Mi mpaka najishangaa sisi watanzania ni watu wa aina gani? Kwa maana mtu Mwizi,JambaZi, Jangiri Mafisadi Papa kama hawa wanaotuibia na kudhulumu wazi wazi eti Wanakuja kuomba Dhamana yetu tuwakabidhi inchi yaani tuhalalishe ujambazi wao?
Kweli Jamani yaani sisi ni wapole na wajinga kiasi hicho? Ninaa amini ndani ya kikosi cha Majambazi wapo pia mashushushu, basi tuwape mashushushu ili tuwe salama.
Nchi Za wenye msimamo hawa watu walitakiwa wawe tayari wamepelekwa kwenye mamlaka za milele siku nyingi saana.