Lowassa avunja record tena, elfu 58 wamdhamini Iringa..

Lowassa avunja record tena, elfu 58 wamdhamini Iringa..

Zile pesa za madereva wa boda boda wa lindi ameshawalipa?
 
Mmeshaambiwa wanatakiwa wadhaminj 450 tu hao wengine karatasi kafungie vitumbua.

Hamuoni aibu kutetea Mwizi au nyie ndo wezi zaidi maana mnamuibia.

Mbona mlisema huyu anahitaji jiki kumsafisha, cha ajabu tena bila hata maji matupu ni msafi pyee mbele ya wananchi? Kweli Mungu hamfichi mnafiki bin Mwandosya a.k.a mtoto wa mbio za mwenge
 
Dont put all the eggs in one basket ni vizuri uwe na option B other wis
e tutawazika wengi kwa Pressure, BP na stroke mwezi ujao..

Kitu cha ARUSHA BP au stroke haipenyi...!!! Lowassa ndie mpango wa Mungu...!!!

Ktk safari zake mkoani, yaani UTITIRI wa watu wanatafuta hata kumwona kwa mbali tu, achia mbali kumpa mkono...!!! Wengine wanalia kwa furaha ya kumwona.... Mungu akikupenda ndio basi tena...!!! Asante Mungu
 
Ni katika Safari ya matumaini...!!!

Tulidhania Singida record yake ya wadhamini elfu 22, isingevunjwa, ila Moshi wakavunja kwa wadhamini 33 elfu, siku moja baadae, rekodi ya Moshi ikavunjwa na Mbeya kwa kupata wadhamini 53 elfu...!!!

Jana Iringa, wameweka rekodi mpya ya kutisha, wadhamini 58 elfu...!!!!

Kama hujui kusoma, picha huoni...!? Kama kipofu, huwezi kusoma pia, SAUTI YA WATU NI SAUTI YA MUNGU, si unasikia CCM ikichanja mbuga na Lowassa...!!! Chagua Lowassa 2015...!!!

Tuhuma zote dhidi yake zimegonga mwamba kwani ni propaganda na uzushi, kwani Vyombo vyote halali vya Dola....👇👇👇👇👇👇

PCCB, COURTS, DPP, POLICE, TUME YA MAADILI YA VIONGOZI YA UMMA na KAMATI YA MAADILI YA CCM.... hajawahi kutuhumiwa achia mbali kushtakiwa ktk maisha yake ya utumishi...!!!

Pia anapendwa na makundi yoooooote....Waalimu na wafanyakazi, wafugaji, wakulima, wavuvi, masheikh, maaskofu, wakristo, waislam, bodaboda, machinga, UVCCM, BAVICHA, UWT, Umoja wa Wanawake CCM, CCM NEC, Wafanyabiashara wakubwa, wasio na dini, Albinos etc etc...!!

So we made our hearts and minds, we go with Lowassa 2015...!!!

Walioiba mali ya umma jiandaeni...!! Mnajua shughuli ya Lowassa...!!!

CCM thru LOWASSA 2015 ndio chaguo sahihi...!!!

Hizo kampeni ni artificial na ndizo zitamnyima urais. Wahusika wameona fedha inavyofanya kazi na ndizo zitammaliza kwa kuwa hana historia ya kukemea ufisadi.
 
Mzee Lowasa elewa kuwa M.Mungu kakuteua uwe mkombozu wa watanzania wenzako, ndio maana wanamatumaini makubwa juuu yako poa wanaimani kubwa juu yako. Endelea kumuomba Na kumtegemea Mungu akisaodie
 
Mzee Lowasa elewa kuwa M.Mungu kakuteua uwe mkombozu wa watanzania wenzako, ndio maana wanamatumaini makubwa juuu yako poa wanaimani kubwa juu yako. Endelea kumuomba Na kumtegemea Mungu akisaodie

👏👏👏👏👏👏👏👏👏...!!
Mungu akupe vyote unavyohitaji mpendwa...ajibu maombi yako...!!! Amen..!!!
 
Nani kashuhudia hizo saini elfu 58? Hapa tunaambiwa kitu ambacho hatuwezi kuthibitisha kama ni kweli.
 
Jàmàni wadhamini wote hao aliwakuta ofisi ya CCM iringa au kama utaratibu wake wa fomu kutangulia Nyumba kwa Nyumba Na sh.10,000/= kisha yeye wanaenda kukabidhiwa? Fomu ya udhamini ina idadi gani ya wadhamini.au fomu zake ni tofauti Na zilizotolewa Na ccm makao makuu? Mzee kaukania uraisi hata kwa dakika 10 afanye mchakamchaka
 
Kuna sehemu watafika hata laki moja maana wanjua kuna nauli au posho. Lakini awe na uhakika kuwa kwenye mchujo haimsaidii hata kidogo.

Kwenye mtihani wenye maswali kumi ukiambiwa jibu matatu nawe ukajibu yote ujue umefeli mtihani wenyewe.
 
Yaani saa hizi Songeaaaaaaa kimenukaaaaaaaa......ni Lowasaaaaa tuuuu...watu waimba Yesuuuu....mkomboziiiii...mara Rais...Rais...Rais...Rais....CCM...CCM....
CCM....oyeeeeeee....Lowasaaa lowasaaa Mpangooo wa Munguu....ccm. ccm... yaani barabara imejaa kutokea Airport kwenda mjini...uwanja wa Majimaji...ni shidaaaaaaaa.... kimenukaaa huku ni CCM... CCM... CCM... aiseeeeeeee haki ya nani...!!! kumekuwa kijaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mamaeeeeeee...!!!""
 
Mzee Lowasa elewa kuwa M.Mungu kakuteua uwe mkombozu wa watanzania wenzako, ndio maana wanamatumaini makubwa juuu yako poa wanaimani kubwa juu yako. Endelea kumuomba Na kumtegemea Mungu akisaodie

Uliongea naye au ni hisia za kuzungumza unadhani hilo jina na wewe ni sawa sawa tu. Mm mwenzetu uko pazuri kama Uliongea nae na unataniana nae kama mahikaji haya.
 
Hili dubwana ni kazi sana kulizuia aiseee
 
Kuna sehemu watafika hata laki moja maana wanjua kuna nauli au posho. Lakini awe na uhakika kuwa kwenye mchujo haimsaidii hata kidogo.

Kwenye mtihani wenye maswali kumi ukiambiwa jibu matatu nawe ukajibu yote ujue umefeli mtihani wenyewe.

Endeleea na mawazo hayo hayo na mgombea wenu mnyakyusa anayepata wadhamini 30
 
Endeleea na mawazo hayo hayo na mgombea wenu mnyakyusa anayepata wadhamini 30

Asanteeee #kigogo .... Mungu akuneemeshe, uwe na baraka na mafaniko makubwaaaa.... hv brightest days ahead...!!👋👋💃💃👑👑🙌🙌🙌
 
UKAWA is UKIWA...loneliness...!!! upo hapo...!! join Safari ya matumaini ASAP...!!! Mafuriko yakukute ktk safina...sbb Mlango ukifungwa hautafunguliwa tena, be on board...!!!

Mlango ufungwe tu,mlango wenyewe umeteng'enezwa na materials ya ufisadi
 
Yaani saa hizi Songeaaaaaaa kimenukaaaaaaaa......ni Lowasaaaaa tuuuu...watu waimba Yesuuuu....mkomboziiiii...mara Rais...Rais...Rais...Rais....CCM...CCM....
CCM....oyeeeeeee....Lowasaaa lowasaaa Mpangooo wa Munguu....ccm. ccm... yaani barabara imejaa kutokea Airport kwenda mjini...uwanja wa Majimaji...ni shidaaaaaaaa.... kimenukaaa huku ni CCM... CCM... CCM... aiseeeeeeee haki ya nani...!!! kumekuwa kijaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mamaeeeeeee...!!!""

Jina la Lowassa limeshakatwa anapoteza muda tu
 
Twende na Lowasa chaguo langu .Japo mm ni CHADEMA ila Rais wangu ni Lowasa.
 
Back
Top Bottom