Tapeli tu huyu Lowasa, kuna sehemu watu wana shida za kufa maji hakuna, huduma za afya hakuna lkn haendi kusaidia huko mahosipitali yetu huduma mbovu vitendea kazi hakuna kwanini asiende kusaidia huko anakuja kujidai anasaidia watu wa bodaboda???
-------.
-------.















