Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
kuhusu nyumba za serikali msikilize mwenyekiti wa chadema kanda ya pwani Mr Sumaye hapo juu anatoa ufafanuzi mzuri tu.
Richmond ni ya Lowassa ilo awezi chomoka, ukitaka ushaidi waulize lissu, mnyika na lema walishasema.ushahidi wanao.
Yani huyo Lowassa ni afadhari mtafute mwingine huyo ni mwizi ata nafsi yako inajua kutopandishwa kizimbani hakumfanyi kutokuwa mwizi wapo wezi wengi tu wa nchi hii awajafikishwa kortini sababu walituibia kwa akili nyingi lakini haiwafanyi kutokuwa wezi.
Magufuli ni kiongozi ni jasiri atatufikisha sehemu nzuri, amethubutu mpaka kugusa eneo la madini pamoja na kumbeza wengi tunaamini kuna matunda tutayaona huko.
Pengine sio mzuri kwenye siasa ndio maana vilio vyenu wengi haswa ni kwenye demokrasia.
Kwenye hivyo video kuna nembo ya chama gani?
Ukipata jibu utatambua FS alikuwa anatakeleza maagizo toka juu si utashi wake