lowasa ni gamba ilikuwa avuliwe na kina nape akatumia pesa yake kuhonga..............hapo juzi tu kaambiwa na makongoro kuwa yeye ni kibaka ndani ya ccm bado naona HAJIELEWIELEWI HUYU JAMAA
makongoro kafungwa nira na mkono halafu anawadanganya watu atapambana na rushwa, ipi hiyo?