Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
Lowassa ni miongoni mwa viongozi wenye kauli zisizoaminika katika jamii. Kwa mfano mdogo tu hapa, huyu ndugu alijipangia mwenyewe na akatafuta kututangazia kwamba leo hii ANALO LA MOYONI KUHUSU UFISADI WA DOWANS na kwamba angetuambia Wa-Tanzania wenzake kama na yeye kesharejesha chenchi Benki Kuu sawa na Manji au laa; ona sasa amepitiliza karibia na dakika 60 nzima!!!
Bure kabisa, hamn kitu hapa!!
Hapo kwenye red mkuu, mwizi ni mwizi. Ata kirejesha leo au kesho wajue siku itafika na tutawachinja. Kipindi hicho watakuwa hwalindwi na dola na rais mlinda ufisadi.