Lowassa could've done better...

Tatizo lililopo ni kutokuwepo kwa ushirikiano kutoka serikalini ili watuhumiwa waweze kufikishwa mahakamani. Ni wazi ccm haiwezi kukubali hilo litokee, ndo maana wanaopingana nao ni wasaliti wa taifa.

Mafisadi bado wako ccm. Kuna uwezekano mkubwa walifanya waliyofanya (kumchafua EL nk),kwa maslahi binafsi.

Ufisadi ulikuwepo na bado upo. However, ccm walitumia ujanja wa misinformation. Sasa wale tuliodhani ni wasafi kumbe ndo wachafu na mafisadi. Nani angejuwa mtu kama profesa Muhongo ni fisadi? Alivyokuwa akisifiwa humu kwa usomi na uadilifu?

Mkuu, usiconclude kutokana na ninachosema, lakini tambuwa kuwa hizo kashfa zote walizokuwa wakipata chadema zilitoka kwa wana ccm walioko kwenye nafasi nyeti serikalini. Kwamba walikuwa wazalendo au wenye malengo binafsi ndo point ilipo.

Haina maana kuwa ufisadi haukuwepo, bali walichezeana rafu na kuchafuana. Nadhani mafisadi wa ccm ndo walishinda vita ile...
 
Unadhani nick name ya "mtu mwenye maamuzi magumu" ilianzia wapi?

Na uwajibikaji haukuwepo alipojiuzulu?

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
kujiuzulu ni maauzi magumu au ilimbid cus alikua ashazingua??? amelipia makosa yake japo haimsafishi moja kwa moja ata mara moja, still hes fisadi
 
kujiuzulu ni maauzi magumu au ilimbid cus alikua ashazingua??? amelipia makosa yake japo haimsafishi moja kwa moja ata mara moja, still hes fisadi
Asingejiuzulu yeye, ina maana rais angetakiwa ajiuzulu...
 
Asingejiuzulu yeye, ina maana rais angetakiwa ajiuzulu...[kwasababu alijua na yeye ameshiriki, ila kama angekua hausiki apo ndo tungesema ana busara na amechukua maamuzi magumu....ayo mnayosema ni kama kumsafisha mtu alie mchafu, no more
 
Zozote zile.

Kama ya kuangalia principles badala ya watu.
Niliangalia principles nikampigia kura Maghufuli.

Wewe ungeangalia principles badala ya watu ungefanya maamuzi gani ya tofauti?
 
Niliangalia principles nikampigia kura Maghufuli.

Wewe ungeangalia principles badala ya watu ungefanya maamuzi gani ya tofauti?
Nilipiga kura kwa miguu yangu miaka mingi kuondoka Tanzania kwa sababu miaka 20 iliyopita nilishajua kwamba nitapewa uchaguzi wa kumchagua Lowassa au Magufuli.

Uchaguzi wa kuamua uuawe kwa kisu au bunduki kwa mtu ambaye hataki kufa si uchaguzi.
 
I did the same, however I just happened to be there during elections. I was motivated by “sera za viwanda”, but then again...
 
I did the same, however I just happened to be there during elections. I was motivated by “sera za viwanda”, but then again...
I could see through all that bs like it was transparent.
 
I could see through all that bs like it was transparent.
But personalities and principles BOTH matters!

Personality can tell a lot about how one might behave.
 
But personalities and principles BOTH matters!

Personality can tell a lot about how one might behave.

I have almost always prized a good balance as being the crucible of self correcting converging analytics. So, granted that, unless one is open to a ridiculed Wilsonian life of woody ivory tower naive delusion that life revolves around Selassian asymptotic ideals, to be ever pursued,but never attained, and not realpolitik, one would do well to analyze personalities as well as principles in good measure.

That is hardly the issue.

The issue is, we are not reaching any good measure at all. We are hellbent on personalities more than policies, people more than principles.
 
Nilimpigia Magufuli na nitampigia tena na tena, rais aliyekomesha rushwa aina ya richmond na kirudisha heshima mtaani.
Wanabodi tafadhali ambaye anayo nakala ya "cause list" ya mahakama ya mafisadi atusaidie hapa
 
List of shame ya mwemba yanga ndo ilianzisha yote. Sasa swali ni JK ndo aliwatuma akina Mbowe na Lisu pale mwembe yanga na wakazunguka nchi nzima? Ipi ilianza kati ya list of shame na kuvua gamba?
 
waliosema Lowasa ni fisadi siyo JK ni ndugu zako wazungusha mikono walitwambia wanao Ushahidi . walisema azomewe walisema kuwa naye labda umepungukiwa akili wakasema jizi la Richmond sasa ulitaka tufanyeje tupigie kura jizi jambazi ?
Huwezi kulinganisha JPM na jizi la nyu..bu
 
Kumbe ndio maana walisema mkapimwe akili ww na akili zako bado hujagundua kuwa huyo bwana ni fisadi ?
 
List of shame ya mwemba yanga ndo ilianzisha yote. Sasa swali ni JK ndo aliwatuma akina Mbowe na Lisu pale mwembe yanga na wakazunguka nchi nzima? Ipi ilianza kati ya list of shame na kuvua gamba?
Swali zuri, nadhani list of shame ilianza kabla ya kuvuana gamba. Ile pressure ndo JK akasema “vua gamba”, chadema wakahnganisha “vua gamba, vaa gwanda”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…