Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

Huwa najiuliza, kamati hii chini ya Mwakyembe kwanini haikumuhoji Lowassa kipindi kile? Nini kiliwazuia? Hivi unamtuhumu mtu halafu humuambii ajitetee bali unaishia kumfunga tu!? Enyi wanafunzi wa Mwakyembe, ndivyo anavyofundisha sheria na katiba?

Sasa taifa limebaki kugaa gaa kwa kukosa ukweli japo taifa liligharimia mabilioni kuilipa tume ya Mwakyembe, na hii ni laana ambayo inalitingisha taifa, na inaonyesha athari ya kazi za kulipua zinazofanywa na wasomi wetu.

Mwakyembe kwani alimhukumu lowassa? Hebu acheni uvivu itafuteni report ya mwakyembe muisome mwanzo mwisho bila jazba mtaona alichokisema mwakyembe kwenye report yake.Na mnaosema lowassa hakupata muda wa kujieleza ni waongo,muda alipewa na spika baada tu ya mwakyembe kumaliza kuisoma Ile report.Akautumia vibaya sana.
 
Jamani ifike mahali tujiulize maswali mazito kama taifa na hata baada yakujiuliza maswali idara za usalama wa taifa zichukue hatuwa. Mimi najiuliza sana hivi ni kweli Lowasa alisingiziwa? Nakama alisingiziwa kwanini hakusema pale alipewa nafasi bungeni??

Pili kwa nini badala yakujibu hoja bungeni yeye alijikita kwenye ulalamishi wa kuwa watu walitaka kiti chake?

Tatu kwa nini baada yakulalamika hayo maneno akajiuzulu wakati yeye anasema alikuwa safi?

Nne kwanini hata baada ya miaka yote hiyo hajawahi jibu hoja ya msingi ila anaendelea kulalamika kwa matamshi yale yale tena safari hii lawama amezitupa kwa kamati?

Tano je idara zote za usalama na mahakama zimeshindwa kusema ukweli mpaka sasa kiasi huyu bwana mkubwa analitukana bunge liliunda kamati ambayo hiyo kamati ilitengenezwa kumng'oa kwa majungu which means bunge limetumika vibaya na uwenda ikawa ni jinai hii.

Tunataka majibu.
 
Lowassa anaheshimu viapo vya Usiri

Na alishasafishwa na chadema…. Wao wana Gods given rights za kutakasa (so they think )
 
Back
Top Bottom