Lowassa: CHADEMA tutatoa chakula kwa wenye njaa

Lowassa: CHADEMA tutatoa chakula kwa wenye njaa

Lowassa hajasema atatoa chakula ili apewe kura, wala hajasema chakula watapewa chadema peke yao wala sisiem peke yao, suala la njaa halina itikadi! ficha ujinga wako mkuu
Watanzania kwa msosi lazima ccm washtuke. Wakipewa pilau tu wanagawa kura na hapo hawana njaa. Sijui ukimpa mwenye njaa inakuwaje? Hapo umeji guarantee hata ya miaka 10.
 
YEHODAYA ni wewe au macho yangu.!
ChamaDola,hata mimi kwa kweli nimeshangaa kwa maneno aliyoyaandika YEHODAYA,kama ni yeye kweli nampa kongole nyingi sana,na ningependa hata wale wengine wasiwe watu wa propaganda tuu kwani hazisaidii kubadilisha maisha ya watu wengi waliotopea kwenye lindi la umasikini. Tuwe tunatoa njia za kutatua matatizo baada ya kuponda,na pia kutoa kongole pale panapostahili.
Kongole Lowassa,kongole kwa CHADEMA na kongole kwa YEHODAYA kwa maandishi yake.
 
I doubt kama wewe ni CCM.
Ujinga wa Watanzania ndiyo mtaji wa wanasiasa.
Wanasiasa watatumaliza hawa. JPM anakosea sipingi, hivi hiyo hoja ya Chakula ndiyo ya kumnyima JPM kura? Fisadi atatoa chakula cha Ths 2 trilion.,,,then mnampa kura anatuubia zaidi yaTshs 200 trillions akiwa madarakani.
Watanzania hatujui nini tunachokitaka.

Trillioni 200 unazijua kweli wew ?...
 
Serious speaking, watu wa Bukoba nao wanataka chakula cha bure cha msaada? Fertile Land, reliable rainfall, mmesoma nyie plus mna pesa.

Sasa na wa Dodoma wasemaje ambako mvua inanyesha mwezi mmoja tuu kwa mwaka???

Namuunga mkono JPM.
 
Hunijui bado, mm ni CCM damu hadi unywele, nimekulia CCM, kusomeshwa na CCM, kufundwa na CCM.. acha kuleta siasa za mashaka wakati nasema CCM tutapoteza kura nyingi sbb hawa UKAWA + Lowassa wakigawa chakula wananchi lazima watawapa fadhila za kura, kwani huelewi nn hapa.?
Ni wazi kabisa, Mh. JPM ni mwaminifu kuliko Lowassa, hilo liko wazi, ila nakuhakikishia WANANCHI WENYE NJAA WATATOA KURA KWA YULE ALIYE WASAIDIA CHAKULA KIPINDI WANA SHIDA, HILO LA UFISADI hawatajali.. huo ndio ukweli, CCM yafaa tuchangamke tulichonacho tupeleke hata kama ni kidogo..
Mkuu Jay One,kwa hiyo wewe wasiwasi wako ni CCM kukosa kura tuu za wahanga wa njaa hapo 2020!? Kwa nini isiwe kuwa CCM wahakikishe watu wenye njaa wanapatiwa chakula kwa sababu ya ubinadamu/utu,kwa sababu ni chama tawala na hivyo wanawajibika moja kwa moja kuhakikisha maisha ya Mtanzania yanalindwa!?
 
Hapa kuna utata. Etiquette chama kitatoa chakula kwa wtz?, haya bhana.
 
Hapana, mashamba wanayo ccm tu

Ninawasihi viongozi wasimguse wala kujibu kauli za mtu huyu ili watanzania wampime kwa kauli na matendo yake.Msimjibu chochote,msimtende chochote wenye njaa waacheni wape chakula alicho nacho.
 
Mjumbe wa kamati kuu CHADEMA, Mhe Edward Lowassa akiwa na mbunge wa Bukoba mjini wameudhuria ibada katika kanisa la KKKT. Akiwa kanisani Mhe Lowassa ametoa kauli.

''Mh rais amesema hatatoa chakula. Mimi nimewasiliana na chama changu tumeona tuwape chakula watanzania. Naamini dunia itasikia'', alisema Lowassa.
Bora!!!
 
Trillioni 200 unazijua kweli wew ?...
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
ChamaDola,hata mimi kwa kweli nimeshangaa kwa maneno aliyoyaandika YEHODAYA,kama ni yeye kweli nampa kongole nyingi sana,na ningependa hata wale wengine wasiwe watu wa propaganda tuu kwani hazisaidii kubadilisha maisha ya watu wengi waliotopea kwenye lindi la umasikini. Tuwe tunatoa njia za kutatua matatizo baada ya kuponda,na pia kutoa kongole pale panapostahili.
Kongole Lowassa,kongole kwa CHADEMA na kongole kwa YEHODAYA kwa maandishi yake.
 
Serious speaking, watu wa Bukoba nao wanataka chakula cha bure cha msaada? Fertile Land, reliable rainfall, mmesoma nyie plus mna pesa.

Sasa na wa Dodoma wasemaje ambako mvua inanyesha mwezi mmoja tuu kwa mwaka???

Namuunga mkono JPM.
Ndege wafananao.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom