Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

Leo nimeamini Lowasa anaumwa sana.Nilikuwepo Ghandi Hall Mwanza lowasa anaembea anayumbayumba,jicho moja limefumba kabisa na mdomo hawezi kuufumbua hata kutabasamu hawezi.Ccm tusifanye kosa huyu mtu hawezi kufanya kampeni anaumwa sana.
kelele za chura hizo
 
hivi hii mijitu ya kanda ya ziwa haina kazi? kila mikutano ya maana na isiyoyamaana yamejaa tu. yakitoka hapo yanaenda kutafuta viungo vya albino. haya majamaa ya ajabu kweli. ndo maana wanasiasa yameyafanya kama matabara ya kudekia.

pumbavu na akili zako kama abunuasi
 
ukweli kaka kwani unabishi nn....na zaidi nilikuwa na kada hapa mwaloni anasema kashikana naye mkono jamaa anaumwa kweli na ndo maana ana kauli mbiu ya safari ya matumaini hana uhakika kabisa
 
Lowasa Lowasa kila muda Lowasa jamani mpumzisheni huyu mzee...Huo ni uongo uliokithiri mimi pia nilikuwepo mkutanoni hajaongea huo utumbo wako..
 
Mtu anae mtetea lowasa ni mrundi aende kwa Nkurunzinza hana uzalendo.
 
Usidhani kuchaghuliwa ni makele na kushibisha mitumbo, weka hata kimwanga kidogo huyo mtu hafai.
 
duh, mbona wote hawa wapigaji, wezi na mafisadi hii nchi itakuwa salama kweli.

maccm yote majambazi Dr slaa atayanyonga au kuyapiga risasi adharani au ataamuru maccm yote yatumbukizwe kwenye asidi ya mecury
 
Hii ni upuuzi tiba si team lowassa katumwa kuzuia mafuriko kwa mikono
 
Rais wa 2015-2020 ni JP Magufuli. Huyu ni mtu pekee anayekubalika CCM pamoja na kwenye majimbo ya upinzani...Nje ya hapo rais atatoka UKAWA...
Lowassa jaribu tena 2020
 
Back
Top Bottom