The Gentleman Pirate
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 1,509
- 993
Nilisikia kuwa lowassa atakuwa makoroboi nikaamua kupita nione,,bwana watu sio wengi ni kawaida tu,,,na raia wanaendelea na shughuli zao,,,so bado ana safari ndefu,,
lowasa ni mtu hatari sana kwenye jamii mbona huwa hawataji waziwazi hao marafiki zake ili tuwajue,na ni wawapi na wana agenda gani hasa.
Lengo lake siyo kusaidia bali kujitangaza kabla ya 2015. Anajua atapokezana kijiti na JMK.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
charming lady; mkuu... Hapo kwenye red umechemka vibaya sana.... Naomba uedit.... Mathias manga sio mwenye gold crest na wala hayuko gold crest!!!!!
Umenena jambo la msingi nakupa heko. Kwa nini asichangie hizi hospitali, nyingine hata x-ray mashines hawana.
go lake siyo kusaidia bali kujitangaza kabla ya 2015. Anajua atapokezana kijiti na JMK.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Aidha amesema yeye hana fedha ila ana ushawishi kutoka kwa marafiki.Amesema kula nilazima kwa kila moja ila tutatofautiana kula, kuna ambaye atakula muhogo na atakula mkate ila wote wale.
Kwa hiyo Lowassa nategemea kuishi Mwanza au atarudi jimboni mwake.wamachinga ambao kwa sku za nyuma walkuwa kete ya mbunge wa nyamagana ezekiel wenje katka kukwaa ubunge wa jimbo la nyamagana(mwanza cty centre) ambao leo upepo umezdi kumwendea vzuri mheshimiwa lowasa