Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

safe_image.php


Mwaka huu ndio mwaka wa kuona mengi. Sasa Lowassa anavaa Pete ya Freemason kama ishara kuwa yeye ni mmoja wao. Hiki kikundi cha Masonic ni cha waabudu Shetani na wanatumia nguvu za giza kupata uongozi.

Hapa chini tunamwona Sir Chande akiwa na Sumaye ambaye na yeye inasemekana kuwa ni mmoja wao.

0060.jpg


Tanzania, kwanini tumchague kiongozi ambaye ni Freemason na aifanye nchi kuwa chini ya imani za Mashetani?

Mchague Mheshimiwa John Magufuli ambaye hana ushirika na hiki kikundi cha kuabudu mashetani "Freemason" na anamtegemea Mungu na ataiweka nchi katika misingi ya isiyo na ushirika na hizi imani za kimashetani.
uongo mtupu
 
Aise, this is wonderful kwamba pete inawafanya watu wampende tu ila haiwashawishi watu wampigie kura, so why wear?
 
mbona na mimi ninayo hiyo pete, so na mimi ni agent???? stop to be a moron.
 
mgombea huyu tuna mashaka naye kwa kutumia pete yenye nguvu za kishetani kushawishi watu kipindi hiki cha kampeni, mtanzania usidanganyike, epuka na vibaraka wa shetani hawa
 
Kwa hiyo watu hawealetwi na malori kama alivyosema dr mihogo na fedha siku hizi hatoi kama magamba mnavyodai bali ss wanaletwa na pete?
 
Shetani ni wewe ndio maana unaona mashetani wenzako. Hivyo vihela mnavyolipwa zimebaki siku kumi tu viishe mtakula huu ujinga wenu baada ya hapo. mnafikiri huku mtaani mtakula kwa kutumia ujinga huu subutuuuuuu:dizzy:
 
alama hy y mwnge imewekwa pia kwny mnara w kbur la aliekuw rais w marekan kennedy, ishar ya kchawi!
 
IJUE SIRI YA PETE ALIYOVAA MGOMBEA HUYU:

Mgombea wa Ukawa amevaa pete ya Freemason lengo la Pete hyo ni ili kuwapumbaza wananchi wampende bila kutaka bali wanajikuta wanampenda tu.

Pete hyo niya nguvu za giza na masharti aliyopewa nikutoa kafara ya damu za watu.
Pete hyo humfanya mtu kuwa maarufu sana hata kama hafai ila mwisho wa siku nguvu ya Pete hyo inapokuja kupungua watu humchukia sana na kutotaka hata kumuona.

Style anayoitumia Lowasa ya kuzunguusha mikono kwenda mbele na nyuma ndio maagizo aliyopewa alikoipewa pete hyo. Ishara hyo yakuzunguusha mikono ndivyo nguvu hzo zinavyowavuruga watu akili na fahamu zao na kujikuta wanampenda tu.
Jambo la kufurahisha Nikwamba wataalamu wa mambo hayo wanasema mtu anaweza kumpenda ila kumpenda huko hakumfanyi mtu ampigie kura yeye. .

CHUKUA HATUA OGOPA KUTOLEWA KAFARA

Mchawi lowasa out!!!!!!
 
mgombea huyu tuna mashaka naye kwa kutumia pete yenye nguvu za kishetani kushawishi watu kipindi hiki cha kampeni, mtanzania usidanganyike, epuka na vibaraka wa shetani hawa

Lowasa atamaliza watu hapa Tanzania
Lowasa out!!!
 
Back
Top Bottom