Lowassa avunja record tena, elfu 58 wamdhamini Iringa..

Next president to you not me or may be in masai

Of course not to you, but to the URT, find ASAP other country citizenship...be quick...!!! Otherwise you will be flooded...!!
 
Anachofanya Lowassa ni kujitisha mwenyewe na chama chake,anajitahidi kujisafisha kwa kila namna lkn ajue urais hapati rais anatoka UKAWA

UKAWA is UKIWA...loneliness...!!! upo hapo...!! join Safari ya matumaini ASAP...!!! Mafuriko yakukute ktk safina...sbb Mlango ukifungwa hautafunguliwa tena, be on board...!!!
 
Jipe moyo, unacheka kwa woga, tht is coward laugh..!!! eti kuigiza, ww ndio una igiza wenzako wanapiga kazi... nenda ww, ukipata mtu 1 akikudhamini apart from ur vote, nakupa 1 Milion.. kachukue fomu leo..!! I swear ww hata kupata mdhamini mmoja hupati...jaribu ww sasa...!! Ur a joker..!!

Mnazungumza pesa tuu ! wewe umepawa milioni ngapi ili uwape watu milioni milioni! ?
 
Hizi ni propaganda tu za kuonyesha mwizi anakubalika.Kwenye mkutano tu watu elfu 58 kutokea ni shughuli iweje wa kumudhamini wafike 58 elfu? Vitu vingine.inabidi kujiuliza.Halafu wenzake walisharudisha fomu ye bado hajamaliza tu?
 
Rafiki wa Rostam,Chenge,Kapuya,Karamagi na Tibaijuka,fanyeni usanii wenu na hiyo sauti ya Mungu wenu inayopenda majizi lakini Mungu wetu anachukia mafisadi.

Serikali iliyochoka kwa wizi,dhulma ambavyo vyombo vyake vya sola vinafanya kazi ya kuilinda CCM,Leo utuambie havijamshitaki jizi zoefu,wezi wa EPA walibembelezwa warudishe hela walizoiba hiyo ni serikali makini?

Endeleeni na usanii wenu ila mwizi hana nafasi ikulu

Ukienda katika mbunga nyingi za wanyama hapa Tanzania utawakuta wanyama aiana ya Nyumbu, wanyama hawa wakati mwingine huitwa zero brain, yaani wanyama wasio na akili. Sababu inayowafanya waitwe hivyo ni uwezo wao wa kutunza kumbukumbu na waoga wao japo ni wapole sana. Wanyama hawa utawakuta kwa makundi mengi nafikiri ndiyo wanyama wengi katika mbuga zetu. Pamoja na wingi wao hauwasaidii kujilinda na maadui.

Katika mbuga ya Serengeti utawaona wakivuka mto Mara kuelekea upande wa pili wa mto, akipita nyumbu moja kati kati ya mto akakamatwa na kuliwa na mamba nyumbu waliobaki husahau na kuendelea kupita hapo hapo na kuliwa wenye bahati huvuka, lakini pia Nyumbu wakiona simba anawanyemelea huwa hawana uwezo wa kujihami, hata simba akiondoka nyumbu husahau mara moja kama Simba alitafuna mwenzao.

Watanzania tuna sifa kama za mnyama nyumbu. Kwa nini ninasema ni sawa na nyumbu; sifa alizonazo nyumbu ndiyo hizo tulizonazo Watanzania. Watanzania ni waoga sana katika Afrika Mashariki, Tanzania ndiyo nchi ambako nyumbu hupatikana kwa wingi kama walivyo Watanzania katika eneo hili.

Watanzania ni wepesi wa kusahau adui, hupenda kupita njia ile apitayo mnyama nyumbu hata kama kuna hatari. Utawaona Watanzania kwa makundi wakivuka mto mara hata kama baadhi wameliwa na mamba au simba. Simba na mamba huwawinda watanzania na kuwala, hulalamika sana kipindi hicho kuwa simba na mamba wamewashambulia na kuwaua lakini baada ya muda husahau kabisa kama simba na mamba aliwahi kuwadhuru na anaweza kurudia mchezo wa kuwatafuna.

Kwa usahaurifu huu wa Watanzania kwa nini tusiitwe zero brain kama wanyama wetu nyumbu ambao hawaoni hatari iliyo mbele yao? Wakati tukielekea katika uchaguzi wa mwaka huu hatuoni hatari zilizo mbele yetu, tumeshahau tulivyojeruhiwa na baadhi ya wagombea.

Nchi yetu ni masikini japo haistahili kuwa masikini, watu wameweka mapesa nje ya nchi, wamepiga dili kubwa mbalimbali wakituacha hoi bin taabani tukibeba zege la misamaha ya kodi za matajiri.

Kwa kipindi cha miaka 10 kashfa nyingi zilikuwa katika wizara nyeti ya nishati na madini, wizara hii ndiyo imekuwa mto Mara, watanzania tumeliwa ndani ya mto huu ukiacha Simba BoT.

Watanzania sasa utawambia nini kuhusu simba hawa wanaotaka kuwa viongozi wetu, kama waliweza kututafuna wakiwa watoto je sasa wakiwa wakubwa itakuwaje, mfano kuna watoto walibeba pesa kwenye viroba kutoka pale benki ya STANBIC lakini mpaka sasa mifumo ya usalama ya nchi imepata kiharusi kuwakamata au kuwatambua.

Kuna walio nunua mitambo mibovu kwa pesa nyingi , sasa wanatundanganya eti tuvuke mto mamba hawali nyama ya nyumbu tena, wanakula majani tu. Kwa kuwa watanzania ni zero brain tunaelekea kuamini kuwa mamba wameacha kula nyama sasa wanakula majani.
 
Mnazungumza pesa tuu ! wewe umepawa milioni ngapi ili uwape watu milioni milioni! ?

Hivi ulishasikia hoja za failures...!!! eg school candidates...

** Mara mwalimu mbaya, hajui kitu...

** Chuo kibaya, hakina walimu..

** Walimu hawanipendi...

** Walimu wala hawana tactics na techiniques za kufundisha...

** Wasahihishaji wamenionea...!!

** Ile paper imetungwa vibaya...

** Paper ilikuwa ngumu sijui wanafikiri sifa ..

** Wengine wameiba paper, mm tu niliamua kufanya kwa akili yangu..

** NITARUDIA, huu mtihani sijaamua kufanya vizuri, ili nirudie tu...

yote(;´&#3766;&#1044;&#3766; `)(;&#969;😉(;&#969;😉&#8746;&#717;&#8746;&#8746;&#717;&#8746;&#9681;&#717;&#9680;((´&#1076;&#65344😉)((´&#1076;&#65344😉)&#8857;&#65103;&#8857;<`&#65374;´>(×_×;&#8857;&#65087;&#8857;&#8254;&#65087;&#8254;&#22247;rz(&#8242;&#12455;`)(#&#65344;-_&#12445;-)<`&#65374;´>&#22247;rz&#8857;&#65103;&#8857;&#8857;&#65103;&#8857;(&#8242;&#12455;`)&#8857;&#65103;&#8857;%>_<%*^&#9601;^*&#8592;_&#8592;&#8594;_&#8594;^_^||^_^||>o<>o<+_+#^_^+_++_+#^_^T_T-_-||-_-!-_-b~T_T~&#8594;_&#8594;#^_^#~>_<~%>_<%%>_<%&#8592;_&#8592;&#8592;_&#8592;(&#8857;o&#8857😉( ^)o(^ )0^&#9671;^0)/&#8857;&#65103;&#8857;&#9583;&#65103;&#9584;&#9583;&#9602;&#9584;&#9583;&#65087;&#9584;&#9583;&#65103;&#9584;(&#8857;o&#8857😉(&#8857;o&#8857😉&#9583;&#65103;&#9584;&#9583;&#9602;&#9584;&#65507;&#65087;&#65507;&#65507;&#65103;&#65507;&#65507;&#969;&#65507;(*^&#65103;^*)(*^&#65103;^*)&#8857;&#65103;&#8857;( ^)o(^ )(*>.<*)<(&#717; &#717;*)>_(._.)_<m(__)m>&#12541;(^&#12290;^)&#12494;&#12575;(&#8807;&#9671;&#8806😉&#12559;~&#65312;^_^&#65312;~(&#12539;&#12408;&#12539😉(&#12539;&#12408;&#12539😉&#65078;&#65087;&#65078;(&#65293;&#65293;&#12294😉&#65315;:&#12290;&#12511;&#65078;&#65087;&#65078;((( &#9679;<XXXXX Or2&#65340;(&#12444;&#12525;&#65340😉(&#65295;&#12525;&#12444😉&#65295;&#65340;(&#12444;&#12525;&#65340😉&#12467;&#12467;&#12495;&#12489;&#12467;?(='.'=)&#65340;(&#12444;&#12525;&#65340😉(&#65295;&#12525;&#12444😉&#65295;&#65340;(&#12444;&#12525;&#65340😉&#12467;&#12467;&#12495;&#12489;&#12467;?&#65340;(&#12444;&#12525;&#65340😉(&#65295;&#12525;&#12444😉&#65295;(='.'=)&#65340;(&#12444;&#12525;&#65340😉&#12467;&#12467;&#12495;&#12489;&#12467;?&#65340;(&#12444;&#12525;&#65340😉&#12467;&#12467;&#12495;&#12489;&#12467;?&#65340;(&#12444;&#12525;&#65340😉&#12467;&#12467;&#12495;&#12489;&#12467;?(=&#966;(..)&#12513;&#12514;&#12513;&#12514;<(&#65507;&#65078;&#65507😉> []~(&#65507;&#9661;&#65507😉~* (&#65507;&#65103;&#65507😉 (&#65507;&#711;&#65507😉<(&#65507;&#65078;&#65507😉> []~(&#65507;&#9661;&#65507😉~* (&#65507;&#65103;&#65507😉 (&#65507;&#711;&#65507😉&#9581;&#65288;&#8242;&#9661;&#8245;&#65289;&#9581;&#65288;&#8242;&#9661;&#8245;&#65289;&#9581;&#65288;&#8242;&#9661;&#8245;&#65289;&#9583; GO!&#9581;&#65288;&#8242;&#9661;&#8245;&#65289;&#9581;&#65288;&#8242;&#9661;&#8245;&#65289;&#9581;&#65288;&#8242;&#9661;&#8245;&#65289;&#9583; GO!(&#12539;&#8704;&#12539😉(&#12288;&#65342;&#8711;&#65342😉&#65288;&#65342;&#65366;&#65342;&#65289;(&#65507;&#8704;&#65507😉(&#9472;&#8255;&#9472😉(&#65344;&#8704;´)(^-^)&#8745;&#729;&#9663;&#729;&#8745;(&#12539;&#8704;&#12539😉

Blaah blaaah....ndio lugha za failures...!!!
 
Ukienda katika mbunga nyingi za wanyama hapa Tanzania utawakuta wanyama aiana ya Nyumbu, wanyama hawa wakati mwingine huitwa zero brain, yaani wanyama wasio na akili. Sababu inayowafanya waitwe hivyo ni uwezo wao wa kutunza kumbukumbu na waoga wao japo ni wapole sana. Wanyama hawa utawakuta kwa makundi mengi nafikiri ndiyo wanyama wengi katika mbuga zetu. Pamoja na wingi wao hauwasaidii kujilinda na maadui.

Katika mbuga ya Serengeti utawaona wakivuka mto Mara kuelekea upande wa pili wa mto, akipita nyumbu moja kati kati ya mto akakamatwa na kuliwa na mamba nyumbu waliobaki husahau na kuendelea kupita hapo hapo na kuliwa wenye bahati huvuka, lakini pia Nyumbu wakiona simba anawanyemelea huwa hawana uwezo wa kujihami, hata simba akiondoka nyumbu husahau mara moja kama Simba alitafuna mwenzao.

Watanzania tuna sifa kama za mnyama nyumbu. Kwa nini ninasema ni sawa na nyumbu; sifa alizonazo nyumbu ndiyo hizo tulizonazo Watanzania. Watanzania ni waoga sana katika Afrika Mashariki, Tanzania ndiyo nchi ambako nyumbu hupatikana kwa wingi kama walivyo Watanzania katika eneo hili.

Watanzania ni wepesi wa kusahau adui, hupenda kupita njia ile apitayo mnyama nyumbu hata kama kuna hatari. Utawaona Watanzania kwa makundi wakivuka mto mara hata kama baadhi wameliwa na mamba au simba. Simba na mamba huwawinda watanzania na kuwala, hulalamika sana kipindi hicho kuwa simba na mamba wamewashambulia na kuwaua lakini baada ya muda husahau kabisa kama simba na mamba aliwahi kuwadhuru na anaweza kurudia mchezo wa kuwatafuna.

Kwa usahaurifu huu wa Watanzania kwa nini tusiitwe zero brain kama wanyama wetu nyumbu ambao hawaoni hatari iliyo mbele yao? Wakati tukielekea katika uchaguzi wa mwaka huu hatuoni hatari zilizo mbele yetu, tumeshahau tulivyojeruhiwa na baadhi ya wagombea.

Nchi yetu ni masikini japo haistahili kuwa masikini, watu wameweka mapesa nje ya nchi, wamepiga dili kubwa mbalimbali wakituacha hoi bin taabani tukibeba zege la misamaha ya kodi za matajiri.

Kwa kipindi cha miaka 10 kashfa nyingi zilikuwa katika wizara nyeti ya nishati na madini, wizara hii ndiyo imekuwa mto Mara, watanzania tumeliwa ndani ya mto huu ukiacha Simba BoT.

Watanzania sasa utawambia nini kuhusu simba hawa wanaotaka kuwa viongozi wetu, kama waliweza kututafuna wakiwa watoto je sasa wakiwa wakubwa itakuwaje, mfano kuna watoto walibeba pesa kwenye viroba kutoka pale benki ya STANBIC lakini mpaka sasa mifumo ya usalama ya nchi imepata kiharusi kuwakamata au kuwatambua.

Kuna walio nunua mitambo mibovu kwa pesa nyingi , sasa wanatundanganya eti tuvuke mto mamba hawali nyama ya nyumbu tena, wanakula majani tu. Kwa kuwa watanzania ni zero brain tunaelekea kuamini kuwa mamba wameacha kula nyama sasa wanakula majani.

All words, so ww ni NYUMBU as well... unajitukana...!!! Unawatukana watanzania kwa mapenzi yao ya dhati kwa Rais ajaye Lowassa...!!!

Uwe na akiba ya maneno, WILDBEAST URSELF.... !!!
 
Hizi ni propaganda tu za kuonyesha mwizi anakubalika.Kwenye mkutano tu watu elfu 58 kutokea ni shughuli iweje wa kumudhamini wafike 58 elfu? Vitu vingine.inabidi kujiuliza.Halafu wenzake walisharudisha fomu ye bado hajamaliza tu?

1: Mwizi..!? leta exhibit, evidences...be straight, kama huna ni vioja tu hivyo, tuna deal na hoja

2: Huna TV kwenu hadi leo, it seems unakataa hata unachokiona, ww sasa almost ur dead...!!!
 
Safari ya matumaini ya kushindwa ndani ya ccm inakaribia kufika ukingoni. Bitter truth that ya all EL's birds have to swallow. Next drama will be at ??
 
Mh!! mimi sishangai hata mimi nilihudhuria moja ya mkutano wake lakini sifikirii kumpa kura yangu hata kama chama kikimpitisha kuwa mgombea uraisi.kila la heri na safari ya matumaini wakati huo wananchi tunahitaji safari yenye uhakika....
 
Keep praying to devils...!!!

We pray to our Heavenly father...!!!

Lowassa kashapita muda, yuko mbali... think ahead plz..!!
 
Mh!! mimi sishangai hata mimi nilihudhuria moja ya mkutano wake lakini sifikirii kumpa kura yangu hata kama chama kikimpitisha kuwa mgombea uraisi.kila la heri na safari ya matumaini wakati huo wananchi tunahitaji safari yenye uhakika....

Safari ya uhakika mfuate Yesu...!!!

Hakuna mwanadamu anakupa safari ya uhakika, ni Mungu pekee...!!! So correct word ni Safari ya matumaini...!!!
 
1: Mwizi..!? leta exhibit, evidences...be straight, kama huna ni vioja tu hivyo, tuna deal na hoja2: Huna TV kwenu hadi leo, it seems unakataa hata unachokiona, ww sasa almost ur dead...!!!
Mimi ndo mpiga kura na tupo wengi,we endelea kutukana mamba kabka hujavuka mto
 
1: Mwizi..!? leta exhibit, evidences...be straight, kama huna ni vioja tu hivyo, tuna deal na hoja2: Huna TV kwenu hadi leo, it seems unakataa hata unachokiona, ww sasa almost ur dead...!!!
kwa mtu anayejua hesabu kanielewa
 
Hizi ni propaganda tu za kuonyesha mwizi anakubalika.Kwenye mkutano tu watu elfu 58 kutokea ni shughuli iweje wa kumudhamini wafike 58 elfu? Vitu vingine.inabidi kujiuliza.Halafu wenzake walisharudisha fomu ye bado hajamaliza tu?

Bado hajafikisha wadhamini 450 mkuu
 
Safari ya uhakika mfuate Yesu...!!!

Hakuna mwanadamu anakupa safari ya uhakika, ni Mungu pekee...!!! So correct word ni Safari ya matumaini...!!!

Umekufa umeoza na usipoangalia vizuri yatakukuta mwenzetu
 
aisee umesahau hata madereva wanamkubali mzee wa mchaka mchaka..
 
Back
Top Bottom