Moshe Dayan
JF-Expert Member
- Feb 10, 2008
- 815
- 710
Hizi ni kelele za mfa maji tu, mbona ktk report ile kina RA na Yona walikataa kuja hojiwa na hapakuwa na sheria ya kuwafunga iwe huyu Waziri mkuu ambaye hata kujieleza kwake ameshupalia kutohojiwa na kamati hali zipo nyaraka, ushahidi tosha zinazothibitisha Ofisi yake kuwakubali Richmond?..
Anachotafuta kusema ni kuwa akishauriwa na wataalam ambao kisheria hawakutakiwa kuingilia mkataba wa Richmond, Nyaraka za wataalam wa Tanesco na PPRA zilitosha kumthibitishia uwezo wa Richmond, hakutaka kusikia. Tunaelewa nguvu ya EL alipokuwa madarakani nadhani hapa JF tuna mfano mzuri wa Mwanakijiji alipojaribu kumhoji kuhusiana na wanafunzi wetu kule Ukraine. Alikuwa akipata Lunch!
As Prime Minister alipewa nafasi za kujibu maswali yote bungeni, tumesoma mapendekezo ya kamati, hoja za kina Mzindakaya na kadhalika lakini yote hayo hakutaka kuyafuata akaamua kujiuzuru... Na ukweli ni kwamba hata Spika wa Bunge alipigwa na mshangao kusikia Waziri mkuu anajiuzuru kabla hata hajajibu mapigo bungeni, leo unakuja jieleza ktk TVT ili kijulikane kitu gani haswa..
After all hayo yote anayasema nje ya kiapo.. He had his chance, he chose not to disclose..
Mimi bado naona hakuna sababu ya kusema hakupewa nafasi ya kusikilizwa.Yeye kama waziri mkuu na alikuwa anajua mengi zaidi kuhusu hii richmond alikuwa na kila sababu ya kuifuata kamati na kuieleza anayoyajua,maana hii kmati ilishasema yeyete mwenye kujua lolote kuhusu hii richmond anakaribishwa.Ukimsikiliza kwa makini Lowasa utapata tafakuri nyingi sana. Mojawapo kuna kila dalili kuwa some one was out there trying to find possible means to clean the government. It also seems that the Mwakyembe committee had many of the conlcusions at hand prior to their investigation and used the investigation to justify them. Furthermore, there is a clear sign that it is not all good in CCM following Lowasa's resignation (or dismissal?). In this context it is difficult to avoid to contemplate that the committee was used consciously or otherwise to try to clear CCM government woes.
That said, kitendo cha kamati kutokumhoji Lowasa kitaendelea kubaki kuwa ni doa sio tu katika report yao lakini pia katika harakati zetu za kujenga demokrasia hasa msingi wa kumpa nafasi kila mtu kusikilizwa.
Msavila,
Naelewa mtiririko wako kuhusu uwajibikaji wa Lowassa.Lakini mimi nilifikiri kina Mgonja na Mwanyika pia walihitaji kuwajibika/kuwajibishwa.Kwa nini unafikiri akiwajibika Mkuu wadogo wasiwajibike?
Hii sasa si inakuwa "reverse bangusilo" tu? Tunataka kila aliyeshiriki kupitisha mikataba feki awajibike.Mimi ningemuheshimu sana, na hata kuomba arudishwe kazini katibu mkuu au mtendaji mwingine yeyote yeyote ambaye angejiuzulu kwa sababu alikuwa pressured ku sign mikataba feki, hakuna aliyejiuzulu.
lowassa usijali maelezo ya kuvunja mkataba, deal na issue ya kuipa richmond mkataba kwa mabavu. u know very well mkataba ni mbovu na hata room ya kuvunja ilikuwepo kwa sababu rdc haipo mahali na hakuna court ambao wangekwenda since owners ni wewe na watu wako. acha kutufanya watu wazima wajinga.
Moelex23,
Hapa mkuu umemaliza mjadala!..
Jamani tutarajie mengi sana kutoka kwa hawa watu.maana sasa wameanza kujichanganya wenywe.Karamagi anasema alikuta barua toka tanesco kielezea richmond ni kampuni tapeli.Sasa yeye alichukua hatua gani kuijulisha serikali?huyu jamaa naye ni mwizi tu na asubiri tena ripoti ya madini itakavyommaliza kisiasa.na kama ana ukweli kwa nini asubiri kwenye hivyo vikao vya sisiem vya siri?huyu nae ni kama EL mana jana nae aliwashutumu akina kilango kwa kusema ukweli pale bungeni.maana wana mahali pao pa kusemana.hivi hao TVT kwanini walimkatisha Lowasa kwani ni wao waliompatia nafasi ya kujieleza au walimpa mipaka? jamani Lowasa si anapaswa kujibia mahakamani? huko ndiko atakako jitetea vizuri siyo kwenye Tv inayoendeshwa kwa kodi za Watanzania.
vitisho vilivyotolewa na Karamagi, vinalenga kuwatishia wajumbe wa kamati ya Dkt. Mwakyembe na kamati zingine ili zisitoe ripoti murua. dhana hii ni mbaya inapaswa kukemewa. hawa jamaa hawajazushiwa ushahidi umetolewa kwa uwazi sana ktk ripoti ya Mwakyembe.
Madela wa Madilu,
Asante kwa kupambanua hii janja ya kupindisha ukweli
Madela wa Madilu,
Asante kwa kupambanua hii janja ya kupindisha ukweli
Unajua the more they open their mouthes the more they get into this mess.Bora wakae kimya sisi si wajinga na vyanzo vyetu vya habari vina uhakika kwamba hawa jamaa wamehujumu Uchumi wa Nchi .Mahali pao ni Mahakamani na si Monduli .
hakuna court ambao wangekwenda since owners ni wewe na watu wako. acha kutufanya watu wazima wajinga.
Ndugu zangu wa JF, hii ni breaking news: Sasa imethibitika kuwa yule waziri wetu mkuu ambaye aliamua kuachia ngazi kwa kuhusika; iwe moja kwa moja au vingevyo, anatarajia kurejea serikalini kwa nguvu zote na kwamba ameanza kujifananisha na alhaj Ali Hassan Mwinyi, yule rais wetu wa awamu ya pili.
Lowassa kasema atarejea kwa nguvu zote na hakika wabaya wake watakiona cha mtema kuni. Nadhani ana uhakika huo na habari zinasema ameshamueleza Kikwete, kumbukeni ni shwahiba wake mkubwa na ni jicho lake- elewa hajaomba ametaka. Na atapewa.
Miongoni mwa mikakati ya kurejea kwenye serikali ni eti kuhakikisha kuwa nia yake ya kuiongoza Tanzania inafanikiwa kwa njia yoyote ile. Kumbuka amekuwa na nia hiy siku zote mara baada ya kuingia kwenye siasa baada ya kuwa amechuma fedha nyingi kutoka AICC na maeneo mengine, ikiwemo kipato kikubwa kutoka kwenye nyumba zake nyingi Dar na Arusha ambazo zote ziko kwenye prime areas.
Endapo atakosa nafasi hiyo, amemuandaa mtu ambaye Kamanda wenu ameanza kumtafuta ili kuzungumza naye na baadaye kuweka maelezo yake JF.
Waandishi wa habari ni miongoni mwa watu waliotengewa fedha nyingi kwa kazi hiyo. Miongoni mwa mikakati ya awali ni kugeuza mwelekeo wa kumtengeneza Lowassa rais wa mwaka 2015 na kumsafisha kwanza kwa kutumia magazeti ya Mtanzania, Rai, The African, Tazama na huenda fedha hizo zikapenyezwa kwenye vyombo vingene.
Haya kazi kwenu wana JF- huenda tukampata Rais Lowassa, rais Rostam au Rais Msabaha miaka michache ijayo.
Tuinusuru Tanzania yetu kwa nguvu zote.
since lowassa ametufanya watoto ngoja tuweke kila kitu wazi;;;
mh. lowassa dowans ni kampuni iko wapi///
office za dowans ziko wako///
mnawaambia watu ni kampuni ya uae, je physical address yao ni wapi uae///
namba za simu, majina ya wakurugenzi wa hii kampuni ni kina nani//
wameshafanya wapi kwingine duniani supply ya power////
so rdc haipo, dowans haipo and still nothing is wrong.
riddle hiyo wanajf.
so rdc haipo mahali, dowans nayo haipo mahali and bado mtu unajitetea, kweli kazi ipo.