mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 6,593
- 4,886
Raisi wako Kikwete anavaa pete za majini vitabu (uchawi) na Magufuli ana hirizi anayotembea nayo na hata juzi aliandikwa kuwa anatumia ndumba ili awe rais. Hii ni ishara mbaya sana kutafuta urais kishirikina.