Jibu ni 0What maths do u know...!!? Joking...!! Intergrate this ¦²( y¨A¦Ø| 3 |) from 0 to 1... just tht simple...!!! nipe jibu ASAP to the nearest decimals...!!!
1: Mwizi..!? leta exhibit, evidences...be straight, kama huna ni vioja tu hivyo, tuna deal na hoja
2: Huna TV kwenu hadi leo, it seems unakataa hata unachokiona, ww sasa almost ur dead...!!!
Kama sio mwizi mbona alijizulu pia na hata Makongoro anamtaja waziwazi kuwa ni mwizi.
Au kamuulize mwakyembe report yake ya bungeni.
Vipi utakuwa umenunuliwa mana unamtetea sana hata ukiabiwa uozo wake haukubali kabisa ujue.
Atakuwa mmasai mwenzako ingawa ni mmeru aliyekataa koo yake.
Pia una maslahi binafsi naye k.v akina karamagi rosta. Na tibaijuka .ndo marfiki zake na wote hao unawajua kuwa wana kashfa
Jibu ni 0
Hahaaaa....u make me laugh...u remind me...!!!In maths, utakuta swali refuuu, esp. in Adv. Maths/Pure Maths, the answer unakuta ni 0 or 1....!!!! But wanasahihisha solutions uliyofikia jibu, ndio tatizo, unakuta jibu lina carry only robo ya marks ya swali zima...!!I appreciated ur approach...!!!❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❗❗❗❗
Foolish question deserves foolish answer
Hahaaaa....u make me laugh...u remind me...!!!In maths, utakuta swali refuuu, esp. in Adv. Maths/Pure Maths, the answer unakuta ni 0 or 1....!!!! But wanasahihisha solutions uliyofikia jibu, ndio tatizo, unakuta jibu lina carry only robo ya marks ya swali zima...!!I appreciated ur approach...!!!❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❗❗❗❗Foolish question deserves foolish answer
U failed imagine, even to the easiest qn...!!! 🐔🐔 head
Hahaaa.... hujui maana ya LEADERSHIP ACCOUNTABILITY WW...!!! It seems sio mfanyakazi wa serikali au huna experience na leadership...!!! Sorry for you...!!! In short, alijiuzulu sbb ya serikali na chama chake cha CCM, alibeba msalaba, kama Yesu wa Nazareth ili atuokoe, so huyo ndio KIONGOZI SHUPAVU...!!!
Kama akiwa Waziri mkuu watu waliiba na akashindwa kuwajua the same applie akiwa Rais wataiba na atashindwa kuwajua.Hatutaki mtu wa kulinda chama tunataka mtu wa kuilinda nchi na wananchi
U failed imagine, even to the easiest qn...!!! 🐔🐔 head
Now you are dancing my tune.Lets go on
Anamjua sana..alikuwa juu yake...hakuweza kumwajibisha...ndio maana wanaogopa akishika dola moto utawaka..!!!
Alikuwa juu yake kivipi? Una ushahidi pasipo shaka kuwa mwizi alikuwa juu yake? Maana hakuwahi sema wala dokeza kuwa mwizi yupo juu yake
... Atuambie Hawa Wa Iringa Wenyewe Kawasafirisha Kutoka Wapi Safari Hii.
Jipe moyo, unacheka kwa woga, tht is coward laugh..!!! eti kuigiza, ww ndio una igiza wenzako wanapiga kazi... nenda ww, ukipata mtu 1 akikudhamini apart from ur vote, nakupa 1 Milion.. kachukue fomu leo..!! I swear ww hata kupata mdhamini mmoja hupati...jaribu ww sasa...!! Ur a joker..!!
Acha kutuhadaaa,umesema mwenye ushahidi usio na mashaka kuwa Lowasa auweke,sasa nawe inakuaje unakuja bila ushahidi unasema aliyeiba alikuwa juu yake au sijui walikuwa wengine.Ni akina nani hao kwa ushahidi upi?Nothing u know, puppet of papparazzi...!!!Go back to ETHICS OF GOOD LEADERSHIP...!!! haturopoki hovyo...!!! hujaelewa nn..!?
Wanaoponda ndo wapiga kura mkuu ndo utambue hilo wana kichinjio mkononiEndeleeni kuponda tu ila Anko Edu ndo anachanja mbuga. Nashangaa wanaume wazima na mapumbu yenu mmekalia majungu na fitina