Lowassa could've done better...

Lowassa could've done better...

yaweza kuwa kweli yote ya kwenye uzi huo. ila nina maswali mengi ambayo huo uzi haujajibu.

mfano kama Kikwete alishashtukia mikakati ya Lowasa tangu '95 ikawaje akakaa kimya mpk juzi alipokuja kumtoa kwenye uwaziri mkuu?? Kikwete alishashinda urais alikua na ulazima gani wa kutimiza ahadi ya kumpa cheo kikubwa EL?? alishindwa nini kumchinjia baharini?? halafu mbona huu uzi haujaongelea kauli ya JKN kumuita Kikwete 'bado mdogo' mwaka '95 alivyotaka pitishwa? au ni uongo hiyo kauli?

usitake kumfanya JMK aonekane alikuwa msafi ilhali inajulikana kabisa alikuwa mwizi,yeye na EL wote wezi tu!...hata Pombe pia hana tofauti na hawa wawili. na kama Pombe angekuwa na nia ya kutokomeza ufisadi angeanza na EL maana hiyo mikataba mpk leo bado inatutafuna ila mbona anamuangalia tu?? hakuna asiejua jinsi jamaa alivyo na kisasi angekua kashampeleka kwenye hiyo mahakama yake mpya. sasa watu wataaminije kuwa ni fisadi kweli ilhali hachukuliwi hatua? ni ukweli ulio dhahiri huo uzi unaleta maswali mengi kuliko majibu.

nachelea kusema kuwa inawezekana kazi ya EL sasa chadema ni kama alichoenda fanya Mrema NCCR Mageuzi miaka ile!
 
Go Magu go Magu! and make this country credible again!🙁😛😀😳
 
yaweza kuwa kweli yote ya kwenye uzi huo. ila nina maswali mengi ambayo huo uzi haujajibu.

mfano kama Kikwete alishashtukia mikakati ya Lowasa tangu '95 ikawaje akakaa kimya mpk juzi alipokuja kumtoa kwenye uwaziri mkuu?? Kikwete alishashinda urais alikua na ulazima gani wa kutimiza ahadi ya kumpa cheo kikubwa EL?? alishindwa nini kumchinjia baharini??
.
Alikuwa anampa kamba ndefu ili ajimalize mwenyewe.

halafu mbona huu uzi haujaongelea kauli ya JKN kumuita Kikwete 'bado mdogo' mwaka '95 alivyotaka pitishwa? au ni uongo hiyo kauli?
.
Siyo lazima kuyaandika yote yaliyosemwa wakati ule, kwani Mwalimu pia aliwahi kumuuliza Mandela, "hii nyumba nzuri inayotumiwa na ubalozi wenu ni ya nani? Mandela akamwambia ni ya mwanao L". Sasa yakiandikwa yote hapa tutajaza server.

usitake kumfanya JMK aonekane alikuwa msafi ilhali inajulikana kabisa alikuwa mwizi,yeye na EL wote wezi tu!...hata Pombe pia hana tofauti na hawa wawili. na kama Pombe angekuwa na nia ya kutokomeza ufisadi angeanza na EL maana hiyo mikataba mpk leo bado inatutafuna ila mbona anamuangalia tu??
.
Huwezi fananisha Rais Magufuli na hao wengine pia Kikwete hakuwa na ufisadi kama wa L, mwenzake alianza kitambo sana toka 80's.
hakuna asiejua jinsi jamaa alivyo na kisasi angekua kashampeleka kwenye hiyo mahakama yake mpya. sasa watu wataaminije kuwa ni fisadi kweli ilhali hachukuliwi hatua? ni ukweli ulio dhahiri huo uzi unaleta maswali mengi kuliko majibu.
.
Una uhakika gani kama hajaanza kutumbuliwa? Kama mbuyu ni mkubwa sana ni bora ukate mizizi ili uache ufe wenyewe kuliko kutumia shoka kuuangusha.
 
Wengi hamjui kilichomponza Lowasa kwa JK.
Tatizo lilikuwa Lowasa kumdharau JK akiwa waziri mkuu kiasi cha kuwa akisafiri nje ya nchi bila kumjulisha JK wakati huo naye akiwa nje. Sasa jamaa alitaka kumuonyesha tu kuwa yeye yupo juu hata kama wao (Lowasa na marafiki zake) ndiyo waliomfikisha hapo juu.
Yule mkwele naye chuki tu lowasa alimsadia sana kumuweka madarakani
 
.
Alikuwa anampa kamba ndefu ili ajimalize mwenyewe.

.
Siyo lazima kuyaandika yote yaliyosemwa wakati ule, kwani Mwalimu pia aliwahi kumuuliza Mandela, "hii nyumba nzuri inayotumiwa na ubalozi wenu ni ya nani? Mandela akamwambia ni ya mwanao L". Sasa yakiandikwa yote hapa tutajaza server.

.
Huwezi fananisha Rais Magufuli na hao wengine pia Kikwete hakuwa na ufisadi kama wa L, mwenzake alianza kitambo sana toka 80's.

.
Una uhakika gani kama hajaanza kutumbuliwa? Kama mbuyu ni mkubwa sana ni bora ukate mizizi ili uache ufe wenyewe kuliko kutumia shoka kuuangusha.
boss umejibu kinadharia sana! yaani unamvumilia mtu mbaya,mnafiki na mwizi miaka karibu 20 eti unampa kamba ndefu ya kujitundikia??

hiyo ya Mandela & swahiba wake sijawahi isikia so siwezi ongelea ila sitoshangaa kama ni kweli.

ila nashukuru mkuu kuwa umekubali kuwa JMK alikua fisadi mzuri pia hata kama unadai hamfikii EL. tofauti hasa hapo ni fursa tu! EL alizipata nyingi kitambao zaidi akaiba...JMK alivyopata nae fursa kubwa zaidi awamu yake akaiba vya kutosha pia ingawa tunajua fika kuwa alianza kitambo hata kama hakuwahi kama EL. na Pombe pia tunayafahamu mengi yake kabla hata hajashika hatamu na sasa kashapata mamlaka unategemea ndo atatubu?? ilhali mpk leo hakuna dalili ya yeye kufanya hivyo zaidi ya kurudia waliofanya BWM & JMK enzi zao ingawa kwa namna tofauti nao!

na kuhusu kudai eti mbuyu mkubwa inabidi uukate mizizi ndo uuache ufe wenyewe ni kichekesho mkuu! yaani ushahidi wote uliokuwepo tena wa wazi bado wanaendelea kumsikilizia tu! mtu kalitia taifa hasara zote hizo unamuachia 'afe mwenyewe'?? haya labda mi sina uhakika kuwa hajaanza kutumbuliwa je wewe unao??
 
Mpinzani aliyekuwa serious ni Slaa pekee, ndio mtu aliyekuwa na uwezo wa kusafisha nchi kwa 100% awa kina Lowassa ni bora ata Hashm rungwe.. Magu anafanya kile mlichokililia miaka yote lazima mkubali gharama ya kila mnachoitaji. Mnataka nchi ikae sawa uku mnachekelea tu bila kuwajibika sheinz kabisa.
Hata kipindi yupo slaa bado.mlikuwa mnamtukana
 
Angepita lowasa...today pasingekuwepo haya ambayo magufuli amefaulu kuyaleta...napoiangalia TZ ya 2030 sio TZ ya 2005 .
Sasa kuhusu yapi magufuli kafanya ,,Mimi naanza nahili :-

Kukuakikisha Vyombo vyetu vya ulinzi kua vya kisasa navinavyolinda Amani yanchi ivo Basi saizi tunaendelea kucheka kwa amani.
b1b341907f48e786120a2a3e4843e82d.jpg
Enzi za kikwte kulikuwa na vita nchini?
 
Kwakweli kwa katiba hii tulio nayo sasa (kwa jinsi inavyolinda viongozi wa juu) usipoiba na wewe utakua una mtindio wa ubongo. Yani unaiba na unakula mpunga wako kistaarabu kabisa.
 
Dogo mradi wa maji ziwa Victoria Lowasa kaukuta uko mezani kwa utekelezaji.

City water Lowasa alikuwa akivuta 200m kwa mwezi kama commission alipoingia mwandozya wizarani akmjulisha mkapa akampiga marufuku Lowasa kupokea commission ndo chuki yake Lowasa ikaanza kwa city water alipoupata Waziri mkuu ikaanza nao.akawatimua.

forget about this highly corrupt man Lowasa.
Tafadhali bila research huna ruhusa na bila kuwa evidence pia usilete siasa kwenye jambo la maisha ya watu wa TZ. Lowassa tangu alipotoka kwenye system hamkuonyesha ufisadi wa huyu. Bado naona kuanzia sasa sitadanywa tena.
 
I second this...

Uncle Magu anaweza akawa ni mtu mzuri tu.

Lakini pia nakubali wenye makosa ni partially sisi wananchi na partially yeye Magu mwenyewe.

Sisi tuliompigia kura kwa kumpa majukumu ambayo hayawezi, tulifanya kosa kubwa....

On the other side, na yeye yuko responsible kwa makosa kwa kujaribisha kazi ambayo haiwezi na haitakiwi kujaribishwa, Bali inatakiwa uwe na maono kwa Taifa.

Hayo aliyaweka wazi yeye mwenyewe. Kwamba alijaribu tu, hakuwa anafikiri kuwa atashinda, na siyo kazi aliyokuwa ana uhakika anaweza kuifanya.

Haitakiwi uwe genius kujuwa kuwa sumu haionjwi.
Ukiwa na akili ya kujua misingi ya uongozi na falsafa ya kiongozi aliyepo madarakani sambamba na historia ya nchi na hali ya nchi kabla na baada ya uchaguzi utapambanua nani anafaa kuwa Rais mzr kati ya Magufuli, Lowassa na Kikwete..halafu ni vyema kujua uongozi si kufurahisha watu, uongozi wa nchi ni kusimamia maslahi ya watu sasa na wajao. Naijua falsafa ya Magufuli ni KUJITEGEMEA!!! Kikwete je nguvu mpya , kasi mpya ..??? ndio hiyo, Lowassa je..unaijua falsafa yake..tuambie, au tuendelee kuwa omba omba wakati Mungu katujalia kila kitu! Je ni sawa kiongozi kumiliki makampuni yanayowanyonya watu unaotaka kuwaongoza??? Lowassa na hayo makampuni na rafiki zake bado unadhani alikuwa na sifa ya kuwa kiongozi??? Sidhani!
 
Angepita lowasa...today pasingekuwepo haya ambayo magufuli amefaulu kuyaleta...napoiangalia TZ ya 2030 sio TZ ya 2005 .
Sasa kuhusu yapi magufuli kafanya ,,Mimi naanza nahili :-

Kukuakikisha Vyombo vyetu vya ulinzi kua vya kisasa navinavyolinda Amani yanchi ivo Basi saizi tunaendelea kucheka kwa amani.
b1b341907f48e786120a2a3e4843e82d.jpg
Aman ya uwepo wa watu wasiojulikana
 
Uchambuzi mzuri. Ila kumbuka Lowassa hana maono kabisa ya uongozi. Rejea vision yake wakati wa uchaguzi: "education, education, education". Aliiga kwa Tony Blair (Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza) hii vision; na pia hakuwa na record nzuri ya kuendeleza elimu nchini. Legacy yake ilikuwa ni shule za kata. Ambazo karibu zote ni majanga. Kimaamuzi pia Lowassa ni bomu. Rejea memo alizokuwa akiandika kuharakisha suala la Richmond wakati wa uongozi wake ambazo zilikuja kuibuliwa na kamati ya Mwakyembe.

Sema yote lakini usiniambie Lowassa ni Kiongozi mzuri aisee. In fact, ukilinganisha na Magufuli, Magufuli is better, japokuwa mimi mwenyewe simkubali Magufuli sana.
Screenshot_2017-10-05-11-43-27-1.png
 
Ulitaka within miaka miwili tu hizo shule za kata ziwe vipi ili uamini amefaulu katika hilo?
 
Ukiwa na akili ya kujua misingi ya uongozi na falsafa ya kiongozi aliyepo madarakani sambamba na historia ya nchi na hali ya nchi kabla na baada ya uchaguzi utapambanua nani anafaa kuwa Rais mzr kati ya Magufuli, Lowassa na Kikwete..halafu ni vyema kujua uongozi si kufurahisha watu, uongozi wa nchi ni kusimamia maslahi ya watu sasa na wajao. Naijua falsafa ya Magufuli ni KUJITEGEMEA!!! Kikwete je nguvu mpya , kasi mpya ..??? ndio hiyo, Lowassa je..unaijua falsafa yake..tuambie, au tuendelee kuwa omba omba wakati Mungu katujalia kila kitu! Je ni sawa kiongozi kumiliki makampuni yanayowanyonya watu unaotaka kuwaongoza??? Lowassa na hayo makampuni na rafiki zake bado unadhani alikuwa na sifa ya kuwa kiongozi??? Sidhani!
Ana makampuni gani yenye kuwanyonya watu. Weka wazi mkuu ndo JF hii. Huwezi kujuwa mchango wako utatufunguwa macho wengine.
 
Mkuu Kwani hata akiisoma yeye kuna utofauti gani? Taarifa zenyewe si zilitoka ndani ya serikali? Wewe unadhani kwanini walizitoa? Pengine chadema na kina Lissu walilishwa kasa na wao wakaja kutulisha sisi. Tumia akili, na pia utulie unapofikiri kuhusu hii issue. Usiende kiushabiki utapotea.

Na sasa inabidi tuwaamini tena kivipi yaani kua hawatulishi sumu mkuu!??na hiyo 'pengine' inaweza kuwa 'pengine' hawa ni wahuni na waroho tu wa madaraka walio tayari kuwalisha kasa na upuuz mwingine wowote wananchi walio tayari kuwasikiliza na kuwaamini ilimradi tu watulize kiu yao ya madaraka!!!???ni 'pengine' tu,nawaza.
 
Huyo Slaa naye mlimuita majina mabaya yote, mkampa sifa zote mbaya,...........manake ni kwamba hata kundi linalo ongozwa ndo lenye kasoro zaidi
ni kama hizi anazopewa na timu aliokua anaichezea zamani!!??msaliti,mchumia tumbo,ana tamaa ya madaraka simply beacause kakataa kukla matapishi yake kuhusu EL!??
ANAEWEZA BADILI GIA ANGANI KAMA WALIVYOFANYA CHADEMA 2015 HAPASWI KUAMINIWA KABISA!!
 
Na sasa inabidi tuwaamini tena kivipi yaani kua hawatulishi sumu mkuu!??na hiyo 'pengine' inaweza kuwa 'pengine' hawa ni wahuni na waroho tu wa madaraka walio tayari kuwalisha kasa na upuuz mwingine wowote wananchi walio tayari kuwasikiliza na kuwaamini ilimradi tu watulize kiu yao ya madaraka!!!???ni 'pengine' tu,nawaza.
Kwenye hili siwezi kupingana na wewe, kwasababu sizungumzi kiushabiki. Time will tell here in the near future.
 
ni kama hizi anazopewa na timu aliokua anaichezea zamani!!??msaliti,mchumia tumbo,ana tamaa ya madaraka simply beacause kakataa kukla matapishi yake kuhusu EL!??
ANAEWEZA BADILI GIA ANGANI KAMA WALIVYOFANYA CHADEMA 2015 HAPASWI KUAMINIWA KABISA!!
Dr Slaa inawezekana na yeye hakupata taarifa sahihi. Inawezekana ccm waliwachezesha makida makida.

Kumbuka ccm na wao huwa wana mipango yao mingi tu na ya tofauti dhidi ya upinzani na namna ya kukabiliana nao.

Again, I believe time will tell here in the near future...
 
Dah,sasa kaka,yeye na wenzake hawakupata taarifa sahihi na wakakurupuka nazo nchi nzima wakizihubiri bila kuzi thibitisha.....tena WAKITUHAKIKISHIA KUWA WANA USHAHIDI(kauli za Msigwa,Lissu,Mbowe na Mnyika kumbukumbu zao zipo)....labda taarifa hazikua sahihi....Ushahidi walitoa wapi!?maana wange verify ushahidi wao(mtu makini yoyote hufanya hivi) wangejua taarifa sio sahihi na wasingetudanganya hivi..(hadi mimi walinidanganya hawa mabwana,kudadeki!)
 
Back
Top Bottom