Lowassa asababisha timua timua ITV

Lowassa asababisha timua timua ITV

Only time will tell.na kwa yeye aliye juu Muumba wa mbingu na nchi kweli yote itathibitika kwa neno lake muda na wakati utakapowadia.Atukuzwe Mungu aliye juu na mtoa afya kwa viumbe wake mimi ni nani hata kumnyooshea kidole kiumbe mwenzangu kwa afya yeke.eeh Mungu usinipe ulimi wa kuwasema watu kuhusu afya zao maana ni wewe unayejua kesho ya mtu.Amina
 
Kuwa na akiba ya maneno kwani njia ya mwongo ni fupi sana.
 
Yani ahangaike kuongea kwenye vyombo vya habari, halafu kwenye mikutano aweze mbona uongo unawasumbua.
 
Hua naangalia taarifa ya habari kila siku, umeme ukikatika still nawasha generator; sina kumbukumbu ya kumwona Lowassa ameoneshwa akikohoa jukwaani; Unaweza kutupatia jina/majina ya hao waliosimamishwa na ITV!? Nadhani mwanzilishi wa hu uzi atakua anachukizwa na ITV ambavyo haipendelei mgombea yoyote kinyume na mlivyotaka, wao wamekomaa na ukweli wa kinachoendelea field tu na sio propaganda.
 
Kwa kweli huyu lowassa hatufai, utajir wake unasababisha wafanyakazi wa ipp waishi kwa shida kwa sababu ya uswahiba wake na na mengi.
 
Wa Tanzania Tumeamua hata kama LOWASA atakuwa hoi kitandani ataapishwa hapo hapo kwa hiyo wewe mleta newz kawaambie wenzako hivi watanzania wemeisha choka na ccm na propaganda zenu zote mwaka huu ccc kifi cha MENDE CHAALIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wa Tanzania Tumeamua hata kama LOWASA atakuwa hoi kitandani ataapishwa hapo hapo kwa hiyo wewe mleta newz kawaambie wenzako hivi watanzania wemeisha choka na ccm na propaganda zenu zote mwaka huu ccc kifi cha MENDE CHAALIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

mbona unalialia loohasa Raisi wa monduli
 
Ugonjwa wake ni wa kusahau hata jina lake siku hizi halikumbuki, utamsikia naomba kura zenu tu. Rais ndio symbol ya nchi, hatutakiwi kuwa na shaka shaka nae,usalama wa nchi yote uko kichwani kwake. Hatutaki tumchague lowasa aongoze Sumaye.

Hao wenye afya njema wametufanyia nini kama nchi zaidi ya kutuuzia dhahabu na Almasi na tanzanite yetu kwa kudanganywa kwa kipande cha chupa.mzee Nyerere aliwaita mazuzu
 
Huyu mzee simpendi,lakini huwa sioni kama ni jambo la busara kumsimanga afya yake,suala la kuwa mgonjwa halijalish wewe ni tajiri au maskini.tumponde kwa mengine lakini mambo ya afya yake tumuachie yeye na mungu wake.

kweli mkuu mambo ya afya ya mtu anayejua ni mungu tu pekee
 
Mtoa Uzi Huu, Unajua Fika WATANZANIA HAWAKUBALI JAMBO, Ambalo Haliambatani Na Evidence!! Aidha Picha Au Majina Ya WAHUSIKA!! Sio Porojo, Weka Picture Au Hizo Clips Ama MAJINA Ya Waliotimuliwa Kazi!! Tuone!!
 
Kwani siku hizi anatumia dakika ngapi kuhutubia?
Hata kanisani na misikitini hawasomi vitabu vitakatifu kurasa zoote ndio uelewe, michache tuu lakini jumbe nzito zinawafikia watu then watawanyike wakaendelee na majukumu yao! maneno maneno meeeeengiiiii hata MUNGU kakataza maana mwishowake ni uongo mtupu ndani ya miaka 50!
 
Kama huna hoja usitukane, tatizo hwa jamaaa ni viroba ndiyo tatizo
 
Back
Top Bottom