Lowassa apanda chati kuelekea uchaguzi mkuu 2015

Lowassa apanda chati kuelekea uchaguzi mkuu 2015

Hata iwe vipi Lowasa hatakatishiki, hayo ni maji taka/machafu
 
Hofu na huzuni kwa wafuasi wa Chadema inazidi kuwa kubwa, Lowassa mwenyewe anaendesha siasa zake kwa umakini mkubwa hajawahi kutamka hadharani kwamba atagombea urais mwaka 2015, muda ukifika mambo yote yatakuwa wazi na hapo ndio utakuwa msiba mkubwa kwa Dr Slaa pamoja na Mbowe.
 
Ni kweli lowassa ni jembe! "zimwi likujualo halikuli likakwisha" ikifika mahali tukafika njia panda ni heri kufanya maamuzi magumu! Kumteua lowassa kukimbiza urais ni kufanya maamuzi magumu. Nchi hii ilipofika inahitaji kiongozi dikteta!
 
Wala siwezi muunga mkono fisadi. dr Slaa kwangu ndio chaguo LANGU la kweli.
Mkuu, mimi kwa upande wa CCM namuunga mkono Hon. Lowassa For presidency 2015. He is a hardworking man.
 
Ni kweli lowassa ni jembe! "zimwi likujualo halikuli likakwisha" ikifika mahali tukafika njia panda ni heri kufanya maamuzi magumu! Kumteua lowassa kukimbiza urais ni kufanya maamuzi magumu. Nchi hii ilipofika inahitaji kiongozi dikteta!
Mkuu, naunga mkono hoja yako kwa 100%.
 
Kinacho mbeba Lowassa ni mtu mwenye hulka ya kusaidia na kuchangia shughuli za kijamii bila kujali itikadi za kisiasa wala dini amekuwa mtu tegemeo katika shughuli za kijamii iwe Msikitini au Kanisani hata hawa makamanda nadhani wanamjua vizuri "jembe" Lowass, Mkandara, hippocratessocrates, Remmy, POMPO, MNYISANZU, Ndallo, Preta, Chasha, Mzito Kabwela, Mungi, Molemo, OSOKONI, Crashwise.
Mkuu Ritz, salaam sana. Binafsi namkubali sana Captain Lowassa kwa sababu ni mchapa kazi na pia ni mtu mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu [ tough decisions ] bila kuogopa chochote. Lowassa ana uwezo wa kui-transform Tanzania into a "paradise" !
 
Nyerere Fufuka!!! Uone uliowaachia nchi wanavyojinafasisha!
 
Hofu na huzuni kwa wafuasi wa Chadema inazidi kuwa kubwa, Lowassa mwenyewe atagombea urais mwaka 2015, hapo ndio utakuwa msiba mkubwa kwa Dr Slaa pamoja na Mbowe.

Ritz acha siasa za hapa JF fuatilia (hata tarifa za habari) waliopitishwa kugombea nafasi muhimu km Vijana Wazazi na UWT hakuna mtu wako pale halafu fuatulia watakaogombea NEC kundi lote limepigwa panga mjipange upya kete hadi King ktk draft zimeliwa km huamini haupiti mwezi tukutane hapa baada ya Mkutano mkuu utajigundua ngoma /wimbo unayopiga haupo
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na Mwenendo wa chaguzi za CCM zinavyokwenda ni wazi kuna asilimia kubwa ya Eddo kuja simamishwa kama mgombea wa urais kupitia CCM mwaka 2015, na kwa kuwa uzoefu unaonesha kuwa anaegombea kiti cha urais kwa tiketi ya CCM ndo huja kuwa Rais wa Tanzania, rai yangu kwa wale mabingwa wa kujipendekeza waanze kabisa kujipendekeza na wale wenye bifu nae watafute mapema pa kwenda kuishi kwani kuna kila dalili za EDDO kuingia Ikulu 2015
 
Mkuu unauliza vumbi store.
 
Hii itaungwa na ile ya Ritz,unless kuwepo na "jukwaa la utabiri"
 
Ni mtanzani ni mwana ccm ni mzalendo mchapa kazi kuna ubaya gani kuingia ikulu? Eddo kaza buti tupo nyuma yako.
 
Ni mtanzani ni mwana ccm ni mzalendo mchapa kazi kuna ubaya gani kuingia ikulu? Eddo kaza buti tupo nyuma yako.
kwa hiyo wewe ndo ushaanza kujipendekeza ili angalau upewe udc wanging'ombe
 
Zomba kantuma niulize je, wewe ndo Masihi au tumtegemee Mwingine?
 
Mbona unaharaka hivyo? Muombe mungu uzima tu 2015 upate majibu yake!
 
Back
Top Bottom