Lowassa asababisha timua timua ITV


Wewe gamba mwaka huu lazima urudi kijijini kwenu mmengere kuchoma mkaa maana posho za lumumba zinakatika baada ya ccm kufurumushwa kutoka ikulu
 
Ngoja niwawekee aina uongo Magamba

wanaoutengeneza na kuusambaza Facebook instargram na mitandao mbalimbali na ukweli wake

Magamba wanadhani bila Lowassa ndo watashinda
Thubutuuuu hata asingekuwepo Mwaka huu mtakoma

Kweli kabisa mwaka huu hata lingesimamishwa jiwe tungelichagua kuliko ccm
 
Mtoa uzi huu tubu kwa Mungu ,hujafa hujaumbika ,

Unasema mwenzako mgonjwa,watu wanatangulia wanamwacha wanayemwita mgonjwa

Nakwambia tubu maana Mungu anajibu kwa moto.

Kumbuka sala ya sheikh pale Jangwani UKAWA walipozindua kampeni!

Magamba hayakumbuki na matokeo yake leo tunayaona
 
Ugonjwa wake ni wa kusahau hata jina lake siku hizi halikumbuki, utamsikia naomba kura zenu tu. Rais ndio symbol ya nchi, hatutakiwi kuwa na shaka shaka nae,usalama wa nchi yote uko kichwani kwake. Hatutaki tumchague lowasa aongoze Sumaye.

Hata ange kuwa ni bubu tumeshaamua kumchagua hivyo hivyo na nyinyi maccm mwaka huu laxima muende kulima
 
Pushup dk 5 hotuba lisaa na nusu non stop and without sitting or pee!!

Lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa lowasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…