Lowassa anusurika kifo Morogoro

Mkuu Tumbiri umeadimika sana jamvini

Mkuu Makamuzi,
Heshima mbele. Shule imebana sana Mkuu wangu. Huwa nachungulia tu humu mda wa kuchangia huwa sina. Hapa nilipo sasa hivi kuna desa nalikamua kimtindo nilipoona stimu zimepotea nimeamua nizifutue humu nikiendelea kulisoma. Pamoja sana Kamanda.

Salamu nyingi kwa Watanzania wenzangu.

Ujumbe: Endeleeni kuitwanga serikali, kuanzia Mtwara hadi Arusha. Kuanzia Kigoma hadi Morogoro. Kuanzia Mwanza hadi Mbeya, nk.
 
Last edited by a moderator:
Du hilo basi lingefanya kweli tungepunguza fisadi mmoja mkubwa na hatari! Mungu atusaidie ipatikane fursa nyingine ya kuondokewe na fisadi huyu mnafiki anayejifanya kuchangia makanisa wakati akiwaibiwa watanzania. May you perish fisadi!

Wewe ushajivua u "Father of All".

Ushamtosa mwanako Lowassa.

Lugha hii haina sio tu rehema za ubaba, bali hata ubinadamu ulio duni kabisa ambao unatakiwa kuthamini maisha ya kila mja, hata Osama Bin Laden.

Ni mjinga wa tafakuri na taamuli aso majazi tu anayeweza kukufuru kwa upotovu ulioghilibika kifedhuli kwa hamaniko hivi.

Maneno haya yanatoka kwa mtu asiye na rekodi ya kumpenda Lowassa, lakini mwenye kupenda jaha za ubinadamu zaidi.
 

Usifikiri hayo matusi yatakusaidia chochote.
 
Aliyewahi kuwa WAZIRI mkuu wa JMT,AMBAE KWA SASA NI MBUNGE WA JIMBO LA MONDULI.MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE ULINZI NA USALAMA,NA MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA NEC.(how did it sound???)
 
waziri mkuu aliyejiuzuru na mbunge wa monduli Mh. edward ngoyai lowasa, amenusurika kufa ajalini leo mchana katika eneo la bwawani barabara kuu ya Dar-Moro. chanzo cha ajali bado hakijajurikana ila amegongana na basi linalofanya safari zake kati ya Kilombero-Dar es salaam, ingawa gari la eddo ndio limeharibika sana.

na hakuna majeruhi wala mauti katika tukio hilo. otherwise i will keep u updated
 

Attachments

  • Lowasa.jpg
    9.9 KB · Views: 127
Mhe. Mbunge wa Monduli na aliyewahi kuwa. Waziri Mkuu Bw. Lowassa amenusurika na ajali akiwa anaenda kwenye harambee mjini Morogoro. Kwa mujibu wa ITV, Mhe. Lowasa amenusurika baada ya basi lililokuwa likifukuzia jingine kutaka ku"overtake" kulikwangua gari alilokuwemo Mhe.Lowasa ambae amekiri kwa sura ya unyonge kuwa kupona kwake ilikuwa ni mipango ya Mungu. Kauli hiyo ya Lowasa inaashiria uenda kulikuwa na mkono wa mwanadamu kwenye ajali hiyo ambapo kwa kuwa mkono wa Mungu ulikuwepo husingeweza kufua dafu!!

Pole sana mhe Lowasa.
 
Yaani gari kukwaruzana na hakuna aliyeumia ni kunusurika kifo ?

au kila ajali ni kunusurika kifo..? (Heading yako inakuza habari kama magazeti ya udaku)
 
Mweee!

Du hilo basi lingefanya kweli tungepunguza fisadi mmoja mkubwa na hatari! Mungu atusaidie ipatikane fursa nyingine ya kuondokewe na fisadi huyu mnafiki anayejifanya kuchangia makanisa wakati akiwaibiwa watanzania. May you perish fisadi!
 
Endeleza jitihada zako za kusaidia jamii na Mungu atakuongoza.

Ingawa siku zote binadamu hawana shukrani.
 
Unajua ile kambi ya wakimbizi wa ANC imehamishwa, Kama wale wasuzi wangekuwepo, CCM wangem SOKOINE.
 
Go tell it to the birds. Kama tuliweza kumlaani Idd Amin au ulikuwa mtoto then, kwanini tusimlaani huyu habithi wenu Lowassa? Ni wangapi wanakufa kutokana na ufisadi wa hawa washenzi wasio na utu hata chembe? Kam Mungu alimlaani shaitwan kwanini tusimlaani Lowassa? Nadhani wengi mnakuwa wanafiki kama siyo woga. I am still fatehr of all. The father who hates corruption more than his own kids. This is the father that I am. This is the father there is. Father of all.
Wewe unaonekana kama una chembechembe za ugaidi. Hivi unategemea ndugu wa waathirika wa Sept.11 wamuonee huruma Osama aliyesherehekea siku ndugu zao walipokufa? Jikumbushe Washington na New York zilivyowaka kwa shamra shamra na kushangilia baada ya kutangazwa kifo cha habithi Osama.
 
Du hilo basi lingefanya kweli tungepunguza fisadi mmoja mkubwa na hatari! Mungu atusaidie ipatikane fursa nyingine ya kuondokewe na fisadi huyu mnafiki anayejifanya kuchangia makanisa wakati akiwaibiwa watanzania. May you perish fisadi!
Duuuuh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…