Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

Baba kaza buti,sisi vijana wako watiifu tuko nyuma yako,kokote utakapoenda tuko na wewe hadi kieleweke,go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa x 1,000,000,000,000,000,000,000,000,000
 
Watanzania wenzangu huyo mamvi akipita nendeleeni kuweka gape kati ya maskini na matajiri. 'Fikirieni kwa idea kanunuliwa' sasa usidhani wewe maskini utakuwa na chako hapo.vipesa laki unajiuza. Chagua anae jua uzalendo na umaskini.
 
So what? na wewe na timu yako tangulizeni watu kama mnaweza. Stupid argument.

Arusha wageni walilazwa impala na kibo palce, wavicoster walilala kwenye coster zao! huko mwanza mwalaza hotel gani?
 
leo ni zamu ya watu wa mwanza kumwagiwa mapesa.

mtu akiweza kuingia humu jamvini na kuchangia inatransilate kwamba ni mtu mzima,lakini ukienda zaidi na kukuta post kama hizi,unajiuliza mara mbili,je huyu mtu yuko sawa lakini?then ukiendelea zaidi utagundua aah,kumbe ni mamluki!!! Alafu utacheka kidogo ahahahahahahaha,then unafunga hiyo post na kusain out chap
 
gaweni mapesa hapo mwanza watu wafanye biashara ya samaki.
 
WANAFIKI WATAZUNGUMZA KILA NENO ALIMRADI KUJARIBU KUZUIA MAFURIKO LAKINI WATASHINDWA/

***LOWASSA MPANGO WA ALLAH***i
 
mpk

Leo nimeamini Lowasa anaumwa sana.Nilikuwepo Ghandi Hall Mwanza lowasa anaembea anayumbayumba,jicho moja limefumba kabisa na mdomo hawezi kuufumbua hata kutabasamu hawezi.Ccm tusifanye kosa huyu mtu hawezi kufanya kampeni anaumwa sana.
 
Last edited by a moderator:
Arusha wageni walilazwa impala na kibo palce, wavicoster walilala kwenye coster zao! huko mwanza mwalaza hotel gani?

Hotel ya jamaa wa Mtama
 
arusha alivaa kijani shati, dodoma jana njano na leo mwanza nyeupe wewe unaona ni yule yule? The man is marketable and prominent

lowasa anaumwa sana hata jicho moja halioni kabisa,kupungia watu mkono anashindwa Kweli Mungu akiamua hakuna wa kumzia.Nilikuwepo nimejionea mwenyewe Lowasa anaumwa Wapambe wake mwambie apumzike asije akafia njiani
 
WANAFIKI WATAZUNGUMZA KILA NENO ALIMRADI KUJARIBU KUZUIA MAFURIKO LAKINI WATASHINDWA/

***LOWASSA MPANGO WA ALLAH***i

Mwambieni Allah amponyeshe magonjwa yake,leo nimeshuudia mwenyewe the man is so sick.Kutembea kwenyewe anayumba yumba.Masikini Lowasa tambo zote za pesa umeshindwa kujitibia.Kweli malipo hapa hapa duniani ulituibia ukajua umetukomoa but Almighty God is watching you thief
 
hivi hii mijitu ya kanda ya ziwa haina kazi? kila mikutano ya maana na isiyoyamaana yamejaa tu. yakitoka hapo yanaenda kutafuta viungo vya albino. haya majamaa ya ajabu kweli. ndo maana wanasiasa yameyafanya kama matabara ya kudekia.
 
Mwambieni Allah amponyeshe magonjwa yake,leo nimeshuudia mwenyewe the man is so sick.Kutembea kwenyewe anayumba yumba.Masikini Lowasa tambo zote za pesa umeshindwa kujitibia.Kweli malipo hapa hapa duniani ulituibia ukajua umetukomoa but Almighty God is watching you thief
Tuwache chuki na wivu /
 
Baba kaza buti,sisi vijana wako watiifu tuko nyuma yako,kokote utakapoenda tuko na wewe hadi kieleweke,go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa x 1,000,000,000,000,000,000,000,000,000
Unao ujasiri huo? Au parapanda tu.
 
Watu mnasema anaumwa. Hivi mgonjwa awe kila siku anatembea?
 
nilikuwa maeneo ya france corner bar mitaa ya uhuru watu wanagawana hela kwenda mkumpokea wakiongozwa na m/kiti wa mtaa huo
 
Back
Top Bottom