Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

mmepanic hata hamjui adui yenu nani,tatizo mnadhani adui yenu lowasa,la hasha,adui mnaepambana nae ni nguvu ya mabadiliko,laiti mngeling'amua hilo mapema msingekuwa mnahaha.

Uboya na urofa ninin?
Uboya na urofa n kulinda kura nje wakati kura znaesabiwa ndani

Lowasa out!!!!!!
 
12141810_568434453313413_1101367266442146462_n.jpg
 
Mr.Chin

Tayari kati ya Watanzania 7 au 8 kati ya 10 ni washirikiana.Ama walishakwenda au kupelekwa kwa Mganga wa kienyeji. Hao waliobakia wawili mmoja 1 anashirikia ibada ya mizimu/mahoka ya kwao(kuabudu mizimu). Mfano wachaga wanakwenda kanisani na huku tena wanachinja mbuzi ya kukumbuka mababu zao. Wazaramo au watu wa Pwani ya Bahari ya Hindi wanajenga vijumba vidogovidogo na kuweka vyakula ndani ili mahoka/mizimu wao waweze kula. Hii ni kuabudu mahoka/mizimu yao pia. Kinachofanywa na makundi yote mawili ni ushetani.Ukitaka reference ya utafiti soma utafiti wa CNN juu ya uchawi/ushirikiana kwa nchi ya Africa Mashariki. Sisi Tanzania tuliongoza kwa zaidi ya 94%.

Kwa hiyo tayari viongozi 9 kati ya 10 wanashiriki ushetani/madhabahu za kishetani kwa namna tofauti. Kama halindwi na nguvu za waganga atalindwa na nguvu za mizimu. Kwa hiyo ukisema kwamba kumchagua Lowassa ni kushiriki ushetani wakati tayari tunashiriki ushetani,kwa maana niliyoeleza,unaonekana kuwa umekunywa kikombe cha mvinyo wa ukuwadi wa propaganda za kisiasa kuegama upande wa Mgombea wa CCM.

Hata hivyo, huna uwezo wa kuthibitisha pasi shaka kwamba yule mgombea wa upande mwingine kuwa naye si Freemason.

Namaliza kwa kusema hivi "Therefore the motion you have tabled before this baraza not to elect Lowassa on the pretext that he is a fremason,is hereby resoundly defeated by reason and facts .

Karibu kwenye #HapaFactsTu#
 
Based on your poorly built argument tusijisumbue kwenda kanisani au msikitini au kutubu dhambi maana sisi ni wazinzi, washirikina, wezi, waongo na wavivu. So dini zote hazina maana na hata sheria isiwepo.
Listing numbers doesn't build an argument. You have not made any case just listed numbers and said ufisadi oyee, ushirikina oyee, uzinzi oyee! Unbelievably poor!
 
Sio kila Mtanzania ni muabudu shetani. Your facts are sarcastic.
 
Freemasons ni ccm .... nani hajui, kwani Freemasons inatofautianaje na uchawi kiroho? ccm sio wachawi? watu wanaokula kodi zetu bila kuogopa wanatofautianaje na mchawi anayekula moyo wa binadamu mwenzie?
Thibitisha kwa ushahidi na sio kudhania tu.
 
Based on your poorly built argument tusijisumbue kwenda kanisani au msikitini au kutubu dhambi maana sisi ni wazinzi, washirikina, wezi, waongo na wavivu. So dini zote hazina maana na hata sheria isiwepo.
Listing numbers doesn't build an argument. You have not made any case just listed numbers and said ufisadi oyee, ushirikina oyee, uzinzi oyee! Unbelievably poor!

Kwani argument ilikuwa juu ya kwenda au kutokwenda makanisani au misikitini? Mind your focus on the argument at hand. Sio makosa yangu kujionyesha kuwa unanyonya dole gumba,go right ahead and continue doing it!
 
Mpaka uchaguzi ufike mtahangaika sana!Sisi hatutafuti kiongozi wa dini,hata awe muabudu shetani sawa tu!Ndio maana serikali inasema haina dini,ila waumini wake wana imani tofauti!Hata akija malaika,kama hawezi kuleta maendeleo hatufai!
 
Achilia mbali hiyo pete, yeye mwenyewe tu hatufai... changanya na huo uchawi wake wa mapete ya ajabu ajabu ndo anazidi kujiharibia.

Kwanini anahangaika sana kwajili ya kwenda ikulu? Kaenda hadi kwa TB Joshua kuutafuta urais tu? Bila shaka ana lengo fulani na ikulu yetu, na hakika lengo lake si jema kwetu, tukianzia historia yake ya utendaji tangu akiwa Tanu hadi CCM
 
Usituongelee sisi wengine jisemee mwenye kama si bora kwako. Sisi kwetu ni bora Mara 100 zaidi ya huyo unaemuona ni bora. Kifupi ni kwamba tulishasema na tutaendelea kusema hata mumchafue kiasi kani. Lowasa tutamchagua. Kuna kitu kingine mmesahau kumchafua. Kwanini rangi yake ni nyeupe na si mweusi kama sisi huyu sio mwenzetu. Mchafueni vya kutosha Ila ndie chaguo la Mungu.
 
12096368_121576834865643_4014582528108368531_n.jpg
 
bora dini ya shetani.iongoze wacha mungu.kuliko mchamungu alafu ataumikia wachawi atuongoze
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom