mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,221
- 4,692
Yupo sana, bado ana miaka saba ya kunyoosha nchi... Mtazoea tu kula kwa jasho.Akwendreeee
Yupo sana, bado ana miaka saba ya kunyoosha nchi... Mtazoea tu kula kwa jasho.Akwendreeee
HahahaMpinzani aliyekuwa serious ni Slaa pekee, ndio mtu aliyekuwa na uwezo wa kusafisha nchi kwa 100% awa kina Lowassa ni bora ata Hashm rungwe.. Magu anafanya kile mlichokililia miaka yote lazima mkubali gharama ya kila mnachoitaji. Mnataka nchi ikae sawa uku mnachekelea tu bila kuwajibika sheinz kabisa.
Mkuu bado unaamini atafikishwa kwa Pilato? Kwa kosa lipi? Mpaka usawa huu lazima amgeshafikishwa kwenye hiyo mahakama. Sanana kuzuiliwa siasa ni dalili za kumuogopa na si vinginevyo.Hahahahahahahahahah acha nicheke tu maana inabidi kucheka,leo mnauliza ufisadi wa Lowassa ni upi!?
Siku akifikishwa kwa pilato sijui mtakuja na hadithi gani!hahahahahahhahahah! mmechanganyikiwa kwa ukweli.
Mkuu siasa za Tanzania hazina formula,ni za mzunguko usioeleweka.Kuna watu humu Jamii Forum for eight years walimuandama Lowassa kama chuki binafsi,wakigangana kuwa ni fisadi tu bila chembe ya ushahidi.Kama haitoshi wapo watu wengi walichukia rushwa kubwa kubwa zilivyokuwa zimeharibu hadhi ya serikali,waliomba kumpata raisi mwenye uchungu na mali za nchi hii.JK inawezekana alikuwa ana wivu kuona besti yake naye akiingia kwenye listi ya mapresdaa. Ili kwenye group lao EL asimfunike. Maana kiukweli walikuwa marafiki. Lakini urafiki wa JK ulikuwa wa kinafiki zaidi.
JK akaleta siasa za "kuvua gamba", akiwa target walio kuwa wakipigiwa kelele za ufisadi. JK alijuwa EL si fisadi lakini alinyamaza na kuendeleza politics za kiswalihina. Ufisadi wote wa kuuza nchi EL hajatokea.
JK yuko responsible kwasababu hata mimi nilimpigia kura Maghufuli badala ya Lowassa kwa kuamini ni fisadi ambaye JK anaogopa kumtimua waziwazi ili chama kisimegeke. But I was wrong.
JK pia alitaka wananchi wamkumbuke uongozi wake ndo maana akaona JPM anafaa zaidi kwasababu anamfahamu vyema(alishawahi kupindua maamuzi yake mengi tu JPM alipokuwa waziri na JK rais), JK alijuwa kuna namna mambo yatakuwa ndivyo sivyo na wananchi kulalamika zaidi, hence kumkumbuka.
However nimekaa nikafikiria, sababu kubwa ya kumpigia kura JPM badala ya Lowassa ni ufisadi. Nikasubiri ccm wamshitaki EL, wapi. Subiri wataje kashfa ambaye kiukweli amehusika yeye, hakuna.
Yani ina maana kashfa ya kuuza nyumba za serikali kwa ndugu zake, inaonyesha wazi uncle Magu ni fisadi na wala siyo EL.
Kwahiyo hapa kusema JPM ni msafi kuliko EL ni upotoshaji mkubwa kabisa.
Hivyo basi hapo ndo tofauti kubwa ya kwanza kabisa kati ya hao viongozi wawili. Pia kingine ni busara. Mzee EL ana busara sana, na pia huchaguwa maneno ya kuzungumza nk.
Watu hao lakini pia wana similarities. Yani kuna mambo wanafanana. Na hilo ni ufuatiliaji, utekelezaji na uwajibikaji.
Hizo ndo nguzo kuu za sifa za Lowassa. Sasa wale ambao hatukuwa na uhakika kuhusu EL, tukaona kuwa Maghufuli pia anaweza kufanya tu kama yeye.
Lakini tofauti ni ukosefu wa busara kwenye maamuzi hayo. Busara ikikosekana kwenye jambo lolote la msingi, basi matokeo yake ni sawa "kujipiga risasi ya mguuni" ukiwa kwenye safari inayoitegemea miguu hiyo.
EL pia ni msikilizaji. Hiyo sifa rais wetu wa sasa hana. Nina imani kuna anaowasikiliza wachache, ambao hao kwake hawana makosa.
Pamoja na sifa ya ujasiri na uchukuaji wa maamuzi magumu alizonazo EL, bado ni mtu mwenye UPENDO na HURUMA.
Rais anaonekana ana ujasiri. Wengi wanapiga wanasema ni uoga. Mimi ninaamini ana ujasiri, lakini hana upendo wala huruma hata chembe.
Binafsi ninaamini rais lazima awe na empathy, yani uwezo wa kujiweka kwenye nafasi ya mtu mwingine na kuona anayopitia. Mtu wa namna hawezi kukosa huruma na upendo, ingredients ambazo ni muhimu sana kwenye jamii ya kitanzania. Aliposhindwa kujiweka kwenye nafasi ya wafiwa, aliamuru rambi rambi zisikabidhiwe kwa wafiwa/waathirika. Hapo ndipo utaona umuhimu wa empathy kwa kiongozi mkuu wa nchi.
Pia EL siyo mtu wa visasi wala vinyongo. Kwa kuwa nilikuwa nimeshamchukia sana kwasababu za uongo kuwa ni fisadi namba moja nchini, nilishindwa kuamini kama hana hizo characteristics.
Nikawa nadhani anajifanyisha tu pale ambapo akitukanwa wala hajibu. Na wanaomuita fisadi hawamyimi usingizi. Yani wala hakutumia nguvu kubwa kupingana na hao wanaomuita fisadi na matusi mengine.
Binafsi ninaamini kuwa JPM amepiga marufuku siasa kwasababu ya Lowassa. Kiukweli, wengi wangeona makosa makubwa tuliyofanya.
Hapo mwanzoni nilikubaliana na JPM kuwa serikali inatakiwa ipewe muda wa kufanya kazi na kutekeleza ahadi zake badala ya kuendeleza siasa. However sasa nimegunduwa kuwa sababu kubwa ni yeye binafsi. Wasiwasi kuwa wananchi watagunduwa mapema makosa waliyoyafanya.
Kama Mungu akimpa uzima, na afya ikawa inaruhusu, nina imani kuwa Lowassa bado ana nafasi ya kuongoza Taifa letu. Pengine akayafanya yale mazuri yaliyoko kwenye uongozi huu wa sasa, na kuachana na negativity zote za utawala huu.
La mwisho kabisa, ni uzalendo wa kweli.
Nilimpigia Magufuli na nitampigia tena na tena, rais aliyekomesha rushwa aina ya richmond na kirudisha heshima mtaani.

kura yangu niliamua kuwapa UKAWA ila nilipoona Lowassa kapokelewa UKAWA kwa mbwembwe live kwenye Tv 
Honestly I was confused and disappointed, sikujua niamini kipi 
nikaamua kuliko kupigia kura CCM( I glad I didn't
maana nilitegemea kusingekuwa na mabadiliko ila kinachoendelea) I'm very happy sikupigia kura, niliamkia Baa mwendo wa kitimoto na bia 
Madhari ulimpigia kura huyo, wewe ndio walewale. Huna hoja bora ukae kimya! Ulicho paswa kujua mapema ni kuwa CCM ni walewale hakuna mwenye nafuu hata mmoja. Nchi ina angalia kwasababu yenu.JK inawezekana alikuwa ana wivu kuona besti yake naye akiingia kwenye listi ya mapresdaa. Ili kwenye group lao EL asimfunike. Maana kiukweli walikuwa marafiki. Lakini urafiki wa JK ulikuwa wa kinafiki zaidi.
JK akaleta siasa za "kuvua gamba", akiwa target walio kuwa wakipigiwa kelele za ufisadi. JK alijuwa EL si fisadi lakini alinyamaza na kuendeleza politics za kiswalihina. Ufisadi wote wa kuuza nchi EL hajatokea.
JK yuko responsible kwasababu hata mimi nilimpigia kura Maghufuli badala ya Lowassa kwa kuamini ni fisadi ambaye JK anaogopa kumtimua waziwazi ili chama kisimegeke. But I was wrong.
JK pia alitaka wananchi wamkumbuke uongozi wake ndo maana akaona JPM anafaa zaidi kwasababu anamfahamu vyema(alishawahi kupindua maamuzi yake mengi tu JPM alipokuwa waziri na JK rais), JK alijuwa kuna namna mambo yatakuwa ndivyo sivyo na wananchi kulalamika zaidi, hence kumkumbuka.
However nimekaa nikafikiria, sababu kubwa ya kumpigia kura JPM badala ya Lowassa ni ufisadi. Nikasubiri ccm wamshitaki EL, wapi. Subiri wataje kashfa ambaye kiukweli amehusika yeye, hakuna.
Yani ina maana kashfa ya kuuza nyumba za serikali kwa ndugu zake, inaonyesha wazi uncle Magu ni fisadi na wala siyo EL.
Kwahiyo hapa kusema JPM ni msafi kuliko EL ni upotoshaji mkubwa kabisa.
Hivyo basi hapo ndo tofauti kubwa ya kwanza kabisa kati ya hao viongozi wawili. Pia kingine ni busara. Mzee EL ana busara sana, na pia huchaguwa maneno ya kuzungumza nk.
Watu hao lakini pia wana similarities. Yani kuna mambo wanafanana. Na hilo ni ufuatiliaji, utekelezaji na uwajibikaji.
Hizo ndo nguzo kuu za sifa za Lowassa. Sasa wale ambao hatukuwa na uhakika kuhusu EL, tukaona kuwa Maghufuli pia anaweza kufanya tu kama yeye.
Lakini tofauti ni ukosefu wa busara kwenye maamuzi hayo. Busara ikikosekana kwenye jambo lolote la msingi, basi matokeo yake ni sawa "kujipiga risasi ya mguuni" ukiwa kwenye safari inayoitegemea miguu hiyo.
EL pia ni msikilizaji. Hiyo sifa rais wetu wa sasa hana. Nina imani kuna anaowasikiliza wachache, ambao hao kwake hawana makosa.
Pamoja na sifa ya ujasiri na uchukuaji wa maamuzi magumu alizonazo EL, bado ni mtu mwenye UPENDO na HURUMA.
Rais anaonekana ana ujasiri. Wengi wanapiga wanasema ni uoga. Mimi ninaamini ana ujasiri, lakini hana upendo wala huruma hata chembe.
Binafsi ninaamini rais lazima awe na empathy, yani uwezo wa kujiweka kwenye nafasi ya mtu mwingine na kuona anayopitia. Mtu wa namna hawezi kukosa huruma na upendo, ingredients ambazo ni muhimu sana kwenye jamii ya kitanzania. Aliposhindwa kujiweka kwenye nafasi ya wafiwa, aliamuru rambi rambi zisikabidhiwe kwa wafiwa/waathirika. Hapo ndipo utaona umuhimu wa empathy kwa kiongozi mkuu wa nchi.
Pia EL siyo mtu wa visasi wala vinyongo. Kwa kuwa nilikuwa nimeshamchukia sana kwasababu za uongo kuwa ni fisadi namba moja nchini, nilishindwa kuamini kama hana hizo characteristics.
Nikawa nadhani anajifanyisha tu pale ambapo akitukanwa wala hajibu. Na wanaomuita fisadi hawamyimi usingizi. Yani wala hakutumia nguvu kubwa kupingana na hao wanaomuita fisadi na matusi mengine.
Binafsi ninaamini kuwa JPM amepiga marufuku siasa kwasababu ya Lowassa. Kiukweli, wengi wangeona makosa makubwa tuliyofanya.
Hapo mwanzoni nilikubaliana na JPM kuwa serikali inatakiwa ipewe muda wa kufanya kazi na kutekeleza ahadi zake badala ya kuendeleza siasa. However sasa nimegunduwa kuwa sababu kubwa ni yeye binafsi. Wasiwasi kuwa wananchi watagunduwa mapema makosa waliyoyafanya.
Kama Mungu akimpa uzima, na afya ikawa inaruhusu, nina imani kuwa Lowassa bado ana nafasi ya kuongoza Taifa letu. Pengine akayafanya yale mazuri yaliyoko kwenye uongozi huu wa sasa, na kuachana na negativity zote za utawala huu.
La mwisho kabisa, ni uzalendo wa kweli.
Nani angefaa kuwa Rais bora kati ya wale wote waliotia nia 2015?Uchambuzi mzuri. Ila kumbuka Lowassa hana maono kabisa ya uongozi. Rejea vision yake wakati wa uchaguzi: "education, education, education". Aliiga kwa Tony Blair (Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza) hii vision; na pia hakuwa na record nzuri ya kuendeleza elimu nchini. Legacy yake ilikuwa ni shule za kata. Ambazo karibu zote ni majanga. Kimaamuzi pia Lowassa ni bomu. Rejea memo alizokuwa akiandika kuharakisha suala la Richmond wakati wa uongozi wake ambazo zilikuja kuibuliwa na kamati ya Mwakyembe.
Sema yote lakini usiniambie Lowassa ni Kiongozi mzuri aisee. In fact, ukilinganisha na Magufuli, Magufuli is better, japokuwa mimi mwenyewe simkubali Magufuli sana.
Huyo Slaa naye mlimuita majina mabaya yote, mkampa sifa zote mbaya,...........manake ni kwamba hata kundi linalo ongozwa ndo lenye kasoro zaidiMpinzani aliyekuwa serious ni Slaa pekee, ndio mtu aliyekuwa na uwezo wa kusafisha nchi kwa 100% awa kina Lowassa ni bora ata Hashm rungwe.. Magu anafanya kile mlichokililia miaka yote lazima mkubali gharama ya kila mnachoitaji. Mnataka nchi ikae sawa uku mnachekelea tu bila kuwajibika sheinz kabisa.
Lowasa alishapigwa chini na JK kabla hata ya 2010, Richmond ilifanywa iondoke na Lowasa lakini haikuwa ya kuondoka nayo.Kilichomfanya JK amgeuke Lowassa ni kimoja tu. Kura za 2010 baada ya CHADEMA kuimba ufisadi ndani ya serikali na CCM kwa ujumla na matokeo yake JK akashinda kiduchu tena matokeo kucheleweshwa mno kiasi cha kufikiria uchakachuaji. Hapo ndipo JK akaona kuendelea mtuhumiwa namba moja wa ufisadi ni kuiangamiza CCM. Hoja ya kujivua gamba ikaanzishwa na ndio mwisho wa urafiki wa karibu kati ya Lowassa na JK. Lengo la kumtema Lowassa lilikuwa kuiokoa CCM.
Magufuli ni rais bora kabisa kuwai kutokea. Acheni akili fupi za kiafrika, huyo lowassa kwa mfano angefanya nini ambacho magu hafanyi zaidi ya wizi yeye na genge lake la kina rostam karamagi
Kwa mawazo haya ya watu aina yako, basi nchi ina safari kubwa si ndogo. Final outcome ya awamu ni majanga kwa taifa zima. Kwa sababu as of now, hakuna sera yoyote inayotekelezwa zaidi ya mtu aonavyo inafaa. Muda utaongea.Magufuli ni rais bora kabisa kuwai kutokea. Acheni akili fupi za kiafrika, huyo lowassa kwa mfano angefanya nini ambacho magu hafanyi zaidi ya wizi yeye na genge lake la kina rostam karamagi
Uchambuzi mzuri. Ila kumbuka Lowassa hana maono kabisa ya uongozi. Rejea vision yake wakati wa uchaguzi: "education, education, education". Aliiga kwa Tony Blair (Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza) hii vision; na pia hakuwa na record nzuri ya kuendeleza elimu nchini. Legacy yake ilikuwa ni shule za kata. Ambazo karibu zote ni majanga. Kimaamuzi pia Lowassa ni bomu. Rejea memo alizokuwa akiandika kuharakisha suala la Richmond wakati wa uongozi wake ambazo zilikuja kuibuliwa na kamati ya Mwakyembe.
Sema yote lakini usiniambie Lowassa ni Kiongozi mzuri aisee. In fact, ukilinganisha na Magufuli, Magufuli is better, japokuwa mimi mwenyewe simkubali Magufuli sana.
Kurudisha heshima mtaani!!!! Nimejua wewe ni mtu wa aina gani kielimu, kimapato (kazi yako) na uwezo wako wa kufikiri. Nikwambie tu hili kurufisha mtaani hakukufanyi ule Milo 3 nyumbani kwako na mwenzo kunywa bia na nyama choma hakukupunguzii kituNilimpigia Magufuli na nitampigia tena na tena, rais aliyekomesha rushwa aina ya richmond na kirudisha heshima mtaani.
That's petty issue, mishahara itaongezwa...fisadi Lowassa angefanya nini kwenye ufisadi?Angetuongezea mshahara na marupurupu. Ongeza swali lingine nikujibu....
kuhusu nyumba za serikali msikilize mwenyekiti wa chadema kanda ya pwani Mr Sumaye hapo juu anatoa ufafanuzi mzuri tu.
Richmond ni ya Lowassa ilo awezi chomoka, ukitaka ushaidi waulize lissu, mnyika na lema walishasema.ushahidi wanao.
Yani huyo Lowassa ni afadhari mtafute mwingine huyo ni mwizi ata nafsi yako inajua kutopandishwa kizimbani hakumfanyi kutokuwa mwizi wapo wezi wengi tu wa nchi hii awajafikishwa kortini sababu walituibia kwa akili nyingi lakini haiwafanyi kutokuwa wezi.
Magufuli ni kiongozi ni jasiri atatufikisha sehemu nzuri, amethubutu mpaka kugusa eneo la madini pamoja na kumbeza wengi tunaamini kuna matunda tutayaona huko.
Pengine sio mzuri kwenye siasa ndio maana vilio vyenu wengi haswa ni kwenye demokrasia.