NATA
JF-Expert Member
- May 10, 2007
- 4,492
- 1,314
Huyu ndio atakuwa Rais wako, upende usipende. Akishapitishwa na CCM basi anzeni kumwita muheshimiwa Rais, msisubiri uchaguzi.
Nitapiga campaign nyumba kwa nyumba hadi kieleweke.
Huyu ndio atakuwa Rais wako, upende usipende. Akishapitishwa na CCM basi anzeni kumwita muheshimiwa Rais, msisubiri uchaguzi.
Mkuu hivi una viwanda vingapi vya uongo!
Misemo ya JK inakusuuza hasa Ritz! bado hujaanza kukoti ule wa "Ukitaka kula shurti uliwe" watu wa vijiweni utawajua tuu. Hata hivyo Lowasa kusimamishwa na CCM kugombea hilo halina shida kwa CCM ila shida iko kwa Watanzania wazalendo wanaoipenda nchi yao. Mkuu sasa hivi uelewa umepanda sana na hii yote imeletwa na M4CMkuu hivi una viwanda vingapi vya uongo!
hayo ya kusaidia jamii kwa pesa aliyoiba kwa kutumia madaraka yake au kukwepa kodi ni sawa ila kwa urais hatufai, tutafutieni mtu mwingine! ikulu kuna nn? mbona ana uchu na ikulu kiasi hicho??ile tu kutajwa kwenye kashafa kama richmond inatosha kumdisqualify!!
Usipende kuokota maneno mtaani na kuyaleta JF weka ushahidi wa hizo pesa unazosema Lowassa kaiba kupitia madaraka yake, kama ukiamua kutumia uzushi wa mitaani itabidi ukubali kuwa Dr Slaa, alitafuna pesa za ziara ya Papa.
Ritz upeo wako ndio umekomea hapo?? umeleta thread ya Lowassa na mbio za urais tumeanza kuichambua na facts wewe unakimbilia kwa Dr. Slaa! where is the connection?Anzisha thread nyingine kuwa Slaa alikula pesa za ukaribisho wa papa mwenye heri John Paul 11 tukushushie data kuhusu ukaribisho wa papa ulivokuwa na uhusika wa Slaa usiongee tu kama mlevi be consistent na mada yako!Usipende kuokota maneno mtaani na kuyaleta JF weka ushahidi wa hizo pesa unazosema Lowassa kaiba kupitia madaraka yake, kama ukiamua kutumia uzushi wa mitaani itabidi ukubali kuwa Dr Slaa, alitafuna pesa za ziara ya Papa.
Misemo ya JK inakusuuza hasa Ritz! bado hujaanza kukoti ule wa "Ukitaka kula shurti uliwe" watu wa vijiweni utawajua tuu. Hata hivyo Lowasa kusimamishwa na CCM kugombea hilo halina shida kwa CCM ila shida iko kwa Watanzania wazalendo wanaoipenda nchi yao. Mkuu sasa hivi uelewa umepanda sana na hii yote imeletwa na M4C
Shida ya ccm mpinga rushwa na ufisadi alikuwa mwalimu Nyerere peke yake!Hilo siyo siri!Alikuwa amezungukwa na wanafiki tu na mafisi.Ona alipofariki,ikawa kama fungulia mbwa!Nchi ikauzwa left right!Mkapa akajimilikisha hadi mgodi,kumbuka Mwinyi alipokuwa akiwaalika mafisadi na wafanyabiashara ikulu?Nani mwingine aliyesema zaidi ya mwalimu?Akisema ikulu imegeuka kuwa "pango la wanyang'anyi?Nani mwingine angesema kama asingekuwepo?Usipende kuokota maneno mtaani na kuyaleta JF weka ushahidi wa hizo pesa unazosema Lowassa kaiba kupitia madaraka yake, kama ukiamua kutumia uzushi wa mitaani itabidi ukubali kuwa Dr Slaa, alitafuna pesa za ziara ya Papa.
Mkuu sie watu wa vijiweni ndio wapiga kura...wewe endelea kutudharau tutakutana kwenye sanduku la kura mwaka 2015.
Aliingiza serikali kwenye mkataba feki wa Richmond ndio maana alilazimishwa kujiuzulu na akajiuzulu kweli unataka ushahidi gani tena Ritz??kamati ya ubunge iliyoongozwa na Mwakyembe ilionyesha hadi vimemo alivoandika kwa mkono kushinikiza mkataba usainiwe!! nina doccument za wizi alipokuwa AICC ila kwa maadili ya kazi siwezi kuzitoa kwa sasa ila akiteuliwa mgombea wa Magamba nitalazimika kuzianika!!
Zamani nilidhani una mapenzi ya dhati kwa nchi yako na wananchi wake, na hivyo hoja zako nyingi nilizichukulia kama mtihani kwetu, lakini sasa naanza kukusoma vizuri na kukuelewa..Unaleta stori za Dr Slaa kuwa una nyaraka za siri za AICC, mkuu ndio maana nakuambia usipende kuokota maneno mitaani nani aliyemlazimisha Lowassa kujiuzulu?
Alichofanya Lowassa kulazimika kujiuzulu kutokana na kile ambacho yeye mwenyewe alikiita ni kwa manufaa ya chama chake na serikali yake, baada ya Kamati Teule ya Bunge kumhusisha katika sakata la kutoa zabuni kwa kampuni ya Richmond.
Hata hivyo baadhi ya waheshimiwa wabunge waliwahi kukaririwa wakisema kuwa Lowossa hakuwa ametendewa haki katika sakata la Richmond.
Unaleta stori za Dr Slaa kuwa una nyaraka za siri za AICC, mkuu ndio maana nakuambia usipende kuokota maneno mitaani nani aliyemlazimisha Lowassa kujiuzulu?
Alichofanya Lowassa kulazimika kujiuzulu kutokana na kile ambacho yeye mwenyewe alikiita ni kwa manufaa ya chama chake na serikali yake, baada ya Kamati Teule ya Bunge kumhusisha katika sakata la kutoa zabuni kwa kampuni ya Richmond.
Hata hivyo baadhi ya waheshimiwa wabunge waliwahi kukaririwa wakisema kuwa Lowossa hakuwa ametendewa haki katika sakata la Richmond.
Zamani nilidhani una mapenzi ya dhati kwa nchi yako na wananchi wake, na hivyo hoja zako nyingi nilizichukulia kama mtihani kwetu, lakini sasa naanza kukusoma vizuri na kukuelewa..
Hawawezi kuwa watu makini maana watu makini wana msimamo na hutazama maslahi ya Taifa kwanza. Wewe na wenzako woote mnaosimamia maslahi yenu na ya chama chenu ndio mnajipa mhitani wenyewe. I know where I stand na sintobadilishwa na mtu wala chama isipokuwa wao watatufuata wananchi kutuelewa..
Na wewe ni mtu wa kijiweni? Kijiwe gani nije kusikiliza hadithi nikipata gahawa....au ndio ule msululu nilibahatika kukuona siku ile pale mahala bia inapouzwa sh 5000 wakati uswazi kwetu book mbili? Ashuakumu si matusi lakini!