huyo membe ndo nn mambo yote lowasa
ripoti ya CAG bilioni 262 kwenye wizara ya ujenzi hazijukani zimeenda wapi ?Magufuli atuambie kwanza hizo pesa ziko wapi?Rais wa 2015-2020 ni JP Magufuli. Huyu ni mtu pekee anayekubalika CCM pamoja na kwenye majimbo ya upinzani...Nje ya hapo rais atatoka UKAWA...
Lowassa jaribu tena 2020
Rais wa 2015-2020 ni JP Magufuli. Huyu ni mtu pekee anayekubalika CCM pamoja na kwenye majimbo ya upinzani...Nje ya hapo rais atatoka UKAWA...
Lowassa jaribu tena 2020
Mkuu ni bilioni 262Magufuli anakubalika CCM ipi? Huyo kilaza huyo ndio apewe nchi!?! Na safari hii hata unaibu waziri hapati maana amekichafua sana chama chetu kwa ufisadi wa Bilioni 252.