Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

Ni kweli, ametukomboa kutoka utajiri kwenda umaskini, maana hayo mabilioni aliyokwishamwaga kwa ajili ya uraisi tu, angelipia wale wajomba zako ada uliotlekeza kijijini hata cm huwapigii kisa upo jf na lowassa! Lakini unaumwa ugonjwa mbayaaa sana! Kuna magonjwa lakini huu wa kusahau ni mbaya sana kwa taifa! Vidonda vya Rchmonduli havijaisha wewe tayari unamuona ni chaguo la Mungu! Huyo Muuuuuungu ni kiboko!!!
 
Hayoooo mambo ya cv ya lugha, haya hiki kingereza chako ndo anachkutumaga kut-ongo-zea au? Au na wewe alishakuingiza mkenge? Basa kwa taarifa fupi tu, " haupo peke yako"! Na zaidi sana Joseeeephina mke wa mtu aliyeibwa na dr yupo ndani ya mujumba!!
 
Dogo achana na mambo ya kurahisisha mambo kwa kujidai unajua kingereza, waingereza wenyewe wanamaindi nchi yao na utaifa wao! Ungekijua si ungemuandikia speech ya kizungu basi kama hata kusoma angeweza zaidi ya "safari ya matumaini"! Tumesikia " kuishi kwa matumaini" , na inapotokea mtu anaishi kwa matumaini huwa mwisho ni kifo, sasa hii safari ya matumaini............?!?!?!?!!??!?!?!
 
So what? na wewe na timu yako tangulizeni watu kama mnaweza. Stupid argument.
Dogo achana na mambo ya kurahisisha mambo kwa kujidai unajua kingereza, waingereza wenyewe wanamaindi nchi yao na utaifa wao! Ungekijua si ungemuandikia speech ya kizungu basi kama hata kusoma angeweza zaidi ya "safari ya matumaini"! Tumesikia " kuishi kwa matumaini" , na inapotokea mtu anaishi kwa matumaini huwa mwisho ni kifo, sasa hii safari ya matumaini............?!?!?!?!! ??!?!?!
 
Mkuu mwisho wa upambe naona umefika, angali FB za kina Ally Salum Hapi na wapambe wengine wameshaona time bad. Nafikiri chukua hatua sasa before it is too late. Watanzania wenzangu please please say No to third term of 4th Regime. No to uncle. No to ukabila (mmeona wenyewe leo kule Mtama) no to project ya Jumba kuu AKA Membe
 
Wadau kwanini Lowasa hakwenda Mwanza kuomba watu wa kumdhamini lakini kazunguka mikoa karibu yote ya kanda ya ziwa?
 
UKo gizani mtoa mada lowasa ndio alianzia mwanza then Zanzibar
 
Wadau kwanini Lowasa hakwenda Mwanza kuomba watu wa kumdhamini lakini kazunguka mikoa karibu yote ya kanda ya ziwa?

Mkuu ulikuwa kwenye manguree nini? Mbona Mwanza keshapita. Au kiwewe tu.
 
Back
Top Bottom