Mtz.mzalendo
JF-Expert Member
- Jul 22, 2012
- 357
- 49
Nilikuwa sijaelewa kumbe anapanda chati ndani ya ccm?
Mi ni mmasai wa simanjiro mkuu............ najua ninachosema
kuna kuvaa vazi la kimasai kwa heshima na kuvaa vazi la kimasai kusiko kwa heshima..... Ninajua ninachosema; ukiamua kubisha endelea... ndio maana nimeweka kauli kali ili tujitazame upya kwa kusifia ujinga; hivi wajua ndugu zetu kule zanzibar wanachofanywa?? je wajua pia yanayoendelea kati ya meserani na mto wa mbu na wazungu wachache wanaotumia naivety ya vijana wetu??
TUENDELEE NA HOJA YA UBORA NA STRENGTEHNING YA EL KWENYE DURU ZA SIASA JAMII YANGU NIACHIE NAJUA NATAFUTA NINI HAPO
Mkuu usitoe shutuma kwa watu kwa kuhisi weka ushahidi zaidi ya hapo utakuwa unajenga kiwanda cha uongo.
RITZ is taking a side!!!!umhaidiwa nini mkuu?Ukuu wa Mkoa nn?Wanabodi,
Wakati mchakato wa Uchaguzi ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM unaendelea kuanzia ngazi ya shina hadi taifa. Mbunge wa Monduli Edward Lowassa anaonekana kupanda chati kwa kasi ya ajabu na kuonekana ana nafasi kubwa katika mbio za urais 2015.
Uchambuzi wa kisiasa unaonesha karibu kila kona ya nchi hii, katika watanzania 10 utakaowahoji kuhusu ni nani hasa anayefaa kumrithi Rais wa sasa Kikwete, saba kati yao wanamtaja Lowassa wakidai ni "Jembe" linalopigania haki na maendeleo ya kila Mtanzania.
Makundi makubwa yanayotajwa katika mnyukanakano huo ni pamoja na kundi la Lowassa, Samwel Sitta, na Bernad Membe. Kila mmoja anapambana kufa na kupona kuhakikisha kwamba wanaingiza watu wao muhimu katika vikao vya (NEC) na ndani ya Jumuiya za chama hicho, UVCCM, UWT, na Wazazi, katika makundi yote hayo Lowassa anaonekana kuwa ni mtu makini ana nafasi kubwa ya kupenya na kupererusha bendera ya chama hicho.
Kusimama kwa Lowassa kama mgombea Urais ni pigo kubwa kwa vyama vya siasa hasa Chadema, CUF na NCCR Mageuzi. Kutokana na rekodi ya Lowassa, ni mtu wa kufuatilia kila jambo analoamini katika dhamira yake kwamba linafaa kwa ajili ya maendeleo ya wananchi ni mwenye hulka ya kusaidia na kuchangia shughuli za kijamii bila kujali itikadi za kisiasa wala dini, tofauti na viongozi wengine wa kisiasa amekuwa mtu tegemeo katika shughuli za kijamii iwe za kanisani au msikitini.
Ukitaka kumjua Lowassa ni kiongozi wa namna gani, tembelea jimboni kwake Monduli ukaone namna alivyowezesha makundi ya vijana na wazee kiuchumi.
Ngome ya Chadema ipo Kaskazini na sehemu alizopata kura Dr Slaa zinafahamika ni sehemu chache sana, sehemu kubwa ya Kaskazini Lowassa akisimama anapita, Chadema watapata sehemu za Arusha Mjini na baadhi ya maeneo ya Karatu na Arumeru.
Kinacho mbeba Lowassa ni mtu mwenye hulka ya kusaidia na kuchangia shughuli za kijamii bila kujali itikadi za kisiasa wala dini amekuwa mtu tegemeo katika shughuli za kijamii iwe Msikitini au Kanisani hata hawa makamanda nadhani wanamjua vizuri "jembe" Lowass, Mkandara, hippocratessocrates, Remmy, POMPO, MNYISANZU, Ndallo, Preta, Chasha, Mzito Kabwela, Mungi, Molemo, OSOKONI, Crashwise.
Mkuu, naona umeamua kuwa kampeni Menaja wa Edo, nasikia Kinana amekuachia mikoba, hongera sana kamanda.Kinacho mbeba Lowassa ni mtu mwenye hulka ya kusaidia na kuchangia shughuli za kijamii bila kujali itikadi za kisiasa wala dini amekuwa mtu tegemeo katika shughuli za kijamii iwe Msikitini au Kanisani hata hawa makamanda nadhani wanamjua vizuri "jembe" Lowass, Mkandara, hippocratessocrates, Remmy, POMPO, MNYISANZU, Ndallo, Preta, Chasha, Mzito Kabwela, Mungi, Molemo, OSOKONI, Crashwise.
Wanabodi,