Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

Jana, EL kazomewa na baadhi ya wananchi wa Mwanza waliofika kwenye viunga vya Gandhi Hall kwa kusema fisadi ilikuwa kabla ya kuingia ukumbini, baadhi ya waliosema ni Mr.Bahame Katibu wa vijana wa CCM tawi la Luchelele wakiwemo na vijana wengine wengi tu!

Pia, vijana wahuni wamepigana uwanja wa ndege Mwanza walipokuwa wakimsubiria, chanzo walipewa hela wakadhulumiana. Hela waligawana France Corner Bar mitaa ya Uhuru zoezi likifanywa na M/Kiti wa Mtaa huo.
 
EL kazomewa na baadhi ya wananchi wa Mwanza waliofika kwenye viunga vya Gandhi Hall kwa kusema fisadi ilikuwa kabla ya kuingia ukumbini, baadhi ya waliosema ni Mr.Bahame Katibu wa vijana wa ccm tawi la Luchelele wakiwemo na vijana wengine wengi tu!

Pia, vijana wahuni wamepigana uwanja wa ndege Mwanza walipokuwa wakimsubiria, chanzo walipewa hela wakadhulumiana. Hela waligawana France Corner Bar mitaa ya Uhuru zoezi likifanywa na M/Kiti wa mtaa huo.


Sasa hivi ni saa kumi na moja na dakika hamsini na kitu..... Huyu prezidaa wa matumaini katukanwa kwenye kikao kipi? Usiniambie kaanza kufanya vikao vya alfajiri.

Vinginevyo huu ni umbea kama wa kwenye saluni za kinamama.
 
Sasa hivi ni saa kumi na moja na dakika hamsini na kitu..... Huyu prezidaa wa matumaini katukanwa kwenye kikao kipi? Usiniambie kaanza kufanya vikao vya alfajiri.

Vinginevyo huu ni umbea kama wa kwenye saluni za kinamama.

Jamani mwenzio kaamka Na saa1 MB8 zinapotea unategemea nn
 
Huyu Lyong'o ni muongo hafai. Lowassa ni muhakikishieni tu kuwa ngome yake kuu ipo Mwanza. Na haiwezi kutokea Lowassa akazomewa kijingajinga kama alivyo mleta mada.

Watoto wengine wakiume utadhani watoto wa kike!

Naona huelewi kinachoendelea utakuja jutia statement yako siku mwenye ngome ya Mwanza atakapojitokeza!
 
HAMY-D wewe mbeya sana. Hawa ni watanzania kama ulivyo wewe, unachotaka kujenga hapa ni dhana ya ubaguzi!. Kwenye mambo mengine tu ache pumba na uswahili katika kufikiria mambo. Huoni hao wote ni miamba wanajua kujitafutia riziki.

Huoni hao ni miamba na majembe ya kweli wakuigwa. Ulitaka waoneshe tabia ya kufunga shuka kiunoni huku wakidai wake zao chakula ambacho hawajakisotea?

Tuoche kufikiria isivyo? Nakama huyu Lowassa humumuogopi? Then', kwa nini hawawatoki vinywani mweni na mawazoni? Katika haya yote muyafanyao unafiki na wivu wenu wa uke mwenza unadhirika.
 
nilikuwepo wakati anazomewa ila nashukuru ujio wake umefanya nijaziwe bodaboda yangu lita tano za mafuta ila kura kwa UKAWA
You are right.

Tekeleza kwa vitendo ile slogan isemayo:

KULA na KUSAZA kwa magamba, lakini KURA yako kwa tumaini la uhakika kwa waTz wanyonge, ambalo ni UKAWA.
 
ndani ya ccm hakuna wa kushindana na lowasa kamwe amefanikiwa kuwaweka mfukoni wajumbe wengi wa NEC na mkutano mkuu.
 
Alafu wanajidai wapiganaji wa uhuru wa vyombo vya habari sijui upi bila ya kuwa na uhuru wa habari

Lakini mbona ITV wameonesha watangaza nia wote kasoro Makongoro? Ila taarifa ya habari walimuonesha lakini pia tuwe wa kweli ITV wapo kibiashara hiyo sio TBC.
 
Sasa hivi ni saa kumi na moja na dakika hamsini na kitu..... Huyu prezidaa wa matumaini katukanwa kwenye kikao kipi? Usiniambie kaanza kufanya vikao vya alfajiri.

Vinginevyo huu ni umbea kama wa kwenye saluni za kinamama.

Unakimbilia wapi? soma vizuri, mleta mada amesema "jana" na siyo alfajiri hii kama inavyo dai
 
Ukweli juu ya lowasa utatuweka HURU!
Ukizingatia historia yake kiuongozi, elimu yake na matokeo ya madarasani, hoja zake, sauti yake, upangaji wa mada, maana za hotuba anazotoa, na hasa ukiangalia hotuba yake siku ya kutangaza nia utaona kuwa ana upeo mdogo sana na hana uelewa wa kutosha wa mambo. Ana chuki sana, mdomo sura na matendo yake viko mbalimbali, ana hasira sana, ni mtu wa kukurupuka sana bila kufanya utafiti, ni jeuri na ana kisasi sana. Utafiti umeonesha kuwa IQ ya lowasa ni below 30%. Uwezo wake ni kuongoza ng'ombe wala sio watu.
ANAAMINI PESA NI KILA KITU KWAMBA INAWEZA KUWANUNUA WATZ NA AKAWA RAIS WAO.
Nahisi lowasa hata bange anavuta.
Jambazi sugu na fisadi papa na mgonjwa lowasa kamwe hawezi kuwa rais.....
 
Back
Top Bottom