Haha..halfu cha kuchekesha ni kwamba si kwamba tuu lowasa km ana matatizo ya akili au mlevi vile ila ni km POMBE KALI "KIROBA" kwa magamba.Bunge limeisha kwani? Halafu mwisho wa mwezi tutamlipa mshahara wakati hajaufanyia kazi.
Bunge limeisha kwani? Halafu mwisho wa mwezi tutamlipa mshahara wakati hajaufanyia kazi.
Bunge limeisha kwani? Halafu mwisho wa mwezi tutamlipa mshahara wakati hajaufanyia kazi.
Team joka la mdmu mtaweweseka sana mwaka huuMkuu mpk,hao si kama wale wa Sheikh Amri Abeid Arusha? Nina wasiwasi kuwa walitangulia au kutangulizwa