Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

Lowassa ni miongoni mwa viongozi wenye kauli zisizoaminika katika jamii. Kwa mfano mdogo tu hapa, huyu ndugu alijipangia mwenyewe na akatafuta kututangazia kwamba leo hii ANALO LA MOYONI KUHUSU UFISADI WA DOWANS na kwamba angetuambia Wa-Tanzania wenzake kama na yeye kesharejesha chenchi Benki Kuu sawa na Manji au laa; ona sasa amepitiliza karibia na dakika 60 nzima!!!

Bure kabisa, hamn kitu hapa!!

Hapo kwenye red mkuu, mwizi ni mwizi. Ata kirejesha leo au kesho wajue siku itafika na tutawachinja. Kipindi hicho watakuwa hwalindwi na dola na rais mlinda ufisadi.
 
Natoa TAMKO: LOWASA ONGEAAAAAAAAAAAA... ACHA UZEMBE HAPA.. ACHA WOGA.. ONGEAAAA EBO!!
 
"Mitikisiko ndani ya CCM ni ya muda tu, tutapita katika hali hii." E.L

CCM itapita misukosuko na dhoruba hizi na yeye akiwemo?
 
anasema fedha zipo, ziko wapi sasa mbona hatuzioni, wadogo zetu chungu mzima wamekosa mikopo kwa ajili ya elimu na ndio vijana haohao anaoongelea!
Na hivyo viwanda serikari liliyoshindwa kujiendesha itaweza kuendesha viwanda pia!?
TZ tumeishiwa! Another either person/leader/party/institution should rise to rescue this country and tell us the truth
 
anasema fedha zipo, ziko wapi sasa mbona hatuzioni, wadogo zetu chungu mzima wamekosa mikopo kwa ajili ya elimu na ndio vijana haohao anaoongelea!
Na hivyo viwanda serikari liliyoshindwa kujiendesha itaweza kuendesha viwanda pia!?
TZ tumeishiwa! Another either person/leader/party/institution should rise to rescue this country and tell us the truth
Ziko mfukoni mwake mkimkamua atazitoa tu.
 
Duh!! Imekula kwangu hii, nimepoteza time yangu bure kuja kufuatilia pumba za Lowasa... tulichoambiwa angesema na alichosema haviwiani kabisaaaaaaaaaaaaaaa
 
sioni jipya, anataka kujionyesha tu kuwa hali yake ya afya imetengamaa, hana lolote fisadi tu huyu.
kweli kaka jipya hamna, anataka kutujuza tu kwamba yupo fiti kwa 2015 come rain come sun-shine.
 
Mbona sioni umuhimu wa mazungumzo yake na waandishi wa habari? nisaidieni maana hakuna la maana au lenye manufaa na sisi watanzania.
Nikama anajitakasa asubiri atakaswe na siyo yeye ajitakase!
 
Natoa TAMKO:Ni uzembe mpaka leo JF haina live audio flaws. kitu gani kigumu.. tuambie tuchangie.. habari hii tungeipata live humu jamvini.. Mods ongezeni kufikiri bwana!!
Kuchangia siyo lazima uambiwe binamu.
 
Huyo bwana hana jipya, naona hakuna kitu cha maana alichoongea, ni mambo yale yale ya kulalamika kwa kuchonganishwa na rais!. Anawapotezea watu muda wao kwa hizo pumba zake. Anataka watanzania wamuonee huruma kwa madhambi yake. Ni bora aseme tu kwamba anaanza kampeni za urais 2015.
 
43 Reactions
Reply
Back
Top Bottom