Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

Akili ya mjinga huwaza ujinga.jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.

Mwenye akili hutafuta maarifa, asilolijua husikiliza, mjinga hana halijualo na atabaki hajui chochote siku zote.

Kwa taarifa yako, Mengi yupo rasmi kwenye timu ya Lowassa, na ugomvi wake na Rostam waliishamalizana, sasa wote hao ni damudamu.
 
ripoti ya CAG bilioni 262 kwenye wizara ya ujenzi hazijukani zimeenda wapi ?Magufuli atuambie kwanza hizo pesa ziko wapi?

Ni kweli Magufuli naye licha ya kujizolea sifa nying kwa watu mbalimbali kuwa anajituma, ni mtendaji imara, ni mkali pindi mambo yanapoenda ndivyo sivyo lakin ana skendo mbalimbali za wizi km hii iliyotajwa ambazo kwa bahati mbaya au nzuri huwa hazipati kuanikwa wazi kwenye vyombo vya habari.

Si hivo tu bali nackia hta upana wa barabara huwa anachakachua. Kuna upana wa inches kadhaa huwa anapiga kushoto. Wataalam wa mahesabu wanadai hata km atapunguza upana wa barabara ya lami kwa upana wa ganda la kiberiti bas ni millions nyng sana anakuwa kaziiba ukipigia urefu wa barabara nzima ambayo yaweza kuwa ina urefu wa kilometer kadhaa
 
Toka lini ukampeleka mwizi aliyeongozana na wezi kama Chenge, Rostam na Karamagi eti wakakae na hazina ya nchi?utakuwa chizi sio bure

😕hivi hilo kundi unalolitaja si ndilo lililohakikisha mkulu anaupata urais?
 
Ni kweli Magufuli naye licha ya kujizolea sifa nying kwa watu mbalimbali kuwa anajituma, ni mtendaji imara, ni mkali pindi mambo yanapoenda ndivyo sivyo lakin ana skendo mbalimbali za wizi km hii iliyotajwa ambazo kwa bahati mbaya au nzuri huwa hazipati kuanikwa wazi kwenye vyombo vya habari.

Si hivo tu bali nackia hta upana wa barabara huwa anachakachua. Kuna upana wa inches kadhaa huwa anapiga kushoto. Wataalam wa mahesabu wanadai hata km atapunguza upana wa barabara ya lami kwa upana wa ganda la kiberiti bas ni millions nyng sana anakuwa kaziiba ukipigia urefu wa barabara nzima ambayo yaweza kuwa ina urefu wa kilometer kadhaa
Hu wizi magazeti yote yaliandika hizi bilioni 262 sijui magufuli amezipeleka wapi?
 
lowasa ni gamba ilikuwa avuliwe na kina nape akatumia pesa yake kuhonga..............hapo juzi tu kaambiwa na makongoro kuwa yeye ni kibaka ndani ya ccm bado naona HAJIELEWIELEWI HUYU JAMAA

Acha upuuzi
 
HAMY-D ni mzushi sana na ulikuwa Team_Lowassa kiunafiki tu ili watu wakuamini then uwe unaleta uharo,unajua masharti waliyotoa ccm kuhusu sifa za wazamini? Wengi uliowataja hawana sifa ya kuwa wadhamini coz wana nyadhfa katika serikali yenu.
 
Last edited by a moderator:
Lowasa anakutisha sana eehhh..Jiandae kujinyonga October akiingia Ikulu
 
hivi si alisema kuwa wasiomtaka ndani ya ccm wao waondoke je amepokelewa na wakina nani au alipiga simu na kuwambia waccm wasiomtaka waondoke?
 
Rais wa 2015-2020 ni JP Magufuli. Huyu ni mtu pekee anayekubalika CCM pamoja na kwenye majimbo ya upinzani...Nje ya hapo rais atatoka UKAWA...
Lowassa jaribu tena 2020

Sio wewe ,sio mimi watanzania maelfu kwa mamilioni mijini ,vijijini wanaunga mkono hoja yako, kwanini jamaa hana kambi humu lkn watu makini wanamuona ktk jicho la pekee kuwa ni mtu bora zaidi ya wengine.ccm wakijichanganya kushinei.
 
hivi LOWASA anavyotembea kama kinyonga,tukimpa urais ataweza kwenda nchi za nje kuhutubia mikutano ya kimataifa anavyoongea maneno yanakatikatika na wakitembea pamoja na marais wengine si watamuacha nyuma au kumshika mkono, aibu gani hii ccm wanatuletea watanzania chama kinajiita kikongwe?
 
Hu wizi magazeti yote yaliandika hizi bilioni 262 sijui magufuli amezipeleka wapi?

walioiba wote wameundiwa tume ,na bodi au kupelekwa kwenye tume za maadili nakuchunguzwa mbona hajapelekwa,unafiki wa kambi zenu chafu hadi mnakuwa watumwa wa watu wachafu wasio na cv hata robo ya utumishi ktk nchi hii damu ya yesu itamfunika MGUFULI CHAGUO LA WENGI.
 
magufuli anakubalika ccm ipi? Huyo kilaza huyo ndio apewe nchi!?! Na safari hii hata unaibu waziri hapati maana amekichafua sana chama chetu kwa ufisadi wa bilioni 252.

kambi fulani tunaijua,wapo waliudiwa tume dunia nzima ikajua kuwa wao ni wachafu, je huu ambaey hata kikamati kidogo cha uchunguzi hakuna? Kalipwe posho yako ila mwisho wa siku ccm itakuja na mtu ambaye watanzania wote pasipo manongono watamuunga mkono,
 
Back
Top Bottom