Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

ccm wenyewe wanakubali lowassa ndio maana mnaulizwa lowassa ndio mchafu.pinda.bilali.wachafu januwary msafi.haya ufisadi umeisha huko lumumba
 
tubadilike-sasa
Na umuulize kwa nini John Kasuku alikwenda na Mganga Wa kienyeji pale Nzega?Yule mama aliyebeba mausinga na Matunguli huku akisafisha njia kisha John Mataputapu akafata kwa nyuma alikuwa anafanya nini?Ushirikina hadharani kwenye mkutano wa pale PARKING YA MALORI Nzega.
 
Last edited by a moderator:
Mungu ndiye muweza wa yote, wanamaombi tuzidishe maombi tupate maono ya kweli ya Raisi wa watanzania.Bila uwepo wa Mungu tutaangamia na kuchagua wasio mjua Mungu. Lazima tujifunze kutoka nchi nyingine kama Libya waliofanya uamuzi wa hasira wa kumtoa Gadaf na baadaye wameanza kutaabika na kumkumbuka. Turejee pia nchi ya Kenya waliomkataa Uhuru Kenyatta lakini baada ya miaka mitano wakagundua kuwa walibugi. Kazaneni tena tuongeze juhudi ya kuomba Mungu pekee atuomyeshe Raisi wa kweli na ambaye ni chaguo lake. Chonde kila mtu kwa imani yake aongeze juhudi ya kuomba.
 
Freemason is a mere myth. Na hii ni miongoni mwa ridasi hewa ya mwisho ya maadui.
Niliwahi kuuziwa CD hewa na eahubiri wanaosambaza hii myth ya freemason. Hawa ni wezi waepukwe
 
Mpaka uchaguzi ufike mtahangaika sana!Sisi hatutafuti kiongozi wa dini,hata awe muabudu shetani sawa tu!Ndio maana serikali inasema haina dini,ila waumini wake wana imani tofauti!Hata akija malaika,kama hawezi kuleta maendeleo hatufai!

KURA ZETU NI KWA EDWARD LOWASSA TU hata iweje,
 
[h=3]
safe_image.php
[/h]Mwaka huu ndio mwaka wa kuona mengi. Sasa Lowassa anavaa Pete ya Freemason kama ishara kuwa yeye ni mmoja wao. Hiki kikundi cha Masonic ni cha waabudu Shetani na wanatumia nguvu za giza kupata uongozi.

Hapa chini tunamwona Sir Chande akiwa na Sumaye ambaye na yeye inasemekana kuwa ni mmoja wao.

0060.jpg


Tanzania, kwanini tumchague kiongozi ambaye ni Freemason na aifanye nchi kuwa chini ya imani za Mashetani?

Mchague Mheshimiwa John Magufuli ambaye hana ushirika na hiki kikundi cha kuabudu mashetani "Freemason" na anamtegemea Mungu na ataiweka nchi katika misingi ya isiyo na ushirika na hizi imani za kimashetani.

Ulifikiri kuwa nchi inatawaliwa na wajinga wajinga tu?

Obama ni mason,
Mason ndio hutawala dunia.

Jibu unalo.
 
Dah! Ndio maana watu makin wanapukutika kila kukicha.
Kila jambo lina mwisho wake.
Hakuna awezaye kuishi milele
 
tubadilike-sasa
Na umuulize kwa nini John Kasuku alikwenda na Mganga Wa kienyeji pale Nzega?Yule mama aliyebeba mausinga na Matunguli huku akisafisha njia kisha John Mataputapu akafata kwa nyuma alikuwa anafanya nini?Ushirikina hadharani kwenye mkutano wa pale PARKING YA MALORI Nzega.

Namkumbusha Mr. Chin,kuwa leo Magufuli ametembelea makaburi ya mababu zake kuhani mahoka kama mfalme Sauli alivyo kwenda kuamusha mzimu wa Samweli baada ya Mungu kumwaacha Wafilisti wamtende
 
[h=3]Zaidi ya wanachama 459,980 kutoka vyama vya Upinzani wamepokelewa na kujiunga CCM[/h][h=3]

12115712_451328841735342_9027924494541944449_n.jpg

Mgombea urais wa CCM, Dr John Pombe Magufuli hadi sasa anauhakika wa kushinda kwa asilimia zaidi ya 90.Magufuli katika kampeni zake amesema katika siku chache za uongozi wake atahakikisha kunatokea mabadiliko makubwa ya kiiutendaji katika mihimili yote ya serikali, ule utendaji wa mazoea kwa baadhi ya watumishi wa umma sasa ni basi. Anahitaji kupata matokeo makubwa na yenye manufaa kwa kila mwananchi. Katika mikutano yake mpaka sasa zaidi ya wanachama 459,980 kutoka vyama vya upinzani wamepokelewa na kujiunga CCM.

[/h]

 
Back
Top Bottom