Lowassa apanda chati kuelekea uchaguzi mkuu 2015

Bahati nzuri hata Pro-Chadema hawana cha kusema dhidi ya Lowassa, nakumbuka Lowassa alivyowambia kwa macho makavu watawala wa Misri kwamba wananchi wetu hawewezi kukabiliwa na kero ya kukosa maji wakati tuna ziwa kubwa linalotiririsha maji, Rais Mkapa aliingiwa na hofu akiamini kwamba huo mradi utaleta vita baina yetu na Misri, lakini Lowassa alisema liwalo liwe lazima watanzania wapate maji, Mirsi wakafytata mkia, na hatimaye saizi Shinyanga, Mwanza hawana tena tatizo la maji dogo hilo.
Hata kama ni mchapa kazi vipi Urais Dr Slaa@Ritz, kajipangeni kuwa chama cha upinzani 2015.
 
Lowassa ni rafiki yangu kwene fesbuk, uwa 2na-chat samtaim, lakn asahau kupata kura yangu.
 
Mkuu, umenena hata Pasco na Ritz kutwa wanachat nae lakini hiyo kura sidhani kama watampatia hiyo kura, najua na Edo analijua hilo, watu wake wa karibu ndio wanafiki wa kutupwa. Refer JK kipindi yeye ni PM
 
Last edited by a moderator:
Kinacho mbeba Lowassa ni mtu mwenye hulka ya kusaidia na kuchangia shughuli za kijamii bila kujali itikadi za kisiasa wala dini amekuwa mtu tegemeo katika shughuli za kijamii iwe Msikitini au Kanisani hata hawa makamanda nadhani wanamjua vizuri "jembe" Lowass, Mkandara, hippocratessocrates, Remmy, POMPO, MNYISANZU, Ndallo, Preta, Chasha, Mzito Kabwela, Mungi, Molemo, OSOKONI, Crashwise.
hayo ya kusaidia jamii kwa pesa aliyoiba kwa kutumia madaraka yake au kukwepa kodi ni sawa ila kwa urais hatufai, tutafutieni mtu mwingine! ikulu kuna nn? mbona ana uchu na ikulu kiasi hicho??ile tu kutajwa kwenye kashafa kama richmond inatosha kumdisqualify!!
 
Mkuu, umenena hata Pasco na Ritz kutwa wanachat nae lakini hiyo kura sidhani kama watampatia hiyo kura, najua na Edo analijua hilo, watu wake wa karibu ndio wanafiki wa kutupwa. Refer JK kipindi yeye ni PM
Ritz hawez kumpa Mgala. Kura yake ni kwa Prof. wa dunia wa Uchumi anayeishughulikia sarafu ya Euro kwa sasa
 
Mkuu, naona umeamua kuwa kampeni Menaja wa Edo, nasikia Kinana amekuachia mikoba, hongera sana kamanda.
ila kufikia saa4 siku ya uchaguzi tutakuwa tunasherekea kuingia magogoni!
Edo hawezi kupigiwa kampeni na Ritz. Akikubali hilo atakuwa amejiumiza vibaya
 
Nilingelipata fursa ya kuwaibia watu halafu katika hela hizo nikawekeza kwenye Misikiti na Makanisani kama Lowassa ningefurahi mno, kuliko kuwaibia watu halafu hela hizo usijue ziko wapi!
 
Bora ya Fisadi ambaye amewekeza mali zake hapa Tanzania na tunaziona kuliko mafisadi ambao wametuibia na hatujui hizo mali zao ziko wapi! Naunga mkono uzi wako RITZ!

Ili Lowasa asimamishwe na CCM basi chama cha kijani kitabomoka, maana mwenye nguvu ya kumuweka hapo, ameshaapa kuhakikisha hakai!! Kisa...!!! naogopa kisasi. Na najua moto wa masai utakuwa mkali hatokubali kamwe!!! Kwa mafahari hawa kutunisha misuli, chama kinagawanyika mara mbili, kura zake na mbinu za ushindi zinagawanyika, mtashangaa!!!

Viongozi wa dunia wako New York!!! Nimeshangaa kutokumuona Jk huku!!! ameacha safari I think this is the first or second time, you know why!! To serve his a**!!!
 
hayo ya kusaidia jamii kwa pesa aliyoiba kwa kutumia madaraka yake au kukwepa kodi ni sawa ila kwa urais hatufai, tutafutieni mtu mwingine! ikulu kuna nn? mbona ana uchu na ikulu kiasi hicho??ile tu kutajwa kwenye kashafa kama richmond inatosha kumdisqualify!!

Mkuu hivi una viwanda vingapi vya uongo!
 
Last edited by a moderator:
Anapigania haki ya watanzania au ya kwake? Inaonekana na mwandishi wa uzi huu naye amewezeshwa na El. Huyo aliyekataliwa na baba wa taifa asigombee! Njaa zenu zitawamaliza. Kabla ya kuachia ngazi katika uwaziri mkuu wake alikuwa anakwenda kuliingiza taifa katika janga la mvua za kemikali kwa kuhadiwa percent na watu wa Malasia.Nafikiri kwenye katiba tunayotengeneza iangaliwe mtu alisoma masomo ambayo yanaweza kuleta tija. Huyo El alisoma paukwa na pakawa mimi hawezi kuwa rais wangu.
 
hayo ya kusaidia jamii kwa pesa aliyoiba kwa kutumia madaraka yake au kukwepa kodi ni sawa ila kwa urais hatufai, tutafutieni mtu mwingine! ikulu kuna nn? mbona ana uchu na ikulu kiasi hicho??ile tu kutajwa kwenye kashafa kama richmond inatosha kumdisqualify!!

Mkuu hivi una viwanda vingapi vya uongo!
 
Nilingelipata fursa ya kuwaibia watu halafu katika hela hizo nikawekeza kwenye Misikiti na Makanisani kama Lowassa ningefurahi mno, kuliko kuwaibia watu halafu hela hizo usijue ziko wapi!

Wizi ni wizi tu, haijalalishi ni wapi utazipeleka baada ya kuiba!
 
Kafieni mbali huko na EL wenu, mtampamba sana apambiki.
Atawaeleza nini wanachi kama tuhuma zote zilizoelekezwa kwake hajaweza kukanusha hata moja?
Hilo ni zigo kwa taifa aende akachunge ng`ombe monduli amezeeka.
 
Ili Lowasa asimamishwe na CCM basi chama cha kijani kitabomoka, maana mwenye nguvu ya kumuweka hapo, ameshaapa kuhakikisha hakai!! Kisa...!!! naogopa kisasi. Na najua moto wa masai utakuwa mkali hatokubali kamwe!!! Kwa mafahari hawa kutunisha misuli, chama kinagawanyika mara mbili, kura zake na mbinu za ushindi zinagawanyika, mtashangaa!!!

Viongozi wa dunia wako New York!!! Nimeshangaa kutokumuona Jk huku!!! ameacha safari I think this is the first or second time, you know why!! To serve his a**!!!
Akisafiri mnalalamika asiposafiri mnalalamika, wanafiki mna kazi.
 
Kafieni mbali huko na EL wenu, mtampamba sana apambiki.
Atawaeleza nini wanachi kama tuhuma zote zilizoelekezwa kwake hajaweza kukanusha hata moja?
Hilo ni zigo kwa taifa aende akachunge ng`ombe monduli amezeeka.
Huyu ndio atakuwa Rais wako, upende usipende. Akishapitishwa na CCM basi anzeni kumwita muheshimiwa Rais, msisubiri uchaguzi.
 
hayo ya kusaidia jamii kwa pesa aliyoiba kwa kutumia madaraka yake au kukwepa kodi ni sawa ila kwa urais hatufai, tutafutieni mtu mwingine! ikulu kuna nn? mbona ana uchu na ikulu kiasi hicho??ile tu kutajwa kwenye kashafa kama richmond inatosha kumdisqualify!!
Hela kamuibia nani? kashfa mbona ni jambo la kawaida kwa wanasiasa, mbona Mbowe anayo kashfa ya kuuzia chama magari chakavu, Slaa ana kashfa ya kulamba hela ya papa. Zitto kashfa ya rushwa.
 
Ritz hawez kumpa Mgala. Kura yake ni kwa Prof. wa dunia wa Uchumi anayeishughulikia sarafu ya Euro kwa sasa

Mzito Kabwela,

Tuungane pamoja tumpe Lowassa nchi atakapo tangaza kugombea urais, jamaa ni mtu makini sana pamoja na mtaji alionao wa rekodi yake ya utendaji na uchapa kazi bado anaitaji ushirikiano wenu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom