesha msimamo wake huko Ifakara. Huenda kukaibuka mambo mazito kutoka kwa uongozi wa Kanisa akiwamo Kadinali Pengo ama kutoka uongozi wa juu ili kusafisha jina la Kanisa kutokana na maneno kwamba wanachukia ufisadi lakini wanapenda fedha za mafisadi.
 
Kama anaenda kusali, haitaji kibali wala kuulizwa maswali

kwani dhehebu lake ni lipi? nachukia sana wana wa siasa eti wanaenda msikitini wakati wao si waislam pia wengine wanaingia makanisa yasiyo yao ili mradi wajisafishe,tuache kucheza na Mungu!
 
Hivyo hata kama lowasa atahudhuria shereehe izo ataenda kama mtu binafsi au kumsindikiza mkewe regina, ambaye ni mkatoliki.QUOTE]

Huyo mke wake Lowassa anatoka parokia ya Ifakara? Na kule mwanza Lowassa alimsindikiza mkewe pia? Au kanisa linamwalika mama Lowassa then mume anamsindikiza? how clever? Niseme tu, Lowassa ataligawa kanisa katoliki, tayari watu wanaongea vibaya kwenye jumuiya it is only a matter of time watatapika nyongo.
Kanisa katoliki linaongozwa na watu makini huo mgawanyiko unaousema kamwe hauwezi tokea kwa sababu za kisiasa kama hizi
 
unaweza ukachezea
makanisa yote lakini
si catholic, hivi
mnakumbuka
waraka wa kichungaji?
 
Tumeijadili jana hii kitu ulikuwa wapi mkuu??? Hebu achana nayo njoo tuzindue kampeni Arumeru mida hii kamanda Mbowe yuko Live unachelewaa
Inamaana kwa vile ilijadiliwa jana haijadiliwi tena! Kumbe ni haki Tanzania iwe nchi ya TATU duniani kwa umasikini.
 
Lowasa Lowasa Lowasa!

Great thinkers mna kosa usingizi kwa ajili ya mtu mmoja ambaya ajali ya historia ilimfikisha kuwa W/Mkuu na akaondolewa kwa aibu!

Hebu ongezeni attention kwenye burning issues kama umasikini wenu nyinyi Wabongo!

Wenzenu wanasuguan vichwa kujadili sera na namna ya kushinikiza maamuzi sahihi ya kuleta maendeleo.

Wake up people.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom