Lowassa asababisha timua timua ITV

Lowassa asababisha timua timua ITV

Vipi na kuhusu zile video za TBC zinazodaiwa zilizovuja zikimwonesha Lowassa akimkunja saba mama yako umeshazipata?
 
Hali ni tete ndani ya kituo cha ITV kufuatia kuvuja kwa video zinazomuonyesha mgombea wa Chadema Edward Lowassa akiwa kwenye hali ya udhoofu.

Mtoa taarifa ambaye ni mtangazaji wa ITV anasema, mmiliki wa kituo hicho Reginald Mengi baada ya kulalamikiwa na Lowassa juu ya video hizo ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, alitaka wote waliohusika kwenye utayarishaji wake wawajibike.

Anasema uandaaji wa matangazo hayo ya Lowassa ambayo yameanza kurushwa na ITV, yalichukua muda mrefu kuyaandaa ambapo Lowassa kutokana na hali yake ilimlazimu kurudia kila mara na wakati mwingine alionekana kushindwa kuongea na kukohoa sana.

Video hizo ambazo alishindwa kuongea ndo zimesambazwa na kumkera Lowassa na kukosa imani na ITV kituo ambacho inaelezwa alianza kukilalamikia kwa kupunguza habari za mikutano yake.

Mtoa taarifa anasema tayari baadhi ya watendaji wamesimamishwa kazi kwa kitendo cha kusambaza video zinazomdhalilisha Lowassa na kuonyesha udhaifu wake ambao Chadema wanajitahidi kuuficha.

kwa hiyo mawazo yako nini ndg yangu kwa nini waandae muda mrefu.acha siasa chafu za Lumumba
 
Mi mwenyewe nimejiuliza sana nani aliyemchukua ile video sikupata majibu...vijana tunaelekea pabaya kila kitu tunarusha kwenye mitandao
 
ccm bila lawassa amuwezi ishi.maana kashika nafsi zenu.
 
Hali ni tete ndani ya kituo cha ITV kufuatia kuvuja kwa video zinazomuonyesha mgombea wa Chadema Edward Lowassa akiwa kwenye hali ya udhoofu.

Mtoa taarifa ambaye ni mtangazaji wa ITV anasema, mmiliki wa kituo hicho Reginald Mengi baada ya kulalamikiwa na Lowassa juu ya video hizo ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, alitaka wote waliohusika kwenye utayarishaji wake wawajibike.

Anasema uandaaji wa matangazo hayo ya Lowassa ambayo yameanza kurushwa na ITV, yalichukua muda mrefu kuyaandaa ambapo Lowassa kutokana na hali yake ilimlazimu kurudia kila mara na wakati mwingine alionekana kushindwa kuongea na kukohoa sana.

Video hizo ambazo alishindwa kuongea ndo zimesambazwa na kumkera Lowassa na kukosa imani na ITV kituo ambacho inaelezwa alianza kukilalamikia kwa kupunguza habari za mikutano yake.

Mtoa taarifa anasema tayari baadhi ya watendaji wamesimamishwa kazi kwa kitendo cha kusambaza video zinazomdhalilisha Lowassa na kuonyesha udhaifu wake ambao Chadema wanajitahidi kuuficha.

Ulitaka tufanyaje labda
 
Ni kweli si vizuri kufanya utani na maradhi ya mtu maana si ujinga wake kupata hayo maradhi na wala mtu si ujanja wake kuwa na afya. Lakini linapokuja suala kama hili la urais, lazima watu tulitizama suala la afya yake maana anataka kuwa kiongozi wetu hivyo lazima tuhoji je,ataweza kuongoza kwa hali aliyokuwa nayo? Laiti Lowasa asingejishughlisha na suala hili hakuna ambaye angekuwa anazungumzia afya yake leo,lakini kwa kuwa anataka awe kingozi mkuu wa nchi hivyo suala la afya yake si la kwake yeye na familia yake tu.

Hivyo si sahihi kutisha watu kuhoji afya yake maana anataka kuwa kiongozi mkuu.
 
Hali ni tete ndani ya kituo cha ITV kufuatia kuvuja kwa video zinazomuonyesha mgombea wa Chadema Edward Lowassa akiwa kwenye hali ya udhoofu.

Mtoa taarifa ambaye ni mtangazaji wa ITV anasema, mmiliki wa kituo hicho Reginald Mengi baada ya kulalamikiwa na Lowassa juu ya video hizo ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, alitaka wote waliohusika kwenye utayarishaji wake wawajibike.

Anasema uandaaji wa matangazo hayo ya Lowassa ambayo yameanza kurushwa na ITV, yalichukua muda mrefu kuyaandaa ambapo Lowassa kutokana na hali yake ilimlazimu kurudia kila mara na wakati mwingine alionekana kushindwa kuongea na kukohoa sana.

Video hizo ambazo alishindwa kuongea ndo zimesambazwa na kumkera Lowassa na kukosa imani na ITV kituo ambacho inaelezwa alianza kukilalamikia kwa kupunguza habari za mikutano yake.

Mtoa taarifa anasema tayari baadhi ya watendaji wamesimamishwa kazi kwa kitendo cha kusambaza video zinazomdhalilisha Lowassa na kuonyesha udhaifu wake ambao Chadema wanajitahidi kuuficha.
 
Cyber inakuhusu. Mwenzako aisha idd alishushuka huvi hivi na uongo wake. Yani lowassa aweze kuzunguka majukwaani tanzania nzima yasionekane hayo unayosema ndio yaje kuonekana kwenye kipande cha video cha dakika 3
 
Back
Top Bottom