hivi watz tunaakili na ndo kila kitu siasa???..mbona mengi katoa mil 100 kwenye vikoba ili kupata mtaji wa kukopeshana hamkusema... hv ni jambo baya wamachinga wamejikusanya ili kujenga vikundi ili waweze kupata mitaji ..mtu ambae kaona ni haja kuwasaidia hawa vijana walio jitambua kwa kuwaongezea mtaji wa mil 20 waweze kukopeshana na kuendeleza biashara zao hapo tatizo liko wapi??.. je kile kilichoandikwa na tanzania daima kimefanyaka ???jibu hapa chadema acheni siasa chafu maji taka ..... mbunge weni wenje kashindwa kufanya hilo sasa wivu na hofu za kijinga zinawasabuli...
Hakika napata shida sana na huu mgawo wa pesa unaotolewa na Lowasa na washirika zake. Lazima ifike hatua kama taifa la watu makini tujiliulize kama kweli hao wanagawa hizo pesa kwa watanzania bure namna hiyo, wao wanafaidikaje, na je kwa nini wanaanza sasa na sio tangu zamani, na kama zina malengo ya kibishara watazirudishaje.
Ukweli ni kwamba mnamo 2015 wakati wa uchaguzi mkuu kama CCM wasipompitisha Lowasa na genge lake kuwania Urais, CCM itapasuka vipande na pia tutegemee machafuko ndani ya nchi hii, na pia kama wakimpitisha kugombea huo uras wake anaoutaka kwa gharama zozote zile na akashindwa na mgombea wa upinzani, pia tutegemee machafuko kutoka kwa hilo genge lake, aidha pia ikitokea CCM wakampitisha na akashinda hiyo nafasi (Siombei ashinde) hakika wananchi wa kawaida tutegemee maumivu makali, maana hilo genge lake litataka sasa kukusanya na kurudisha gharama zao zote walizotumia kumfikisha hapo alipo na riba kubwa na hii ni kutoka kodi za wananchi kwa njia ya mikataba tata kama ilivyokuwa Richmond nk, hakika, wananchi tusubiri maumivu hilo likitokea. Nasema hayo siyo kwamba simpendi Lowasa binafsi kama alivyo, la hasha ila njia aliyokwisha ichagua kumfikisha hapo anapotaka kwenda yeye na ngenge lake analoliita marafiki, hapana, sio sahihi hata kidogo, anapaswa kuogopwa na kususiwa na watu wote makini na wazalendo wa nchii hii.
Tanzania chini ya rais Lowasa, mmh sijui kama tutapona, Mungu ibariki Tanzania, iepushe na manyang'au.
kweli kabisa lowasa niwakugopwa
hivi watz tunaakili na ndo kila kitu siasa???..mbona mengi katoa mil 100 kwenye vikoba ili kupata mtaji wa kukopeshana hamkusema... hv ni jambo baya wamachinga wamejikusanya ili kujenga vikundi ili waweze kupata mitaji ..mtu ambae kaona ni haja kuwasaidia hawa vijana walio jitambua kwa kuwaongezea mtaji wa mil 20 waweze kukopeshana na kuendeleza biashara zao hapo tatizo liko wapi??.. je kile kilichoandikwa na tanzania daima kimefanyaka ???jibu hapa chadema acheni siasa chafu maji taka ..... mbunge weni wenje kashindwa kufanya hilo sasa wivu na hofu za kijinga zinawasabuli...
Acheni awawezeshe vijana nao watoke kimaisha.
Acheni awawezeshe vijana nao watoke kimaisha.
Katika mukutano huu
wa leo ulikuwa vitu kwa khari fulani, kituko kimoja achacho na kikumbuka
, aliyemukaribisha amesema ndugu muheshemiwa karibu ujaribu kuongea na
wa mashichinga hawa , kitu ambacho kimefanya watu wacheke sana.
Ndipo akaanza hotuba yake ndungu wananchi naomba nijaribu kusema,
kwanza kbs leo ashn kuna gazeti moja limesema Lowassa aenda Mwanza
kuivunja CHADEMA, CHADEMAwajivunja wewe.
Ilani ya CCM inasema vijana wataandaliwa kwa ajili ya saccos na hiki
ndicho kimenileta kwenu.
Aidha ametoa tsh, milioni ishilini, na akaahindi kurudi kufanya changizo
babu kubwa lengo nitakuwa kupata bilioni moja.
kuna kamati tiyari ameitaja ya kufanya mandalizi
NDUGU, CHEGENI mwenye isamilo lodge hapa Mwanza.
" MANSOR mbunge wa Kwimba.
" MATHIAS MANGA mwenye gold crest hotel hapa Mwanza
Aidha amesema yeye hana fedha ila ana ushawishi kutoka kwa marafiki.
Amesema kula nilazima kwa kila moja ila tutatofautiana kula, kuna
ambaye atakula muhogo na atakula mkate ila wote wale.
lowasa ni mtu hatari sana kwenye jamii mbona huwa hawataji waziwazi hao marafiki zake ili tuwajue,na ni wawapi na wana agenda gani hasa.