Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

hujasoma ktk maandiko...kwamba MUNGU aliwahi kumtumia punda kusema na mwanadamu??

so anything can hapen!! he can use anything to deliver the nation, he can use Freemason worshiper as well to be part of deliverence plan!!.

IJUE SIRI YA PETE ALIYOVAA MGOMBEA HUYU:

Mgombea wa Ukawa amevaa pete ya Freemason lengo la Pete hyo ni ili kuwapumbaza wananchi wampende bila kutaka bali wanajikuta wanampenda tu.

Pete hyo niya nguvu za giza na masharti aliyopewa nikutoa kafara ya damu za watu.
Pete hyo humfanya mtu kuwa maarufu sana hata kama hafai ila mwisho wa siku nguvu ya Pete hyo inapokuja kupungua watu humchukia sana na kutotaka hata kumuona.

Style anayoitumia Lowasa ya kuzunguusha mikono kwenda mbele na nyuma ndio maagizo aliyopewa alikoipewa pete hyo. Ishara hyo yakuzunguusha mikono ndivyo nguvu hzo zinavyowavuruga watu akili na fahamu zao na kujikuta wanampenda tu.
Jambo la kufurahisha Nikwamba wataalamu wa mambo hayo wanasema mtu anaweza kumpenda ila kumpenda huko hakumfanyi mtu ampigie kura yeye. .

CHUKUA HATUA OGOPA KUTOLEWA KAFARA
 
Usitake kudanganya watu wewe! Wewe ni Muongo mkubwa na mnafki! Kawadanganye CCM wenzio huko! Na kura hatuwapi ng'oo CCM haitakiwi kama ukoma! Piga ua CCM haiwezi kurudi madarakani tena.
 
IJUE SIRI YA PETE ALIYOVAA MGOMBEA HUYU:

Mgombea wa Ukawa amevaa pete ya Freemason lengo la Pete hyo ni ili kuwapumbaza wananchi wampende bila kutaka bali wanajikuta wanampenda tu.

Pete hyo niya nguvu za giza na masharti aliyopewa nikutoa kafara ya damu za watu.
Pete hyo humfanya mtu kuwa maarufu sana hata kama hafai ila mwisho wa siku nguvu ya Pete hyo inapokuja kupungua watu humchukia sana na kutotaka hata kumuona.

Style anayoitumia Lowasa ya kuzunguusha mikono kwenda mbele na nyuma ndio maagizo aliyopewa alikoipewa pete hyo. Ishara hyo yakuzunguusha mikono ndivyo nguvu hzo zinavyowavuruga watu akili na fahamu zao na kujikuta wanampenda tu.
Jambo la kufurahisha Nikwamba wataalamu wa mambo hayo wanasema mtu anaweza kumpenda ila kumpenda huko hakumfanyi mtu ampigie kura yeye. .

CHUKUA HATUA OGOPA KUTOLEWA KAFARA

Usitake kudanganya watu wewe! Wewe ni Muongo mkubwa na mnafki! Kawadanganye CCM wenzio huko! Na kura hatuwapi ng'oo CCM haitakiwi kama ukoma! Hata ulie, hata udanganye watu vipi CCM haiwezi kurudi madarakani tena.
 
IJUE SIRI YA PETE ALIYOVAA MGOMBEA HUYU:

Mgombea wa Ukawa amevaa pete ya Freemason lengo la Pete hyo ni ili kuwapumbaza wananchi wampende bila kutaka bali wanajikuta wanampenda tu.

Pete hyo niya nguvu za giza na masharti aliyopewa nikutoa kafara ya damu za watu.
Pete hyo humfanya mtu kuwa maarufu sana hata kama hafai ila mwisho wa siku nguvu ya Pete hyo inapokuja kupungua watu humchukia sana na kutotaka hata kumuona.

Style anayoitumia Lowasa ya kuzunguusha mikono kwenda mbele na nyuma ndio maagizo aliyopewa alikoipewa pete hyo. Ishara hyo yakuzunguusha mikono ndivyo nguvu hzo zinavyowavuruga watu akili na fahamu zao na kujikuta wanampenda tu.
Jambo la kufurahisha Nikwamba wataalamu wa mambo hayo wanasema mtu anaweza kumpenda ila kumpenda huko hakumfanyi mtu ampigie kura yeye. .

CHUKUA HATUA OGOPA KUTOLEWA KAFARA

achana na kuwa freemason na kutoa kafara,hata angekuwa ndo shetani mwenyewe kura yangu iko pale pale,kwa lowasa na ukawa.bora nimpigie shetani kura kuliko chama chenu hicho.bora kafara ya lowasa kuliko kuipigia kura ccm
 
Kama weye umezaliwa mshirikina, ukalelewa kishirikina, ukaishi kishirikina; mtu wa maagano na shirika; sisi hatuna jinsi ya kukusaidia;
Mshirika utahangaika sana na Lowassa na kamwe HAUTASHINDA N'go!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mbona hata na mimi ninayo hiyo pete?acheni uchoko mwaka huu hadi muda huu bado siku 8 hali ni tete balaa,jamaa yuko ngangari hajawahi anguka jukwaani na mziki anacheza vile vile mtaisoma number tu
 
[h=3]
safe_image.php
[/h]Mwaka huu ndio mwaka wa kuona mengi. Sasa Lowassa anavaa Pete ya Freemason kama ishara kuwa yeye ni mmoja wao. Hiki kikundi cha Masonic ni cha waabudu Shetani na wanatumia nguvu za giza kupata uongozi.

Hapa chini tunamwona Sir Chande akiwa na Sumaye ambaye na yeye inasemekana kuwa ni mmoja wao.

0060.jpg

Tanzania, kwanini tumchague kiongozi ambaye ni Freemason na aifanye nchi kuwa chini ya imani za Mashetani?

Mchague Mheshimiwa John Magufuli ambaye hana ushirika na hiki kikundi cha kuabudu mashetani "Freemason" na anamtegemea Mungu na ataiweka nchi katika misingi ya isiyo na ushirika na hizi imani za kimashetani.

UKIPIITA MITAANI WATU WALIOVAA MAPETE HAWAHESABIKI NI WENGI MNO HATA RAIS WAKO ANAYO!
TUONDOLEE UPUUZI WAKO HAPA
stupidity issue!
 
Back
Top Bottom