Je nao kawa nunulia viroba??? je ni kweli hao wote nao ni machinga.
hivi rushwa ni nini????
Kwani kuwapa vijana mtaji ili waweze kuinua biashara zao huo sio msada kwa watazanzia?. Hiyo sio njia ya kupunguza umaskini katika kaya za watanzania.yani mivijana ya kitz ya sasa hasa wa cdm akili zao masabuli tu... mf.mzuri jana kwenye kipindi cha malumbano ya hoja ITV yani unawaangalia vijana wanavyobwabwaja hadi unatamani kulia hovyo kabisa wanajidai wanasiasa huku siasa zenyewe hawazijui hata kidogo. fanyeni kazi vijana kupanua ubongo