Lowassa apanda chati kuelekea uchaguzi mkuu 2015

Lowassa apanda chati kuelekea uchaguzi mkuu 2015

hippocratessocrates, Mkuu wangu suala la makundi ndio demokrasia yenyewe mfano tumeona Marekani makundi ndani ya Republican, Democrat, na Tanzania upande wa Chadema kuna makundi ya Dr Slaa, Zitto Kabwe, John Shibuda, Freeman Mbowe.

Aina haja ya kwenda Monduli angalia rekodi yake ya utendaji na alivyokuwa karibu na shughuli za kijami bila kujali itikadi za kisiasa wala dini.

Lowassa, anatoka Kaskazini ambapo ni ngome kuu ya Chadema, kuna uwezekano mkubwa kama Lowassa atapenya kuperurusha bendera ya chama chake mwaka 2015 basi ataisambalitisha vibaya Kaskazini na kuwaacha Chadema hawana la kufanya.
 
Last edited by a moderator:
mnatokwa mapovu bure..2015 si inakaribia basi subirini ...
 
Kwa kifupi Lowasssa simpendi kwa sababu za ufisadi hasa Richmond. Kwa chokochoko za Wamalawi na hali ilivyotete katika mazungumzo yanayoendelea ni vyema Tanzania ikasitisha mazungumzo hayo hadi hapo Rais mwingine atakapoingia madarakani. Kwa lengo la kuwaweka sawa Wamalawi nadhani Lowassa hakunaga mfano wake. Tanzania tunao maadui wengi sana kando kando ya mipaka yetu; kwa mfano (1) Madai ya Iddi Amini kuwa mpaka wa Tanzania na Uganda uko mto Kagera yangalipo hadi leo vichwani mwa Waganda ingawa uthabiti wa uongozi wa Mwl. Nyerere pamoja na mtutu wa bunduki uliwanyamazisha kabisa. Kwa udhaifu wa uongozi uliopo sasa tusishangae ngoma ikalowekwa na kuwa mbichi tena. (2) Madai ya Rwanda kuwa wilaya ya Karagwe ni sehemu ya Rwanda ni tishio jingine linalohitaji uongozi thabiti (3) Madai ya Burundi kuwa mpaka wa Tanzania na Burundi ni mto Ngono maana yake sehemu kubwa ya wilaya ya Ngara ni sehemu ya Burundi ni tishio jingine (4) Madai ya Burundi kuwa mto Malagarasi ni mpaka halali wa Burundi na Tanzania yaani wilaya ya Kasulu yote pamoja na sehemu kubwa ya wilaya ya Kigoma ni sehemu ya Burundi ni tishio baya zaidi linalohitaji uongozi imara katika kutetea mipaka ya nchi yetu (5) Madai ya Kenya kuwa mlima Kilimanjaro uko ndani ya nchi hiyo ni tatizo amabalo kila Mtanzania analijua (6) Madai ya hivi karibuni ya Malawi kuchukua ziwa Nyasa lote kila mtu anajua kinachoendelea. Nimetoa mifano michache tu ambayo mimi binafsi kwa uelewa wangu mdogo taarifa hizi ni sahihi kabisa zisizo na chenga.

Baada ya vita vya Kagera maadui wetu hawa walitupigia salute na kufahamu fika kuwa Tanzania siyo nchi ya kuchezea katika mipaka yake hata kidogo. Muda umeendelea kwenda na marais kadhaa wamepita kila mmoja akisomwa udhaifu wake. Kwa jinsi system yetu ilivyo dhaifu maadui wamejipenyeza hadi ndani ya JWTZ na kusoma uwezo halisi wa jeshi letu. Baada ya madhaifu mbalimbali kuonekana dhahiri ndani ya mfumo wa uongozi wa nchi yetu sasa tunaanza kusikia chokochoko za kujaribu kuimega nchi yetu. Tunahitahi uongozi mahiri utakaowahakikishia Watanzania usalama wa mipaka ya nchi yao waliyopewa na Mwenyezi Mungu waishi humo. Sera za kuchagua viongozi kwa kuangalia ni kabila gani, dini gani au chama gani zimepitwa na wakati. Tunahitaji Rais mkakamavu, mwenye maamuzi thabiti yatakayolinda mipaka yetu na majirani zetu watambue hivyo.

Nikiwa kijana mdogo nakumbuka kulikuwa na wimbo wenye maneno haya 'Tanzania nchi yetu, nchi nzuri sana, watu wengi wa Ulaya wanaililia sana'. Sioni ajabu UK na US kuweka mkono wao katika ziwa Nyasa upande wa Wamalawi hasa ukizingatia kuwa taifa hilo limeanguka kimaadili kwa kuruhusu ushoga.

Huu ni wakati wa kuchagua viongozi jasiri wenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu. Simpigii kampeni Lowassa lakini hoja ya msingi hapa ni kuwa tuchague viongozi sio bora viongozi. Ukitaka kujua mwisho wa Tanzania kuhofiwa na Malawi tazama katuni ya Wamalawi walivyo mchora JK akiwa Luteni Usu akidai hakutakuwa na vita, hivyo maadam asikonde!
 
jmushi1,
Unaweza kutukumbusha ni lini na wapi au hotuba gani au unaweza kutuwekea clip ya Mwalimu Nyerere, akisema Lowassa hafai kuwa rais wa Tanzania sababu amejilimbikizia mali.
Ebu wewe nipe sababu aliyokataliwa,kwanini unaongea kama huna ubongo?
I was among those who were reluctant to accept Nyerere's idea to remove your name from the list of the aspirants for allegations of wealth accumulation that didn't match your income as a poor-turned-rich government official. Nyerere said we weren't nominating people based on looks!
Open Letter to Lowassa
 
hippocratessocrates, Mkuu wangu suala la makundi ndio demokrasia yenyewe mfano tumeona Marekani makundi ndani ya Republican, Democrat, na Tanzania upande wa Chadema kuna makundi ya Dr Slaa, Zitto Kabwe, John Shibuda, Freeman Mbowe.

Aina haja ya kwenda Monduli angalia rekodi yake ya utendaji na alivyokuwa karibu na shughuli za kijami bila kujali itikadi za kisiasa wala dini.

Lowassa, anatoka Kaskazini ambapo ni ngome kuu ya Chadema, kuna uwezekano mkubwa kama Lowassa atapenya kuperurusha bendera ya chama chake mwaka 2015 basi ataisambalitisha vibaya Kaskazini na kuwaacha Chadema hawana la kufanya.

Mkuu Ritz, have to say it was concrete thinking while answering..INGAWA umeacha maswali MENGI ambayo bado nahitaji majibu roka kwako mkuu wangu.

Nadhani, Differences between Republican and Democratic parties is far way beyond our "democracy" may comprehend..maana kuna kutofautoana kwa mawazo(ambako mwishoni waheshimiwa HIJIRUDI lakini nilichoongelea ndani ya makundi esp. ya CCM kama ulivyosema hapo juu ni "UMIMI" na hii ndiyo inayoiharibia reputation CCM.

Mtazamo wangu mkuu Ritz, sidhani kama kuwepo kwa Mh. EL ingawa ni mzuri kiutendaji though ana mabaya yake mengi(personal experience, u can PM me)..bado haitoshi kusema CCM iko katika hali nzuri. Kwasababu,

1. MAJIVUNO/KUJIKWEZA: Viongozi wengi wa CCM hawajishushi/kujinyenyekeza na inadhihirika wazi kupitia kauli zao tukianzia na mwenyekiti Mh. JK , mawaziri n.k.

2. KISASI/ KINYONGO: Mkuu Ritz, Some people are only alive because it's illegal to kill them, Wananchi wengi wana kinyongo/kisasi...na hawana namna ya kutatua matatizo.Hapa namaanisha makundi mfano ya taaluma Walimu, madaktari, waandishi wa habari n.k..hawa hawana chakufanya wanasubiri "kulipiza kisasi" kwa ajili ya udhalimu waliofanyiwa! Hata kama haikuwa hivyo, makundi haya yanatafsiri hivyo.

3. DHARAU/KEJELI: Ni wanchama hao hao, na viongozi wa CCM wenye kubeza kuwa wafuasi wa vyama fulani ni "vijana wa mtaani" (CHADEMA) , wadini ( CUF) n.k..wakisahau makundi haya ndiyo makubwa na yenye kuweza kuweka mustakabali ya Rais hapo 2015.Kwani ni "vijana wa mitaani" hao hao waliomaliza elimu yao juu lakini wapo huko "mitaani" hawana kazi!

4.UFISADI: Sikatai ulikuwepo toka kipindi kile cha Hayati Mwl Nyerere, lakini je ulisikika hivi? Haukukemewa? Leo hii hata Mh. EL amekuwepo katika kashfa mbalimbali za Ufisadi!! Na tabia ya KUWAWAJIBISHA wachache kwa faida ya wengi( TAIFA) kwa sasa inapotea.


5. UTANDAWAZI: Kwa dunia ya leo ya hiki kizazi tukiitacho dotcom(.com), , wananchi hawadanyiki, hawalogeki, kura wanalinda wenyewe(hawaibiwi kura) mbinu ambazo tulizizoea kwa CCM kutumia kwa miaka kadhaa!

Mkuu Ritz, enzi zile ilikuwa mnaweza kuweka jiwe(stone) kwa CCM na binadamu(human being),na jiwe lingeweza kushinda ....KWA SASA

Haijalishi ni nani atakayesimama katika CCM IWAPO suala la uwajibishwaji halitafanyika, na kwa mtazamo wangu, waheshimiwa wengi watahama kutoka CCM kwa kuwa sasa wanahofu ya kutoeleweka ndani ya chama.

So, iwapo CCM itaendelea kufanya inayoyafanya haijalishi atakayekupo Mh. EL/Membe/Sitta/Magufuli...!!2015 nina imani itakuwa mwisho huo...Kumbuka wengi hawaendi upinzani kwa sababu ya Upinzani kuwa na Sera zilizotoka sayari nyingine ila kwa sababu ya CCM KUFUMBIA MACHO na wakati mwingine KUHALALISHA maovu!
 
Last edited by a moderator:
Kama unataka mijadala tumia lugha ya kiungwana kama unataka mipasho siwezi kujadiliana na wewe hapa sio mahala pake.
Sasa ulitaka nijibu kitu gani uliponiuliza nikuletee hotuba ya mwalimu alipoyasema hayo?Issue ambayo kila mtu anaifahamu ilivyotokea?Eti hotuba gani clip ya mwalimu?Ulitaka upate jibu gani?Na mipasho ndo yenu magamba.
Wewe huwezi kunifundisha chochote,na huna nitakachoweza kujifunza kutoka kwako.Hapa si pahala pa kutetea mafisadi kwa hoja dhaifu,utabaki kulia lia tu.
 
...katika watanzania 10 utakaowahoji kuhusu ni nani hasa anayefaa kumrithi Rais wa sasa Kikwete, saba kati yao wanamtaja Lowassa ...
Yaani kumrithi sasa hivi kwa kumuondoa madarakani?
 
Lowassa ndio kiboko yenu nyie, ndio maana hofu limewajaa, mkwe wake kushindwa haihusiani kabisa, nikuulize,wewe dada yako akiposwa na wewe unavishwa pete?
du! maneno mengine!!! Nadhani alieambiwa sio MHEHE au MKURYA!!
 
Sasa ulitaka nijibu kitu gani uliponiuliza nikuletee hotuba ya mwalimu alipoyasema hayo?Issue ambayo kila mtu anaifahamu ilivyotokea?Eti hotuba gani clip ya mwalimu?Ulitaka upate jibu gani?Na mipasho ndo yenu magamba.
Wewe huwezi kunifundisha chochote,na huna nitakachoweza kujifunza kutoka kwako.Hapa si pahala pa kutetea mafisadi kwa hoja dhaifu,utabaki kulia lia tu.

Hivi saizi una viwanda vingapi vya uongo kila kukicha unafungua viwanda.
 
CCM watakula sana matapishi yao mwaka huu. Mpaka ikifika 2015 wanaweza kuja kutuambia kwamba Rostam nae ni chaguo la mungu.
na wakishasema basi kila mtu anafunika macho... mambo yanapita! Ila UKWELI UTABAKIA KUWA UKWELI kwa MAANA WATANZANIA kabla ya TUKIO ukiwasikia wanasema HAPANA, basi jua wakati wa MATOKEO ni NDIO...
Iko kama wakati ule UKISEMA "HAPANA ilimaanisha HAPANA MWINGINE ILA YEYE" na ukisema "NDIO NDIO HUYOHUYO MWENYWE NA SI MWINGINE"
 
Hivi saizi una viwanda vingapi vya uongo kila kukicha unafungua viwanda.
Sasa hapo unataka nijibu nini tena na ume coypy na kupaste mipasho ya bosi wenu?Si unaona mwenyewe?
 
Lowassa haendi pahala kama na yeye anajuwa mali za Riziwani.Yeye siyo mjinga kabisa.Sana sana,anafahamu kabisa kuwa JK kumpiga yeye chini haina maana kuwa hapendi mafisadi,bali anachaguwa ni fisadi lipi la kusapoti.

Yeye amekula "bullet" kwa ajili yake kwenye Richmond,sidhani kama ni mjinga kiasi hicho eti kukubali azuiliwe.Patachimbika ofcourse.Halafu ana wapambe nuksi ambao wako tayari kumfia.
 
Jmushi12 shukran sana kwa kutrudisha hii kitu... Daaah! kumbe EL kawatapeli wengi eeeh!..

I must first admit that I, just like most Tanzanians, may have regarded you too highly. So much so, that I feel like I have been offending you for expecting too much from you, and for that I say I'm sorry.
I've discovered that what I really had in mind was an image of my own "Lowassa" and wanted you to be him. I admit that was wrong!
My "Lowassa" was a very hard working, honest guy, a down-to-earth, Sokoine-like guy who would serve this nation with a perfect combination of high integrity, patriotism, and loyalty. I had a "Lowassa" who would use his charisma for the good of his party and our nation.
Ooh poor me, I had a "Lowassa" who would sacrifice a lot for this rich-turned-poor nation whose citizens have wrongly placed their trust on an imaginary "Lowassa". I've no clue where the hell I got this "Lowassa" from, but he made me become so demanding on the real Lowassa.
Thursday, Feb 7th 2008 will remain a pivotal moment of our nation's political history. On this day I got my head out of the ditch I had kept for years and for once I actually used my brain to think straight after many years of living in a state of denial. I then shifted from an imaginary "Lowassa" to a real Lowassa.
Mr. Lowassa (real), there's no vocabulary that can capture the magnitude of the shock of realization of how far apart the two Lowassas could actually be. They're opposite in character and in conduct.
On the day in question I saw a manipulative and insensitive Lowassa. This was manifest even in the speech you gave, my friend. Tell me if I'm wrong, but on this day I saw a cold-blooded opportunist, a person who cares nothing but his quest for personal glory.
I listened to a very unprofessional individual that day. I saw a man who all he knows is himself and his immediate family. A man who doesn't care for any other Tanzanian child although he's, for a long time, pretended to! But one can only fool some people for sometime.
Unfortunately, there're hypocrites everywhere, my friend; and there were many behind you in parliament that day too. Some of them applauded you and called you wise, hero! They lied to you, my friend. Heroes don't do such things.
Heroes don't give such speeches, full of me, mine, and I. Heroes have the ability to look beyond themselves. And wise people don't complain in their resignation speeches while trying to demonstrate their readiness to take accountability.
Wise people don't down play others for them to rise. Wise people don't lie. Wise people don't try to manipulate the Parliament to despise such an excellent report so the Parliament can sympathize with them.
These people lied to you big time and laughed at you on your back - they really aren't very good. I, at least, tell you my honest truth though painful.
Mr. Lowassa, you surprised me beyond imagination when you kept complaining of the commission's unwillingness to summon you while forgetting the mess you have caused to our nation. Remember, this wasn't a court of law.
The commission's task was to find out what really happened with Richmond! If they got sufficient information without you, there was no need of you. At least that's my opinion. Otherwise it was just a fair game.
I don't mean two wrongs make it right, but my friend, what goes around comes around! The billions of tax-payers' money that you and your company threw away are much more than you not being interrogated - after all that's as tragic as it gets.
So where do you even get the guts to complain? Why didn't you talk of work ethics before talking of "natural justice"? I know you'll definitely miss this because of your apparent handicap of seeing none else, but yourself.
Mr. Lowassa, you know that I'm better qualified and was capable of becoming the PM after the president has lost confidence in you and your friendship almost gone ablaze. How did you think I, your friend, would restore such a torn-apart economy because of such irresponsible and unprofessional misconduct?
More astonishing was your complete inability to recognize such an excellent task accomplished by Dr Mwakyembe's commission. You instead became sarcastic on only the fashion with which the report was submitted.
How blind could one be to not see the critical content of such a well-documented 165-page report and just end up with ridicule? Lowassa what happened to you/me?
Lastly, and I promise to leave you alone once and for all, Mr. Lowassa. There's something almost incomprehensible to me, my friend. And I would highly appreciate if you could kindly afford me an explanation. Here is the thing: Were your post-resignation remarks necessary?
Wouldn't it be necessary and more understandable for you to maintain a low profile at this point in time, at least for a while? You know as well as I do that "silence can always be misunderstood, but it can never be misquoted". One of the things that may be misquoted is your statement that the PM-elect is just like you!! I've no clue what in the world were you referring to here, my friend?
Make no mistakes Mr. Lowassa, these other people (even those who applauded you) are trying to make a big deal out of this. To them you're a criminal. Whatever you say can and will be used against you. Why then not zip-up your mouth for a while, my friend.
I'm saying this because you and the others who pretended to resign that day looked like big jokes. Your demeanor was just not right. You were all very unapologetic. Of course to you, it was politics as usual; but you know what that means; it indicates that you are so well capable of massive scandals that you were actually surprised how an adult person in her right state of mind could make such a big deal out of almost nothing.
You said you were humiliated and disgraced! Who did it more than yourself? One of your friends said he deserves a compliment! For what? The other said he is ready to help Dr. Mwakyembe to put together a better report. Give me a break!

However, I remain yours
True friend!
 
...Ogopa Vibaraka na wachekeshaji wa mafisadi Mkuu Mkandara...

Wachekeshaji wa mfalme wanawajibika kwa mfalme, kumsifia, kuremba kupiga vijembe, kuwa vibaraka, kujipendekeza, kumpamba, lakini kubwa zaidi ni kumchekesha mfalme hata kama amefanya mabaya," alisema. Sitta alisema wachekeshaji hawana aibu kwani lengo lao ni kuhakikisha kuwa mfalme anafurahi kwa kila kitu hata siku akitembea uchi wao wanasema mfalme umependeza na kanzu yako inang'aa dhahabu.

Alisema kuwa hali inazidi kuwa mbaya zaidi pale watu hao ambao ni vibaraka wanapojivunia kuwa vibaraka wa watu fulani huku wakipita na kujisifu usiku na mchana wakiwatambia wajumbe kwamba mfalme wao anapanda chati tayari kuchukua dola 2015 nao wakiomba Mungu mfalme akishika dola basi awarushie manukato nao wapate kunukia kwa mafuta uzuri.

Hawawezi kuwa watu makini maana watu makini wana msimamo na hutazama maslahi ya Taifa kwanza. Wewe na wenzako woote mnaosimamia maslahi yenu na ya chama chenu ndio mnajipa mhitani wenyewe. I know where I stand na sintobadilishwa na mtu wala chama isipokuwa wao watatufuata wananchi kutuelewa..
 
Back
Top Bottom