Lowassa ni muhimu kwa mafisadi na wale wanaojikomba kwake kuganga njaa. Ni muhimu kwa vipofu wanaotumia matumbo na massaburi kufiiri badala ya brain. Yeye kama partner wake ni baa la taifa. May he perish!
unaweza kutueleza tofauti kati ya kufa na kunusurika kifo.
correction, sio aliyejiuzuru ni mstaafu...
Lowassa ni muhimu kwa mafisadi na wale wanaojikomba kwake kuganga njaa. Ni muhimu kwa vipofu wanaotumia matumbo na massaburi kufiiri badala ya brain. Yeye kama partner wake ni baa la taifa. May he perish!
Hahahaa wenzako tumejenga,tunadrive limo,watoto wanasoma seminarini kwa sababu tumeamua kuwafanya source ya income zetu..kama nyie mnachukia mafisadi sisi tunatengeneza opportunity hata kwenye hasara hahahaa mjini akili kijijini nguvu!
Umeona eeh! Kumuombea Lowassa mabaya si suluhu ya matatizo yanayoikabili nchi! Tumuombee abadilike, amree Mungu wetu na kurejesha kile ambacho tunadhani kaibaWe sio greatthinkerto say so Mh, huyu ni mtu muhimu sana kwa mustakabari wa nchi yetu sahivi...jifunze kuona mbali.
Mungu ashukuliwe kwa kuepusha hili
No comment
No comment is also a comment.
TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
hivi hili jina la "waziri mkuu mstaafu", ndio maana yake nini? Mtu ameachia ngazi kwa kashfa na bado wanampamba na jina hilo. Kwa nini wasimuite "waziri mkuu aliye jiuzulu kwa kashfa"!!!???
Kila kukicha oooh waziri mkuu mstaafu. Na akina sumaye f, salum a, warioba tutawapa cheo gani?
humo makanisani humo huyu bwana...!!! Kheri yake kama kanusurika, afu hivi lowassa alistaafu au alijiuzulu kwa kashfa!?
Waziri mkuu aliye jiuzulu Lowasa amenusurika kifo mkoani morogoro eneo la bwawani baada ya gari lake kukoswa koswa na basi na kukwaruzwa ubavuni upande wa kulia,hakuna yeyote aliyeumia.
Lowasa alikuwa akielekea morogoro kuchangia harambee ya ujenzi wa kanisa ambapo yeye na rafiki zake wamechangia shilingi milioni 18.
dah: inabidi na mimi nianze ujenzi wa kanisa nadhani nitapata fugu hapo,
ITV HABARI.