Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,814
- 78,499
Napata picha, ila hauko peke yakoNalipia hadi pumzi jombaa
Napata picha, ila hauko peke yakoNalipia hadi pumzi jombaa
Kivipi...Napata picha, ila hauko peke yako
Nimependa zaidi hiyo ya kuongelea kanisani, tupo nyuma yake.Mjumbe wa kamati kuu CHADEMA, Mhe Edward Lowassa akiwa na mbunge wa Bukoba mjini wameudhuria ibada katika kanisa la KKKT. Akiwa kanisani Mhe Lowassa ametoa kauli.
''Mh rais amesema hatatoa chakula. Mimi nimewasiliana na chama changu tumeona tuwape chakula watanzania. Naamini dunia itasikia'', alisema Lowassa.
Kulipia mpaka pumziKivipi...
".....Rais amesema hatoi chakula, mimi nimejadiliana na chama changu tumeona tufanye mpango wa kuwatafutia watanzania chakula.
Hata kama ni cha kuomba nje ya nchi ninaamini dunia itatusikia..", Edward Lowassa, Bukoba Mjini, Kagera15 Januari 2017.
Ofisi zenyewe hawana zaidi ya vioskKwani chadema wana shamba?
Ficha upumbav wako
MsemajiUkweli,Msanii katika fani yake ya usanii
Sound bite politics at its best.
Kama alishindwa kuwapelekea maji watu wa Monduli akiwa mbunge, Waziri na Waziri Mkuu, ataweza kugawa chakula kama itatokea baa la njaa?
Tanzania kuna vituko vya wanasiasa
Hii nchi kuna mtu anaweza kujitokeza na kudai ana uwezo wa kuwapeleka watu mbinguni hata kama Mwenyezi Mungu hataki na kuna watu wajinga wataamini.
Yangu machoAlafu kuna mjinga mmoja anataka watz wamuombee.....nadhani hata familia yake haimuombei
View attachment 460344
View attachment 460346
Yaani mnatawanya uzushi wa picha za southafrica mnasema ndiyo mazao ndani ya TZ?
Jipangeni sana
Hahahah Magufuli ni kama mafuta ya taa.... Naona nyoka wote mmeanza kugaa gaa!!!Kama kuna sehemu yenye njaa namuunga mkono lowasa kupeleka chakula hilo tamko alilolitoa kanisani linaendana na Biblia Yesu alisema nilikuwa na njaa mkanilisha kazi ya chama cha siasa ni kutafuta ufumbuzi wa matatizo halisia ya wananchi. KWA KUTOA UFUMBUZI HALISIA KWA MATATIZO HALISIA ONEKANA KIHALISIA CHADEMA NA LOWASSA HONGERENI Ila MTIMIZE AHADI ZENU TUMIENI HATA RUZUKU KUHUDUMIA WENYE NJAA HALISIA MIMI KAMA MLIPA KODI AMBAYO NI RUZUKU MNAYOPEWA NIKO PAMOJA NA NINYI KWA HILI. TUNATAKA VYAMA VYOTE VITOE UFUMBUZI KWENYE MATATIZO HALISIA. NILIWAPONGEZA HATA ACT WAZALENDO KWA KUSOMESHA BURE BURE WATOTO WOTE KIDATO CHA TANO NA SITA KWENYE HALMASHAURI YAO. HONGERA CHADEMA HONGERA LOWASSA MKIWEZA TAFUTENI HATA PESA ZA KUKOPESHA WANAFUNZI ELIMU YA JUU. MTAUNGWA MKONO NA KILA MTU MIMI NIKIWEMO. TUNATAKA CHAMA CHOCHOTE KITATUE MATATIZO HALISIA YA WANANCHI KEEP UP LOWASSA AND CHADEMA
Kama kuna sehemu yenye njaa namuunga mkono lowasa kupeleka chakula hilo tamko alilolitoa kanisani linaendana na Biblia Yesu alisema nilikuwa na njaa mkanilisha kazi ya chama cha siasa ni kutafuta ufumbuzi wa matatizo halisia ya wananchi. KWA KUTOA UFUMBUZI HALISIA KWA MATATIZO HALISIA ONEKANA KIHALISIA CHADEMA NA LOWASSA HONGERENI Ila MTIMIZE AHADI ZENU TUMIENI HATA RUZUKU KUHUDUMIA WENYE NJAA HALISIA MIMI KAMA MLIPA KODI AMBAYO NI RUZUKU MNAYOPEWA NIKO PAMOJA NA NINYI KWA HILI. TUNATAKA VYAMA VYOTE VITOE UFUMBUZI KWENYE MATATIZO HALISIA. NILIWAPONGEZA HATA ACT WAZALENDO KWA KUSOMESHA BURE BURE WATOTO WOTE KIDATO CHA TANO NA SITA KWENYE HALMASHAURI YAO. HONGERA CHADEMA HONGERA LOWASSA MKIWEZA TAFUTENI HATA PESA ZA KUKOPESHA WANAFUNZI ELIMU YA JUU. MTAUNGWA MKONO NA KILA MTU MIMI NIKIWEMO. TUNATAKA CHAMA CHOCHOTE KITATUE MATATIZO HALISIA YA WANANCHI KEEP UP LOWASSA AND CHADEMA
Mlisema ivyo ivyo kuwa atakufa muda si mrefuHuyu fisadi kamwe hatokaa awe rais wa tz, anapoteza muda tu bora akachunge mifugo yake
Kulipia mpaka pumzi
Wee hapo unamfumba nani, you aimed to nickname Mh. Rais kuwa ni Faru John.. omba radhi mara ya mwisho kabisa, hutaki tunaku [HASHTAG]#Godblesslema[/HASHTAG] sasa hv
Wapumbavu na wajinga ni Watz. Kuambiwa hakuna njaa ukapiga makofi wakati uko na njaa ni ujinga na upumbavu. Na kuambiwa kuna njaa na utafanywa mpango kusaidia kupunguza tatizo ukashangilia pia ni ujinga na upumbavu.Umeona kuna wajinga wa CDM wanampigia makofi tukisema hii nchi ina wapumbavu wengi mnakataa
wanakumbuka shuka kukiwa kumekucha