hii habari si yakweli hakuna mtu anaweza kujenga likamati kubwa namna hii kwa ajili ya kitu sensitive kama hicho.unless uniambie kuwa hawako makini vya kutosha.alafu hivyo vikao vinafanyika wapi na lini?NI HOFU ZA WALIOTENDA MABAYA wakidhani kuna mtu anataka kuwalipizia.